Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Uchunguzi huru hauhitaji Lissu na dereva wake kutoa maelezo yao?
Hiyo tume ndiyo itayotoa maelezo nini inataka sio wewe Na mimi
Hili ni suala la watu kujua kwani linaweza kumtokea yeyote mwengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchunguzi huru hauhitaji Lissu na dereva wake kutoa maelezo yao?
Hiyo tume ndiyo itayotoa maelezo nini inataka sio wewe Na mimi
Hili ni suala la watu kujua kwani linaweza kumtokea yeyote mwengine
Kipi ambacho Lissu na wapambe wake hawaja kipayuka kuhusiana na hili tukio? Wamesha pre empty uchunguzi na tume au chombo kingine chochote kitakacho chunguza hili tukio na kuja na mambo tofauti na ambayo yamesha ongelewa hakita aminika na yeyote.
Sasa wewe unaongea Kama Nani , Tiss, Polisi au CCM ? Hiyo Tume haijaundwa au mnaogopa kuja kushitakiwa ? Kwani mpaka aseme Lissu kwani wale waliouliwa Mtwara walifufuka wakamtaka mama aunde Tume? Si Polisi ilishaunda tume yao ? Ilikuwaje tena Mama akataka Tume huru ?
Na TL akapigwa risasi siku chache baada ya maneno hayo"Msaliti hatakiwi kusurvive" mayanga nasema
Hayo hayahitaji kusemwa Na Lissu ni uongozi uliopo kuunda Tume kwani Mama ameshatuonyesha Polisi ya aina gani tuliyonayoNaongea kama mtu hanaye hona mahajabu ya mwanasheria msomi.
Naunga hoja yako mkuuHili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀😂😂😂
Umeonaee wameshambulia huu uzi kama nyuki 😂Naona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.
Yaani Hivi huoni maovu yanayofanywa Na TISS, Polisi Na jeshi ? Zaidi ya aliyofanyiwa Lissu?Naunga hoja yako mkuu
Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Una laana ya mama yako ambayo Ni mbaya sanaMlelewa Ubelgiji anatafuta kila mbinu ili aendelee kupewa hela na Amsterdam
Umeona eeeh kiongozi, Lisu mjanja na muongo sana pia. Siasa zimeshamshinda na bongo hataki kurudi kwa hio ameona atafute sababu za kutorudi ila atajipendekeza kwa Hangaya tu ili alipwe mafao yake ya ubunge alionyimwa na Ndugai ajinunulie mjengo Belgium aishi huko na familia yake. lakini kusema eti atarudi bongo hadi ahakikishiwe ulinzi na usalama wake huo ni uongo tu. Kingine amejua kua wabelgiji wamemshtukia sasa hivi kuna Hangaya usalama upo huko bongo, watakata mfereji wa ukimbizi.kwa hio mafao yake muhimu.Janja janja sana huyu msingidani ..Naunga hoja yako mkuu
Huko mtwara hao polis waliuwa mtu wagawane mil 20. Wapi mosses Lijenje? ,afu kumbuka kuna polis walitimliwa kazi kwa kumbambikia prof meno ya tembo huko Arusha. Vipi zombe na kikosi chake kuuwa wafanya biashara wa madini wakiwasingizia ni majambazi? . Mahita, Boazi na afande urio waliwalaghai ex commamdo's kunakazi ya ulinzi kwa mbowe ili wawazunguke wawakamate kisha wawabambikie kesi ya ugaidi? Hii inchi huko kwenye vyombo vya dola kunawatu wako tayari kufanya uhalifu wowote kwa ahadi ya vyeo na pesaUmeona eeeh kiongozi, Lisu mjanja na muongo sana pia. Siasa zimeshamshinda na bongo hataki kurudi kwa hio ameona atafute sababu za kutorudi ila atajipendekeza kwa Hangaya tu ili alipwe mafao yake ya ubunge alionyimwa na Ndugai ajinunulie mjengo Belgium aishi huko na familia yake. lakini kusema eti atarudi bongo hadi ahakikishiwe ulinzi na usalama wake huo ni uongo tu. Kingine amejua kua wabelgiji wamemshtukia sasa hivi kuna Hangaya usalama upo huko bongo, watakata mfereji wa ukimbizi.kwa hio mafao yake muhimu.Janja janja sana huyu msingidani ..
Mkuu kazi yoyote inayowahusu binadamu lazima kuwe na visasi,chuki binafsi pia nakufanya kazi kwa kujipendekeza kwa wakubwa ilikupewa nafasi za juu katika hivyo vyombo ulivyovitaja lkn bado kunawatu ktk system wasiofurahishwa na hayo mambo ndio maana sometimes wanavujisha siri makusudi kabisa MM PIA NALAANI VIKALI MATENDO MAOVU YANAYOFANYIKA KWA HILAYaani Hivi huoni maovu yanayofanywa Na TISS, Polisi Na jeshi ? Zaidi ya aliyofanyiwa Lissu?