Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

Labda wanataka kumfanya Mbowe Mandela au Zuma mwingine.
Hii case ya mchongo na imempinguzia sana Rais credibility, wajifunze kwa kikwete alikuwaga hafungagi watu kwa kuwaonea
 
..Lissu anafanana zaidi na Mkapa kuliko Magufuli.

..Lissu anapenda kujisomea kama alivyokuwa Mkapa.

..Lissu ni muandishi mzuri kama alivyokuwa Mkapa.

..Anapotofautiana na Mkapa ni kwenye kutetea HAKI. Kwenye masuala ya HAKI huwezi kusikia Lissu amesalimu amri.

..Ndio maana wakati wa kampeni alimgomea IGP, na RPC wa mkoa wa Pwani. Pia alikataa kupiga magoti ili Magufuli na Ndugai wakubali kugharamia matibabu yake.
[emoji1666][emoji1666]
 
Kama hoja hii ni ukweli, then naomba mnisamehe sana, maana, mimi ni miongoni mwa tuliomchagiza Lissu agombee!.
P
Ndugu mayalla,mwinjilisti hawezi kuwa mchungaji
 
Uko sawa kwa yote, lakini Tundu Lissu siyo material ya Uongozi wa juu wa Taifa. He is worse than Magufuli
Unatumia vigezo gani kusema Lissu siyo material kwenye uongozi? Wengi hamumpendi Lissu coz ni mkweli na hayumbi kimisimamo. Lissu ni mtu wa principle wakati wengi wetu humu tumezoea viongozi wababaishaji.
 
Unatumia vigezo gani kusema Lissu siyo material kwenye uongozi? Wengi hamumpendi Lissu coz ni mkweli na hayumbi kimisimamo. Lissu ni mtu wa principle wakati wengi wetu humu tumezoea viongozi wababaishaji.
Uongozi ni karama siyo msimamo. Unaweza ukawa na msimamo hata kwenye mambo ya HOVYO kama Magufuli alipoamua kuwa Jeshi litasomba korosho badala ya wafanya biashara
 
Yaani Lissu ni zaidi ya Magufuli Kwa ujinga. Ana visasi Na machungu yaani full nuksi makasiriko.
 
Lisu mdomo mkubwa kuongea sana hawezi kukubali Mbowe aachiwe ili aendelee kula michango ya kesi na kuishi uhamishoni kwa ufadhili wa wazungu
 
Back
Top Bottom