Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namfuatilia kwa karibu sana Lissu, kwa hoja zake, hulka zake, na matamshi yake. Huwa namfuatilia kwenye YouTube Lissu kabla na baada ya kupata misukosuko nawaona ni watu wawili tofauti sana.
Yule wa mwanzo alikuwa mwenye subira na mtulivu na aliyeweza kujenga hoja za kushawishi na si mwepesi wa kupanic na kupoteza focus.
Huyu wa sasa amepata tabia za kuropoka na kukosa subira, na asiyekuwa makini katika kuhakikisha havunji sheria kwa makusudi.
Nafahamu majanga makubwa yaliyompata ndugu yetu, na nampa pole sana na tunamshukuru Mungu kwa kumuokoa ndugu yetu Lissu.
Wasiwasi wangu. Je mgombea wetu Lissu ana utimamu wa akili baada ya kupitia hii misukosuko? Maana hili ni takwa la kikatiba...
Wajumbe oyee
Mataga mnahangaika sana. Kwanza mwanaume ukijiita titi tayari ni lijingaKuna sehemu humu nilisema Lissu is emotionally unstable, he is clouded by emotions.
He does and speak things without reasoning properly.
Leo #Lissu_katoa_boko kwa adui.
Nafikiri ni wakati mzuri wa yeye kufa kwa korona ili atuthibitishie.Sasa tumfanyeje kashatamka
Wanaweza kumwengua kwa uhuni lakini si kwa kufuata sheria na kanuni za uchaguzi.Huyu Lissu kila siku ana kosa kubwa la kwanza. Kesho asubuhi hatakua na kosa lolote.
Sababu Ni kizazi Cha nyoka Hana heriHuyu Lissu kila siku ana kosa kubwa la kwanza. Kesho asubuhi hatakua na kosa lolote.
KWANI LINI WIZARA YA AFYA IMETANGAZA CORONA IMEISHA??Ndugu yangu Tundu Lissu, tunaomba utambue kuwa pamoja na mivutano ya kisiasa tuliyonayo nchini, linapokuja suala la kimataifa ni lazima tuwe wamoja.
Naomba nikuulize katika wale waliokuja kukupokea uwanja wa ndege hakuna hata mmoja aliyevaa taulo la usoni, je umewahi kusikia kuna mtu kafa kwa korona.
Juzi ulikuwa kwenye mkutano mkuu wa chadema na umati wa wajumbe. .Je umewahi kusikia kuna mtu anaugua korona?
Siku iliyofuata ulikuwa kwenye mkutano mkuu wa ACT. Ulipokelewa vizuri kwa shangwe na kukumbatiwa...je kuna mtu umesikia ana korona?
Ni ukosefu wa uzalendo kuituhumu nchi eti watu wanakufa na korona na takwimu zinafichwa tena kwenye vyombo vya kimataifa na cha jirani yetu ambaye ni hasimu wetu wa kiuchumi....ni ukosefu wa uzalendo kwa nchi, ni uhaini mkubwa.
Tena wewe ilitakiwa ukae karantini siku za kutosha maana umezurura sana nchi zenye korona. Usije ukatuletea korona la kibeberu hapa.
Wewe unayemshukuru Mungu amekuponya na mauti, ndiye huyo huyo aliyetuponya na Korona. Usimdhihaki Mwenyezi Mungu...
Hili limeniuzi sana
Wajumbe oyee
Wachache watakao kuelewa [emoji3][emoji3][emoji3]Huyu Lissu kila siku ana kosa kubwa la kwanza. Kesho asubuhi hatakua na kosa lolote.
nikionacho mimi target ya upinzani ni Membe na sio Lissu... naona kabisa act na chadema wakishirikiana kwenye uchaguzi ujao... na kuweka mgombea mmoja... sababu ni nini..?? sijui... muda, utaongea ngoja tuoneNamfuatilia kwa karibu sana Lissu, kwa hoja zake, hulka zake, na matamshi yake. Huwa namfuatilia kwenye YouTube Lissu kabla na baada ya kupata misukosuko nawaona ni watu wawili tofauti sana.
Yule wa mwanzo alikuwa mwenye subira na mtulivu na aliyeweza kujenga hoja za kushawishi na si mwepesi wa kupanic na kupoteza focus.
Huyu wa sasa amepata tabia za kuropoka na kukosa subira, na asiyekuwa makini katika kuhakikisha havunji sheria kwa makusudi.
Nafahamu majanga makubwa yaliyompata ndugu yetu, na nampa pole sana na tunamshukuru Mungu kwa kumuokoa ndugu yetu Lissu.
Wasiwasi wangu. Je mgombea wetu Lissu ana utimamu wa akili baada ya kupitia hii misukosuko? Maana hili ni takwa la kikatiba...
Wajumbe oyee
Wamepoteana 🤣