Lissu ni coward leader, poor politician, kuna wakati anatufuta suluhu na kusahau yaliyopita arudi nchini, kuna wakati anataka kesi ziendelee kuna wakati kama anataka kurudi tanzania, kuna wakati kama anatafuta sababu kuendelea kuishi belgiumMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Tumechoka clips za mtandaoni za huyu jamaa, watu kule vijijini ambao walimpigia kura za urais hawaoni wala kupata hizi clips si watu wote wanamiliki hii mitandao anatakiwa ajipambanue kama ana interest ya kuendeleza siasa Tanzania labda na matumaini ya kushika dola kwa chama chake.
Lakini ni kitu gani hasa kilimsukuma kuongea na mama samia belgium, ni kwa vipi alijenga matumaini ya kufanya maongezi na mtesi wake?? Lissu anakuwa hafahamiki anawaparaganya na wenzake, ilibidi mbowe atoke jela amfate mama Ikulu yote ni yeyee