Mkuu wewe na mimi tuanaujua ukweli kuhusu corona, tuachie hapo mkuu.Mkuu hoja yangu Ni kuwa kwa kuwa sisi Ni corona free tofauti na wenzetu, bado tunahitaji tahadhari kuruhusu mwingiliano, toka kwa nchi ziliathirika,
Ni hatari kushangilia utalii alafu ukakarbisha. Maradhi nchini mwako, kisa unataka kuwaaminisha watu uongo ili wakupe kura, baadaye ita
Sasa Kama haipo tunajihadhari nayo kwa kipi? Hata hivyo issue yangu haikuwa corona bali mtu anajejifanya kwamba bila yeye hakuna TanzaniaUmeambiwa corona haipo ila jihadhari na corona inauwa kwa muda mfupi
Petty issue_Maendeleo is increased productivity ya watu, universal and improved health systems,Quality and inclusive education system and not petty issue like taa za barabarani au kununua ndege kwa keshiKumbe Nini?
Kwahiyo wewe unakaa unafuata anayokueleza Magufuli kuhusu Corona? Utakuwa mwenda wazimu kuamini hivyo!Lisu kawashauri muwe mnakaa kwa distance na mvae barakoa msifanya ujinga kama ule wa kwenye mkutano mkuu na ile siku ya kumpokea!
Pia yeye mwenyewe mwambieni aache upumabvu! Asiwe anatangaza kuna corona wakati anapuyanga kwenye makundi ya watu bila barakoa
Hata mim ningekua nna milik kituo..marufuku kushabikia chama ambacho sio tawalaYaani kweli media za ndani zimeamua kusaliti upinzani kweli kabisa kweli haya bwana siku hazigandi.
Kama wewe si mwanaccm, huwezi ukasema U.S. wameendelea kwa kuwa wanataa za barabarani au wana fly overs.Hizi ni petty issues kwenye Ile kitu inaitwa maendeleoNi mpumbavu pekee anaweza kusema USA wameendelea wana taa hadi barabarani ila ziliwa tz siyo maendeleo.
Baadhi ya watu waliobahatika/wanao bahatika kuwa nyuma ya mikamera wanadhani wanaakili kuliko watanania wote mimi huwa napigwa na butwaa tu!Sasa Kama haipo tunajihadhari nayo kwa kipi? Hata hivyo issue yangu haikuwa corona bali mtu anajejifanya kwamba bila yeye hakuna Tanzania
Lisu dishi limeyumbaMuda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene
======
Mwandishi: Ulikuwaje mchakato wa kupona ulikuwaje?
Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu mambo ya Tanzania, Nimekaa miezi minne Nairobi, nilipata huduma nzuri sana za kiafya kutoka kwa madaktari wa Kenya, nina damu nyingi ya wakenya inatembea kwenye mishapa yangu ya damu, nawashukuru watu wa Kenya kwa kuniangalia kwa miezi minne na baadae nikaenda Ubelgiji kutibiwa kwa miezi 11.
Mwandishi: Ulipoteza kiti chako bungeni wakati uko kwenye matibabu, ilikuwa halali kisiasa au kisheria?
Lissu: Wanasema sikuwepo bungeni lakini kila mtu anajua sikuwepo bungeni kwa sababu ya jaribio la mauaji September 2017. Wale waliojaribu kuniua kwa bunduki waliposhindwa ndio wakaamua kunipokonya siti yangu bungeni. Haikubaliki kibinadamu na kisheria labda kisiasa kwenye hesabu zao za siasa.
Mwandishi: Upinzani bado haujaungana kukikabili chama tawala cha CCM, kuna uwezekano wowote upinzani kuongea kwenye sauti moja?
Lissu: Nafikiri kwa upinzani umemaanisha chama changu cha CHADEMA na ACT- WAzalendo(Lissu amekatika). Tunafanyia kazi hilo, kuna baadhi ya mambo ya kisheria yanatakiwa kufanyiwa kazi na mitego ya kisheria.(Lissu amekatika).
