Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wapi nimesema akae kimya, chief ?Kwa hiyo kukaa kimya na kutosema lolote kwa wahuni waliotaka kukupiga risasi ndio busara unaona,haki haipatikani ukiwa muoga acha Lisu aongee
Hicho ki Tiss ndio Deep State ya Bongo ?Hili nimekuelewaaa.....tutakuja kupata waasi huko mbeleni kama TISS watazembea huu ushauri wako......tuwe vyama mbadala kwa kweli
Ameomba commitment hakikisho la usalama na sio minimum riskKwani nyie hampendi yeye ku minimize risk?
Lissu sio kidampa kama wewe kwanza anaitwa mpaka akatae ndio watafikiria kumkamataKwa nini polisi hawakumfuata?
Ameomba commitment hakikisho la usalama na sio minimum risk
Ndivyo ulokole unavyosema ?Usalama wa taifa ni wa kila mtanzania awe shekhe, mchungaji,padre au kardinali au mpiga deba daladala au muuza genge au kiongozi wa upinzani
Nimefuatilia mjadala huu wa kisiasa nimegundua Watanzania tuna roho mbaya sana hasa mhanga anapokuwa si wa itikadi sawa na yetu,kisiasa au kiimani huwa tunaona kama si binadamu mwenzetu anayesitahili kuishi au haki nyingine yoyote na tunakoelekea kama taifa ni kubaya mno.
Sasa kwa nini Kama Si kidampa kama mimi nini kiliwazuia wasiende kumhoji?Lissu sio kidampa kama wewe kwanza anaitwa mpaka akatae ndio watafikiria kumkamata
Trump au Bush walitoa amri ya kuuwawa Mmarekani gani?kama ni kweli, case closed,,amiri jeshi was nchi yeyote Dunia,ananguvu sana,
cheki Trump alitoa amri TU,watu wakapotea,,
huu ukweli watu wanajifanya hawautambui,,bush aliamuru jeshi liingie iraq ,matokeo take watu milioni kadhaa walikufa,,,
mfalme Daud,aliaamuru kamanda wake mkuu auWe ili tu yeye arithi Mke,,
kama anavyodai ni kweli Lisu awe mpole tu,hakuna kitu sisi tutaweza msaidia
Trump au Bush walitoa amri ya kuuwawa Mmarekani gani?
AsanjiTrump au Bush walitoa amri ya kuuwawa Mmarekani gani?
Hapo ndipo umuhimu wa tume huru ya uchunguzi unapokuja.Kwa maneno haya ya Lissu ni wazi hata yeye hajui nani alihusika na hiyo kazi lakini pia kuna hatari pia mhusika alikuwa na issue nyingine na Lissu tofuti na hii wengi tunayowaza..
Bila shaka utakuwa mmoja wa wahuni haoHili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomiππππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanao mkebehi ndio hao hao wahusika mkuu. UsishangaeWanaumkebehi Lissu ni wendawazimu...huyu mtu alitaka kuuliwa na mwili wake umeumizwa. Amekuja kushiriki uchaguzi kila chombo cha habari kilipigwa marufuku kutangaza habari zake. Alitaka kuuliwa akakimbilia ubalozi wa Ujerumani ameondoka chini ya usimamizi wa mataifa ya nje, sasa hapa analalamika kuhusu hao watu waliotaka kumdhuru kuna mbuzi mawe humu zinakebehi. Huyo Mama Samia mwenyewe pamoja na kwenda kumtembelea Nairobi mbona alishindwa kusimamia alivyotaka kuuliwa tena. Magufuli alikuwa na kikosi katili sana.
wengi tu,na mamlaka Yao yanaruhusu in the name of security threatTrump au Bush walitoa amri ya kuuwawa Mmarekani gani?
Asanji
Bila shakaWanao mkebehi ndio hao hao wahusika mkuu. Usishangae
Wengi ndiye Mmarekani gani huyo ?wengi tu,na mamlaka Yao yanaruhusu in the name of security threat