Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Uchunguzi huru hauhitaji Lissu na dereva wake kutoa maelezo yao?

Hiyo tume ndiyo itayotoa maelezo nini inataka sio wewe Na mimi
Hili ni suala la watu kujua kwani linaweza kumtokea yeyote mwengine
 
Hiyo tume ndiyo itayotoa maelezo nini inataka sio wewe Na mimi
Hili ni suala la watu kujua kwani linaweza kumtokea yeyote mwengine

Kipi ambacho Lissu na wapambe wake hawaja kipayuka kuhusiana na hili tukio? Wamesha pre empty uchunguzi na tume au chombo kingine chochote kitakacho chunguza hili tukio na kuja na mambo tofauti na ambayo yamesha ongelewa hakita aminika na yeyote.
 
Sasa wewe unaongea Kama Nani , Tiss, Polisi au CCM ? Hiyo Tume haijaundwa au mnaogopa kuja kushitakiwa ? Kwani mpaka aseme Lissu kwani wale waliouliwa Mtwara walifufuka wakamtaka mama aunde Tume? Si Polisi ilishaunda tume yao ? Ilikuwaje tena Mama akataka Tume huru ?
 
Naongea kama mtu hanaye hona mahajabu ya mwanasheria msomi.
 
Hili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀😂😂😂
Naunga hoja yako mkuu
 
Naunga hoja yako mkuu
Umeona eeeh kiongozi, Lisu mjanja na muongo sana pia. Siasa zimeshamshinda na bongo hataki kurudi kwa hio ameona atafute sababu za kutorudi ila atajipendekeza kwa Hangaya tu ili alipwe mafao yake ya ubunge alionyimwa na Ndugai ajinunulie mjengo Belgium aishi huko na familia yake. lakini kusema eti atarudi bongo hadi ahakikishiwe ulinzi na usalama wake huo ni uongo tu. Kingine amejua kua wabelgiji wamemshtukia sasa hivi kuna Hangaya usalama upo huko bongo, watakata mfereji wa ukimbizi.kwa hio mafao yake muhimu.Janja janja sana huyu msingidani ..
 
Huko mtwara hao polis waliuwa mtu wagawane mil 20. Wapi mosses Lijenje? ,afu kumbuka kuna polis walitimliwa kazi kwa kumbambikia prof meno ya tembo huko Arusha. Vipi zombe na kikosi chake kuuwa wafanya biashara wa madini wakiwasingizia ni majambazi? . Mahita, Boazi na afande urio waliwalaghai ex commamdo's kunakazi ya ulinzi kwa mbowe ili wawazunguke wawakamate kisha wawabambikie kesi ya ugaidi? Hii inchi huko kwenye vyombo vya dola kunawatu wako tayari kufanya uhalifu wowote kwa ahadi ya vyeo na pesa
 
Hivi yule dereva wake yupo wapi siku hizi? Au wameshamfinya pumzi mazima ili asije kuropoka mipango iliyopangwa siku ile huko mbele ya safari? Maana CDM kwa sarakasi tu wapo vizuri sana! Walicheza sana sarakasi 2005-2015, Magu akawakatalia hiyo kitu, aliwakalia kooni haswaa
 
Kuna watu wana mmomonyoko wa akili kwahiyo wale wa kibiti,mkuranga na mtwara walionewa sio?
 
Yaani Hivi huoni maovu yanayofanywa Na TISS, Polisi Na jeshi ? Zaidi ya aliyofanyiwa Lissu?
Mkuu kazi yoyote inayowahusu binadamu lazima kuwe na visasi,chuki binafsi pia nakufanya kazi kwa kujipendekeza kwa wakubwa ilikupewa nafasi za juu katika hivyo vyombo ulivyovitaja lkn bado kunawatu ktk system wasiofurahishwa na hayo mambo ndio maana sometimes wanavujisha siri makusudi kabisa MM PIA NALAANI VIKALI MATENDO MAOVU YANAYOFANYIKA KWA HILA
 
Back
Top Bottom