Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Lissu ni coward leader, poor politician, kuna wakati anatufuta suluhu na kusahau yaliyopita arudi nchini, kuna wakati anataka kesi ziendelee kuna wakati kama anataka kurudi tanzania, kuna wakati kama anatafuta sababu kuendelea kuishi belgium

Tumechoka clips za mtandaoni za huyu jamaa, watu kule vijijini ambao walimpigia kura za urais hawaoni wala kupata hizi clips si watu wote wanamiliki hii mitandao anatakiwa ajipambanue kama ana interest ya kuendeleza siasa Tanzania labda na matumaini ya kushika dola kwa chama chake.

Lakini ni kitu gani hasa kilimsukuma kuongea na mama samia belgium, ni kwa vipi alijenga matumaini ya kufanya maongezi na mtesi wake?? Lissu anakuwa hafahamiki anawaparaganya na wenzake, ilibidi mbowe atoke jela amfate mama Ikulu yote ni yeyee
 
MUNGU AKAUJAZE UKOO WAKO.
 
Ungekuwa wewe ndiyo lissu,ungerudi[emoji15][emoji15] hebu karibu kuvaa viatu vyake kwanza
Rais alishamtembelea wakati akiwa mgonjwa , na baadae rais ameenda Belgium kikazi lakini akatenga muda wake ili aongee nae hilo tu lingemuonesha kua usalama wake ni kipaumbele kwa serikali hii. Mama angeweza kumpotezea tu hata asionane nae huko Belgium kwani Tundu Lisu ni nani??? Ulinzi gani anaoutaka kwa sasa ??? au anataka walinzi toka Scotland Yard na FBI??? Huyu jamaa mie namuona siasa imeshamshinda sasa hivi anataka kupigania tumbo lake na familia yake basi .
 
Wewe ndio hujielewi, hakuna kitu chenye thamani kubwa kuliko uhai wa mtu
 
Huyu jamaa ana akili sana

Lakini amekua too self centered kisi kwamba anadilute very serious issues

Sasa kila siku ni dibaji yake tuuuuuu….

Hataki kurudi na anataka kuendelea kuwa diva for life
 


Sijui anataka rais ampigie magoti?

Sasa wote walifanya hivyo rais si ataishi Kwa kupiga magoti?

And he is making all these sweeping statements… hajui ni terrorists wangapi waiondolewa na kukimbilia gabo delgado

I respect this guy a lot but he is changing mno
 

Kwamba Lissu anatafuta legitimacy kwani wewe ni Kerubi kuyajua ya mwingine tofauti na anayoyasemq mwenyewe ndugu?
 

The guys wamekuwa wajasiria siasa kwelikweli. Ulimskia Mbowe mahali akisema nimetoka jela sina fedha, wajinga ni wali wao wakachangishwa makomandoo wakisimamia mabakuli. Kuzalilisha JWTZ huku hata kama waliachishwa huko kwa sababu zozote zile. Jua hapo Mama alikuwa anapelekewa kaujumbe flani ka unaniacha achaje?
 
Huyu jamaa ana akili sana

Lakini amekua too self centered kisi kwamba anadilute very serious issues

Sasa kila siku ni dibaji yake tuuuuuu….

Hataki kurudi na anataka kuendelea kuwa diva for life

Self centered usije kuwa wewe mwenye kudogosha jaribio la mtu to near death
 
Watenda kazi ni pamoja na wale waliovamia clauds wakiwa na boss bashite
 

Wajumbe wa kipilimba kwa comments zao hawajifichi
 
Yaani huyu minga si alishawahi kurudi,Akawa mpaka mgombea wa Urais. Nani alimsumbua na kama wangekuwa na nia mbaya na Lisu wangemumaliza na wasingemruhusu kurudi kwa waume zake.
 

Haya wale waliosema Tundu Lissu kazibwa mdomo waje.
 
hivi cc watz wengine hatujahakikishiwa usalama wetu?!?. inawezekana mimi sielewi kuhakikishiwa usalama ni kupi huko??!!??,Rais kutoa tamko tu kwamba utakuwa salama!???!, au ni kupewa ulinzi wa jeshi lenye silaha 24/7?!? au ni kupi huko?!?. Kama TL anatumia p/port ya Tanzania huko aliko asome ndani huko kuna sehemu Rais wa nchi anatamka kuhusu usalama wa raia wake!! kwani hilo si hakikisho?!? TL wewe rudi home bwaana, yalishaipita hayo ya visasi ukishindwa kumwamini hata mama aliyekusalimia wakati uko mahututi nairobi, kaja ubelgiji kama Rais akaomba muonane bado hujamkubali tu??!!?. Nahisi ma cake na machopstick ya ulaya yanakulemaza au POSHO za ukimbizi hupendi kuziacha. Home tupo salama NJOOO!!!
 
Ohooo! kusha kucha huku

Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi

Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Unajielewa wewe, kwani ulitegemea wasimpe ulinzi kwa walicho kifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…