Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba


Naungana na wewe waliompiga risasi siyo wanajesh hayo mengine sijui
 
Huyu lisu ananongwaaa khaaa! Anataka iwe hadithi mpaka lini kwamfano?
Imekwishatokea na amepona inatosha!

Aendelee na mambo mengine!
Shauri zake mama anamsikiliza lakini!
 
Kiongozi mkuu wa kikosi hicho cha kigaidi alikuwa ni yule nyapara wa mashetani Mwendakuzimu.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Sukuma gang huwa wanajitoa ufahamu kujifanya spin-masters wakidhani Lissu hana connections za ndani ya mfumo kujua shambulio lake lilifanywa na nani, kama angekufa kwenye lile shambulio kesi hiyo angebambikiwa Mbowe kwani ndivyo ilivyokuwa imepangwa eti power struggles ndiyo zimepelekea wauane wenyewe kwa wenyewe.
Ku-survive kwa Lissu kulivuruga plans zao zote, bado baadhi ya chawa wa Jiwe huwa wanajaribu kulichomeka kwa sababu ya upofu wao wa akili na wengine wao huwa ni kujitoa ufahamu tu.
 
Lissu ni msaliti kwa taifa lake, hauwezi kusomeshwa kwa kodi za watanganyika alafu baada ya kusomeshwa unaanza kuuza Siri za nchi kwa Wazungu, 'eti tutashitakiwa Miga' uku akiomba nyalaka za Siri kwa Mwanyika ili Serikali ipate asara.
 
Duh..
 
Vipi akisimulia wewe unapungukiwa damu?!

Napungukiwa hamu ya kumsikiliza!
Nikimuona nazima tv!
Mpinzani anatakiwa awe na akili ajuwe watu wanamisi nini ndiyo akilete mezan!

Hadithi ya yeye kupigwa mi inaniletea vipi maendeleo?
Mama keshawapa mwongozo waseme kero zinazowakwaza wananchi ambazo serikali imezisahau waziseme ili serikali isikie na itekeleze!
Haya kakazana nilipigwa na kikundi cha rais kwahiyo? Mara ngapi ameomba na kupiga magoti aonane na rais? Adui yako unampigia magoti ili umuone? Haya kapokea magoti yako mmekutana haikutosha?
Kwahiyo unatakaje sasa baada ya kuwa umepigwa?
Ubalozi wa marekan ulipigwa na watu tumesahau yeye nan dunia hii?
Atenge siku aadhimishe bas au atunge wimbo wa taifa mxiyu!!
Tulimuonea huruma na tulilaan kitendo na tukamaaidia kupona!
 

Idiot
 
Damu za wote waliouawa na kikosi cha kipilimba zikawe juu ya kichwa chake yeye na watoto wake milele yote!
damu za wahanga wote zikawe laana kwake na familia yake milele yote, usiku ziwe na kazi ya kumlilia na kumlaani milele yote!
Aliyekuwa mkuu wa nchi kwa vyovyote tunajua yuko sehemu gani ktk zile mbili za Mwenyezi Mungu.
 
Lissu ni msaliti kwa taifa lake, hauwezi kusomeshwa kwa kodi za watanganyika alafu baada ya kusomeshwa unaanza kuuza Siri za nchi kwa Wazungu, 'eti tutashitakiwa Miga' uku akiomba nyalaka za Siri kwa Mwanyika ili Serikali ipate asara.
Msaliti amekufa kazikwa na kifusi na mawe kama joka
 
Kwa akili hii utakuta nawe una mke na watoto! Pumbafu kabisa
 
Acha ujinga , stahiki zake Ni haki yake ataamua mwenyewe azitumie vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…