Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

Yani kweli media za ndani zimeamua kusaliti upinzani kweli kabisa kweli haya bwana siku hazigandi.
Wanaogopa kutekwa au kufungiwa biashara zao. Ubaguzi sio mzuri hata kidogo. Watu wanaogopa kumbuka kilichomkuta Manji, mpaka akaamua kufunga biashara zake.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yani kweli media za ndani zimeamua kusaliti upinzani kweli kabisa kweli haya bwana siku hazigandi.
Na siyo media tu Hadi wasanii wa bongofleva wamesnitch .

Ingekuwa Mexico snitch ni kupigwa Bomba tu.
 
Hoja za Lissu ni kuhakikisha Wapiga dili wanakwamisha Mipango yetu ambayo mpaka saizi wamekwama.
Mfano Mtu unajikweza kwa Wakenya waliorubuni ndege za EAC ambazo ni za Watz na wana EAC si lazima unatambulika kwamba upapeti wako ni wa namna vipi 😀😀😀😀😀😀

..hoja za kizee hizo.

..kuna vijana ambao biashara zao zinakwama kutokana na migogoro ya wanasiasa kuhusu mpaka wetu na Kenya.

..ni lazima tuwe na mahusiano mazuri na nchi majirani wakati wote. Pia ni lazima sisi tuinuke kiuchumi, na majirani zetu wainuke kiuchumi.

..Tz ikistawi kiuchumi huku majirani zake wakiwa hohe-hahe watakuwa mzigo kwetu. kama hulifahamu hilo waulize Wamarekani kuhusu majirani zao wa Mexico vs Canada.
 
Unadhani amefanya hivyo kwa kupenda ? Subirini na nyie mtakapokuwa wapinzani mtaelewa !
Hata mzee makamba aliuelewa ubatizo wa moto baadae Sana.
Nimesikia Mgombea wa CDM akisema asiposhinda atawahamasisha wafuwsi wake waingie barabarani, kama hivyo ndivyo ni waingie barabarani wafyatuliwe kuliko huyo kikabaraka wa mabeberu kuwab Rais wa nchi.
 
Best loser anajipya gani? Huyu lissu ni mfa maji,hana atakachoambulia kwenye uchaguzi wa October, akijitahidi sana ni 5% ya kura zote
Kuna mbwa wenzio pale lumumba wanasema hataambulia chochote. Wewe umeboresha kidogo. Bashiru naye kasema watashinda viti vingi.
Mtaelewa tu mwaka huu.
 
Tehetehe acha ahutubie wakenya,kura wanapiga watanzania
Hata lowassa alidiriki kuvuka mpaka na kuongea na wakenya
Nafurahi lissu anajivuruga mapema tunapa pointi za kumpiga nazo
Lissu anaongea na dunia nzima sio Tanzania tu
20200806_141131.jpg
 
Back
Top Bottom