Mwandishi: Tanzania imekuwa haitoi namba rasmi za Corona toka April 19, wapiga kura wakienda kupiga kura, tunawezaje kuwalinda wakati wa mchakato wa upigaji kura, kitu gani kitakuwa tofauti kwenye mchakato ambacho kitawalinda?
Lissu: Hili ni suala ambalo linatufikirisha, tuko katikati ya gonjwa la mlipuko lakini serikali yetu imesema wazi kwa dunia kwamba hakuna corona hivyo Rais aliposema hakuna shida wananchi wamefata, watu hawaachi nafasi baina ya mtu na mtu, litakuwa tatizo kubwa kutoka sasa mpaka uchaguzi mkuu. Napenda kuwaomba wananchi wa Tanzania kuamika silika zao na wafanye maamuzi yao hasa kutokana na Rais kutolikubali hili gonjwa.
Nawaomba wananchi wapeane nafasi, wavae barakoa, wanawe mikono na kufanya vyote ambavyo wataalam wamewaelekeza kuepuka maambukizi ya korona.
Mwandishi: Tukiongelea Covid19, unaweza kutupa picha gani kutoka nchini kwako?
Ni picha inayohuzunisha, tunasikia taarifa watu wanakufa kwa corona lakini haviongelewi wazi, serikali imerekebisha sheria ya mitandao inayozuia kupeana taarifa kuhusu huu ugonjwa, ukisema unavunja sheria na unaweza kufungwa. Wananchi wafanye maamuzi yao na wasisikilize ushauri mbaya wa watu kutoka serikali kwamba hamna tatizo, corona inaua na ipo Tanzania.
Mwandishi: Unaongeleaje haki za binadamu?
Lissu: Rekodi ya haki za binadabu Tanzania ni janga, hii miaka mitano tumeona historia mbaya zaidi katika historia yetu yote.(Lissu amekatika)
Hivi ni wakati gani mtu anapaswa kuvaa barakoa? Naona watu mnakaririshwa tu ujinga na ninyi mnaubeba Kama ulivyoLisu dishi limeyumba
Yeye barakoa havai, social distance haweki
Juzi na Jana ameshiriki vikao na mikutano, mbona hajafanta hayo?
Au anaongelea Corona ya Ubelgiji siyo Tanzania!
Kuna ndugu yake hata mmoja amekufa kwa Corona?
Kweli bado nawashangaa wanaomshabikia huyu mzimu
miongoni mwa maswali bora kabisa uliyouliza ni hlo.... nataka walao mtu 1 alijib kwa niaba ya TLSasa kwa nini yeye na wenzake hawazingatii hatua zilizopendekezwa?
Best loser si walikua NCCR, au mmebadilisha gia angani?Hawana muda wa kuhangaika na best loser,huyuu lisu hana jipya,acha akawahutubie wakenya mΓ ana ndo wapiga kura wake
Lissu akizingatia social distanceHahaaa kumbe na yeye anasikia??
Tundu lissu nenda Amana,nenda temeke,nenda mloganzila ukikuta wagonjwa wa corona huko hata Mimi nitakupa kura,wewe Ni mwanasheria hakuna Mambo ya kusikia mahakamani
Halafu anaiambia dunia Kuna corona watu wavae barakoa!hapo ndipo utaamini kuwa chadema Ni wasaniiLissu akizingatia social distance View attachment 1528862View attachment 1528863View attachment 1528864View attachment 1528866
Hoja za Lissu ni kuhakikisha Wapiga dili wanakwamisha Mipango yetu ambayo mpaka saizi wamekwama.
Mfano Mtu unajikweza kwa Wakenya waliorubuni ndege za EAC ambazo ni za Watz na wana EAC si lazima unatambulika kwamba upapeti wako ni wa namna vipi ππππππ
Best loser anajipya gani? Huyu lissu ni mfa maji,hana atakachoambulia kwenye uchaguzi wa October, akijitahidi sana ni 5% ya kura zote