Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hizi zilizopoKwa sheria ipi?
Lisu akija leo hata akawa anatembea usku wa manane pekeake hakuna kitu atafanywa maana hana madharaHayajakufika wewe
Wahusika wa hilo shambulio inabidi wafikishwe mahakamani kwa uovu huo, haijalishi huo utawala upo au haupo.
Sasa nyie mbona mlizitoa CCTV. Wewe umetolewa govi hospital ama porini? Halafu uache kebehi kwa Lissu.Yaliyompata Lissu ni makubwa bila kujali yalifanywa na nani.
Lakini bado naamini tuhuma zake ni za jumla sana. Kajumlisha matukio yote na kunasibisha na wateai wake.
Tuhuma hizo ni nzito na zinataka ushahidi usioacha shaka.
Nnadhani hana ushahidi zaidi ya assumptions..vinginevyo angeuweka hadharani.
Kuna kila dalili huyu bwana risasi hazilumuacha salama.
Dishi litakuwa limeyumba sio bure
Lisu akija leo hata akawa anatembea usku wa manane pekeake hakuna kitu atafanywa maana hana madhara
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Asisemwe kwa uovu wake yeye nani?Yani lissu hataki kurudi Tanzania,anachokoa chokoa ili aendelee kubaki huko alipo nahisi kanogewa. Anavyomtaja taja magufuli anasahau Anataja mtu ambae nchi haitaki kusikia akisemwa kwa mabaya,anafikiri kisa yeye anamuona JPM muuwaji ndio Serikali ya Tanzania inamuona hvyo hvyo,yani huyu mjamaa anajiweka kundi moja na mange kimambi,we muache
huyu mpuuzi watu 400 Tanzania hii wameuwawa kweli kabisa au anazungumzia nchi gani
Lissu atakuwa kapewa taarifa na watu wa kitengo na hapa Mama atapigwa butwaa kuona Lissu anajua kila kitu.
Wengi wao nao wameshatangulia/tangulizwa futi sita chini.Mwenye orodha ya kikosi kazi aweke humu
Kumnyamazisha akiwa hajatendewa haki, ni ngumu labda watu wajitoe ufahamu tu...Mlio karibu na Lissu mkanyeni Amshukuru Mungu wake, na uongizi wa Sasa SSH kumpa Mkono wa heri inatosha.
Kutaja hivyo majina ya taasisi nyeti na majina viongozi kumtafuta mchawi haina maana.
Taasisi Ni kubwa kuliko uhai wa yeyote. Zinafanya mengi makubwa yasiyopimika kwa amani na salama ya taifa letu.
Japo binafsi nasikitika kwa yote ila katika maisha Kuna "DO "and " DON'T"
[emoji3][emoji3][emoji3]Yaani huyu poyoyo anabwabwaja kama vile anapigwa risasi Kila siku.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mnaumbuka!Lissu si wa kwanza. Marehemu Kambona ndio walioanza huu upuuzi wa kutumiwa na Wazungu. Nafikiri Kambona kafa akiamini kwamba mikakati yake ndio ilimfanya Anko Tom ataroke ukonga.