Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu kama ni muadilifu aseme fedha za stahiki zake ni shiklingi ngapi? Na je akilipwa atazipekekwa kwenye charity gani? Walitangazia ulimwengu wote wako watu walifanya charity kumeet gharama zake baada ya serikali kuzuia hizo stahiki zake. Analazimika jwa uungwana tu hizo stahiki zake anazo idai serikali kuzirudisha jwwnye charity.
We jamaa bana, we mwenyewe ukipewa pesa za serikali za mradi unazila, sasa unazungumzia mafao ya mtu afanye nayo charity? Unafikiria kweli ama umekalia waya unaopeleka network kwenye ubongo?

Na wewe ukistaafu utafanya charity?
Ila binadamu wa siku hizi siasa imewafanya muwe na chuki sana
 
Elewa anamsaidia rais afahamu ni watu wa aina gani anafanya nao kazi na si vinginevyo. Kumbuka hata wewe kuna wakati unakua informer kuwaambia polisi wahalifu ni kina nani kwakuwa polisi peke yao ingawaje ni taasisi kuna wakati inawalazimu kufanya kazi na informers
Mapenzi kwa Tundu Lissu yakizidi huleta upofu. Kati ya Lissu na Rais SSH nani yupo karibu na usalama wa taifa?. Kumbuka kuwa Rais ni bosi wa taasisi zote nyeti za serikali.

Nadhani umesahau kejeli ya Rais kwa huyo huyo Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, pale aliposema kuwa hao waliompiga risasi Lissu sio usalama kwani risasi mbili ni nyingi sana kwao kushindwa kumaliza kazi. Nadhani unaikumbuka hiyo kejeli.

Rais wa sasa ni wale wale CCM kinachomtofautisha ni jinsia yake yenye huruma nyingi na ubinadamu, huwa anarudi mapema sana kwenye mstari kila anapokengeuka.
 
Mkuu Rais sio Mungu atamke asitamke kama kuna mabaya yatakupata haizuii kitu! Mara ngapi Rais anasisitiza Kuhusu amani na bado watu wanauana?
What are you insinuating here? Kwamba hata akisema "uko salama TL, karibu nyumbani", basi kama ni risasi tena atapigwa tu? Hivi ndivyo unavyomaanisha, au?
Rais ni mwanadamu na mamlaka yake hayawezi kuwa kila pahala mda wote!
Really?

Una hakika na usemao au una bahatisha tu mkubwa?
Lisu anaharibu sana anapotaka lake hataki kuwapa watu mda wafanyie kazi mambo yake!
Lake lipi kalitaka? Kipi kinachofanyiwa kazi sasa? Kumbuka tangu tukio litokee 2017 hakuna suspect hata mmoja!!
Hii ni tabia mbaya ndo maana kwa sisi wakristo kuna aya inatuasa TUISHI KWA AMANI NA WATU WOTE!
Yes, uko sahihi....TUWE NA AMANI NA WATU WOTE
Lakini mwenzetu Lisu hataki kuishi kwaamani na Serkali!
Umechanganya desa. "Serikali" siyo mtu. Serikali ni chombo cha mabavu. Ndani yake kuna watu wa kila aina, wengi wakiwa WAOVU na WAUAJI.

Kumbuka Yesu Kristo alishitakiwa kwa mashitaka ya uongo, na akahukumiwa kifo kwa ushahidi wa UONGO na serikali ya Kiyahudi

Juzi kati hapa, Freeman Mbowe anashitakiwa kwa mashitaka ya uongo wa kutunga na serikali hii hii. Je, unataka waaminike kwa mwenendo na tabia hii?

Be honest and think twice before you argue. By the way, if Madam President Samia S. Hassan is honest, why is it difficult for her just to say, "....welcome home TL, your safety is assured..."
Magufuli hayupo tena nini kimamfanya asije?
Liliokufa na kuzikwa ardhini ni limwili la Magufuli. Lakini footprints zake, imani yake & his ideology still ina exist kwenye akili na fahamu za wafuasi wake kama wewe. Kwa maandishi yako tu haya, I am sure wewe ni pro Magufuli na likely unatamani umfuate TL hukohuko aliko ummalize kabisa!

Yeye mwenyewe ni mwanasheria nguli kwa nini asije ili kutoa ushahidi ili watu anaodhani walihusika Katika kushambuliwa kwake wakamatwe na kushitakiwa haki ipatikane!
Wewe mpaka hapa ni problem. Unaandika usichokijua. Ushahidi hutolewa kama kuna kesi mahakamani na kuna washitakiwa!!

