Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Kesi kama hii inahaja ya kuunda tume huru maalum kwaajili ya kuchunguza kesi hii nb tume isiyofungamana na upande wowote(polisi,tiss au jw) mfano wa tume isiyofungamana na upande wowote ni kamati ya uchunguzi ya Bunge.HIYO NILIKUWA NAWAZA TU TUSITUKANANE TUJIBIANE KWA HOJA WAKUU.
 
Wengi wanaomjibu kwa kejeli ni hao aliowataja, hawana aibu na wana dharau na jeuri za kihuni.
 
Kuna watu wana mmomonyoko wa akili kwahiyo wale wa kibiti,mkuranga na mtwara walionewa sio?
Hawatakujibu, ila yangetokea yanayotokea huko kwa jirani yetu basi wasingeacha pia kuwalaumu hao hao wanaofanya kazi zao kwa weledi
 
Hawatakujibu, ila yangetokea yanayotokea huko kwa jirani yetu basi wasingeacha pia kuwalaumu hao hao wanaofanya kazi zao kwa weledi
Tanzania will never ever negotiate with terrorist,TAKE IT OR LEAVE IT
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivi yule dereva wake yupo wapi siku hizi? Au wameshamfinya pumzi mazima ili asije kuropoka mipango iliyopangwa siku ile huko mbele ya safari? Maana CDM kwa sarakasi tu wapo vizuri sana! Walicheza sana sarakasi 2005-2015, Magu akawakatalia hiyo kitu, aliwakalia kooni haswaa
Hebu kuwa muungwana kidogo.
 
Taifa lenye kujielewa haliwekezi kuua Raia wake, bali huwalinda kwa kila namna pasipo kujali tofauti zao.

Sasa Rais kinachomfanya ashindwe kumpa guarantee ya usalama wake ni nini kama kweli hawana nia ovu?
Acha Ufala,Rais ana kazi nyingi
 
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji15]
Mmh kazi kweli kweli
 
Shida ni vyombo vya ulinzi na usalama vinaongozwa kwa ilani ya chama hapo inakuwa ngumu kujua HAKI iko wapi
Jambo hili limeleta utata sana na kuleta hisia za fitina miongoni mwa serikali, chama tawala na vyama vya upinzani.

Rais Samia please unda tume huru ya majaji wasyaafu wachunguze hili watu wasafike na tuhuma za uongo.
 
Back
Top Bottom