Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Hahaha umenikumbusha! Yaani alivokuwa mpuuzi alidhani nchi ni kijiji chake iramba apate tu Urais wakati hana historia yeyote na uchapakazi tofauti na maneno matupu!
 
Wahusika wa hilo shambulio inabidi wafikishwe mahakamani kwa uovu huo, haijalishi huo utawala upo au haupo.

Akili za unaharakati hizi. Wala sikushangai maana wako walio kuwa wana amini USA na
England ni mfano wa haki duniani kote. Hivyo Bush na Blair wangefikishwa mahakamani kwa uhalifu wa kivita
 
Lissu atakuwa kapewa taarifa na watu wa kitengo na hapa Mama atapigwa butwaa kuona Lissu anajua kila kitu.
 
Sasa nyie mbona mlizitoa CCTV. Wewe umetolewa govi hospital ama porini? Halafu uache kebehi kwa Lissu.
 
Yani lissu hataki kurudi Tanzania,anachokoa chokoa ili aendelee kubaki huko alipo nahisi kanogewa. Anavyomtaja taja magufuli anasahau Anataja mtu ambae nchi haitaki kusikia akisemwa kwa mabaya,anafikiri kisa yeye anamuona JPM muuwaji ndio Serikali ya Tanzania inamuona hvyo hvyo,yani huyu mjamaa anajiweka kundi moja na mange kimambi,we muache
 
huyu mpuuzi watu 400 Tanzania hii wameuwawa kweli kabisa au anazungumzia nchi gani
 
Yaam tayari yuko kama used spare kwa kifupi hana maajabu! Unasikiaga msemo unasema walishamtumia kama toilet paper! Yaani Lisu hata kama alie vipi hakuna wa kumsaidia tofauti na Mungu wake!
Lisu akija leo hata akawa anatembea usku wa manane pekeake hakuna kitu atafanywa maana hana madhara

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Asisemwe kwa uovu wake yeye nani?
 
Lissu atakuwa kapewa taarifa na watu wa kitengo na hapa Mama atapigwa butwaa kuona Lissu anajua kila kitu.


Lissu si wa kwanza. Marehemu Kambona ndio walioanza huu upuuzi wa kutumiwa na Wazungu. Nafikiri Kambona kafa akiamini kwamba mikakati yake ndio ilimfanya Anko Tom ataroke ukonga.
 
Halafu kapilimba akijifanya eti mchungaji huwezi ukamtumikia shetani huku ukijifanya upo kwa Mungu utaumbuka tu.
 
Kumnyamazisha akiwa hajatendewa haki, ni ngumu labda watu wajitoe ufahamu tu...
 
Wamekuwa tiss tena sio musiba na makonda tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…