Sasa mpaka sasa huko Lumumba FC na polisi wenu, mmeshakamata mtuhumiwa yeyote kwani? Kuna kesi mahakamani juu ya assassination attempt ya TL mwaka 2017?

NB:
Hebu jaribu kuvaa viatu vyake i.e Tundu Lissu

Assume ndiyo wewe yangekuwa yamekupata yaliyokupata, risasi 16 kuuchakaza mwili wako. How would you feel?
 
Ushahidi hutolewa kama kuna kesi mahakamani na kuna washitakiwa!!

Sasa mpaka sasa huko Lumumba FC na polisi wenu, mmeshakamata mtuhumiwa yeyote kwani? Kuna kesi mahakamani juu ya assassination attempt ya TL mwaka 2017?
 
Ni hoja ngumu kujadili ila kwa viashiria aulizwe makonda kwa nini kipindi Cha mwendazake alikuwa akitoa matamko kuwa hakuna wa kumfanya kitu isipokuwa rais......Mawaziri waliodhalilishwa na wengine kuonja joto lake wapo. Katiba mpya ni suluhisho
 
Ni hoja ngumu kujadili ila kwa viashiria aulizwe makonda kwa nini kipindi Cha mwendazake alikuwa akitoa matamko kuwa hakuna wa kumfanya kitu isipokuwa rais......Mawaziri waliodhalilishwa na wengine kuonja joto lake wapo. Katiba mpya ni suluhisho
mmh
 
Sasa kwa nini Kama Si kidampa kama mimi nini kiliwazuia wasiende kumhoji?
Walimuita kistaarabu wakajua ni muungwana mwenye hashima zake ataitika akipata wasaa... Bahati mbaya kabla kuitika akaona maisha yako hatarini akakimbilia ubalozin akatiimua
 
Ni member tu wa JF mkuu ... !
But tambua JF ina watu wa kila namna na kila unachotafuta Duniani kipo hapa JF...!

Binafsi nimekutana na watu kutoka sehemu mbali mbali Tanzania na nje ya Tanzania hapa hapa JF na baadhi tumekua ndugu na baadhi kwa kutumia skills,knowledge,education,trust nk tumefanya Na kufanikisha projects mbali mbali ... ni kubadili tu mtazamo wa namna unavowachukulia watu humu au popote unapokutana na new people itakusaidia sana na utakuja gundua baadae kumbe ata mtu ambae ungeweza kumtusi Au kumdharau ni daraja ambalo hukulifikiria...

Humu watu wanayo comment sometimes no contrary kabisa na reality walivo.... just some hints ... take it or drop it
EeeenHeeee! Unanipa 'lecture' mkuu?

Nimesoma katikati ya mistari andiko lako hapo juu...; hakuna chochote cha maana!

Sasa huenda utakasirika kwa mimi kukuambia hivyo, lakini ukweli ndio huo niliokupa.
 
Nimefuatilia mjadala huu wa kisiasa nimegundua Watanzania tuna roho mbaya sana hasa mhanga anapokuwa si wa itikadi sawa na yetu,kisiasa au kiimani huwa tunaona kama si binadamu mwenzetu anayesitahili kuishi au haki nyingine yoyote na tunakoelekea kama taifa ni kubaya mno.
Kumbe wewe unamtetea Lisu kwa kuwa ni CHADEMA mwenzako! Sie tunachingia kama watanzania wenye mawazo huru!
Mtu mhuni kama Lisu hapaswi kubembelezwa na Rais Samia, Wewe chukulia Samia Katoka kaonana nae Ubelgiji hata mwezi bado anaanza kumuona hawezi kushughulikia maombi yake! This guy is very stupid!
Atulie kama ananyolewa na wahenga walisema asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu ndo kinachompata huyu mbwatukaji!
 
Mimi nilishasema huyu jamaa upstairs hakuko sawa, sijui watu hawanielewi kwa nini?
Unasema unataka uhakikishiwe usalama wako ukirudi, wakati huo huo hao watakaokuhakikishia usalama wako unawakandia na kuwaita wauaji? Hivi huyu zimo kweli? #dishlimetilt
Jamaa hana nia ya kurudi, kazoea maisha ya ughaibuni na kupiga soga na akina rob amster hawezi kuwaacha aje bongo. Makamanda amkeni toka usingizini before it's too late.
 
Kapilimba huyu huyu? Mwenye majina ya KIKOSI KAZI atupatie hapa wakuu.
 
Huyu anatapatapa tuu na kitafuta kiki mara mseme makonda mara kipilimba which is which
Usalama wa Taifa kazi zao ni zipi? KUVAA MASHATI YA CCM TU? Wajitokeze sasa na kutueleza ni akina nani walipiga risasi Lissu.
 
Back
Top Bottom