Mkuu Rais sio Mungu atamke asitamke kama kuna mabaya yatakupata haizuii kitu! Mara ngapi Rais anasisitiza Kuhusu amani na bado watu wanauana?
What are you insinuating here? Kwamba hata akisema "uko salama TL, karibu nyumbani", basi kama ni risasi tena atapigwa tu? Hivi ndivyo unavyomaanisha, au?
Rais ni mwanadamu na mamlaka yake hayawezi kuwa kila pahala mda wote!
Really?
Una hakika na usemao au una bahatisha tu mkubwa?
Lisu anaharibu sana anapotaka lake hataki kuwapa watu mda wafanyie kazi mambo yake!
Lake lipi kalitaka? Kipi kinachofanyiwa kazi sasa? Kumbuka tangu tukio litokee 2017 hakuna suspect hata mmoja!!
Hii ni tabia mbaya ndo maana kwa sisi wakristo kuna aya inatuasa TUISHI KWA AMANI NA WATU WOTE!
Yes, uko sahihi....TUWE NA AMANI NA WATU WOTE
Lakini mwenzetu Lisu hataki kuishi kwaamani na Serkali!
Umechanganya desa. "Serikali" siyo mtu. Serikali ni chombo cha mabavu. Ndani yake kuna watu wa kila aina, wengi wakiwa WAOVU na WAUAJI.
Kumbuka Yesu Kristo alishitakiwa kwa mashitaka ya uongo, na akahukumiwa kifo kwa ushahidi wa UONGO na serikali ya Kiyahudi
Juzi kati hapa, Freeman Mbowe anashitakiwa kwa mashitaka ya uongo wa kutunga na serikali hii hii. Je, unataka waaminike kwa mwenendo na tabia hii?
Be honest and think twice before you argue. By the way, if Madam President Samia S. Hassan is honest, why is it difficult for her just to say, "....welcome home TL, your safety is assured..."
Magufuli hayupo tena nini kimamfanya asije?
Liliokufa na kuzikwa ardhini ni limwili la Magufuli. Lakini footprints zake, imani yake & his ideology still ina exist kwenye akili na fahamu za wafuasi wake kama wewe. Kwa maandishi yako tu haya, I am sure wewe ni pro Magufuli na likely unatamani umfuate TL hukohuko aliko ummalize kabisa!
Yeye mwenyewe ni mwanasheria nguli kwa nini asije ili kutoa ushahidi ili watu anaodhani walihusika Katika kushambuliwa kwake wakamatwe na kushitakiwa haki ipatikane!
Wewe mpaka hapa ni problem. Unaandika usichokijua. Ushahidi hutolewa kama kuna kesi mahakamani na kuna washitakiwa!!
Sasa mpaka sasa huko Lumumba FC na polisi wenu, mmeshakamata mtuhumiwa yeyote kwani? Kuna kesi mahakamani juu ya assassination attempt ya TL mwaka 2017?
NB:
Hebu jaribu kuvaa viatu vyake i.e Tundu Lissu
Assume ndiyo wewe yangekuwa yamekupata yaliyokupata, risasi 16 kuuchakaza mwili wako. How would you feel?