JahManPeace
JF-Expert Member
- Dec 1, 2019
- 473
- 661
Hawatakujibu, ila yangetokea yanayotokea huko kwa jirani yetu basi wasingeacha pia kuwalaumu hao hao wanaofanya kazi zao kwa welediKuna watu wana mmomonyoko wa akili kwahiyo wale wa kibiti,mkuranga na mtwara walionewa sio?
Tanzania will never ever negotiate with terrorist,TAKE IT OR LEAVE ITHawatakujibu, ila yangetokea yanayotokea huko kwa jirani yetu basi wasingeacha pia kuwalaumu hao hao wanaofanya kazi zao kwa weledi
Tanzania will never ever negotiate with terrorist,TAKE IT OR LEAVE IT
NDIOKuna watu wana mmomonyoko wa akili kwahiyo wale wa kibiti,mkuranga na mtwara walionewa sio?
Chief sijazungumza habari ya chama chochoteTerrorist wa kutengenezwa Na CCM ?
We ulikuwa unapendekeza wangefanywa nn mkuu?NDIO
Hebu kuwa muungwana kidogo.Hivi yule dereva wake yupo wapi siku hizi? Au wameshamfinya pumzi mazima ili asije kuropoka mipango iliyopangwa siku ile huko mbele ya safari? Maana CDM kwa sarakasi tu wapo vizuri sana! Walicheza sana sarakasi 2005-2015, Magu akawakatalia hiyo kitu, aliwakalia kooni haswaa
Huna hata akiliYale yale,huyu jamaa anachosha kweli.
Hata akibanwa nya atasema siendi nilipigwa risasi.
Watu wengu Huwa wakurupukaji,hawana akili.Kwani amesema TISS au Kikosi kazi?
Usilete mzaa na ushabiki wa kijinga kwenye maisha na damu za watu.Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
we unayo?Huna hata akili
Kwani nimekutambua habari Za chama au matendo ya CCM?Chief sijazungumza habari ya chama chochote
Hebu tueleze Nani alijaribu kumuua Lissu.Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Acha Ufala,Rais ana kazi nyingiTaifa lenye kujielewa haliwekezi kuua Raia wake, bali huwalinda kwa kila namna pasipo kujali tofauti zao.
Sasa Rais kinachomfanya ashindwe kumpa guarantee ya usalama wake ni nini kama kweli hawana nia ovu?
Shida ni vyombo vya ulinzi na usalama vinaongozwa kwa ilani ya chama hapo inakuwa ngumu kujua HAKI iko wapiKwani nimekutambua habari Za chama au matendo ya CCM?
Shida ni vyombo vya ulinzi na usalama vinaongozwa kwa ilani ya chama hapo inakuwa ngumu kujua HAKI iko wapi
Mmh kazi kweli kweliNdio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji15]
Jambo hili limeleta utata sana na kuleta hisia za fitina miongoni mwa serikali, chama tawala na vyama vya upinzani.Shida ni vyombo vya ulinzi na usalama vinaongozwa kwa ilani ya chama hapo inakuwa ngumu kujua HAKI iko wapi