Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo amekuwa ni kipilimba? Mbona mnasemaga ni bashite?Yes kipilimba ndio alikuwa mpange magenge ya mauwaji.
Kuhusu kibiti walikuwa jwtz peke Yao na Ile ilikuwa operation kama operation zingine
Mpumbavu mkubwa wewe ndege ya Magufuli? Nyiye ndio mafalaLisu anatukanaaaa alafu akimaliza anaenda kupanda Dreamliner ya Magufuli.
Shame upon him na mme wake amsterdam
Ungekuwa wewe ndiyo lissu,ungerudi[emoji15][emoji15] hebu karibu kuvaa viatu vyake kwanzaHili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini kwa maelezo yake lile jarada lililofunguliwa na Kipilimba bado halijafungwa .... Hivyo linaweza kufunguliwa siku yeyote na wakamalizia pale walipoishia!!Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.
Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.
Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Ungekuwa wewe ndiyo lissu,ungerudi[emoji15][emoji15] hebu karibu kuvaa viatu vyake kwanza
Wewe uliwahi kupigwa risasi? Usiongee kama unakunya.!Yaani huyu poyoyo anabwabwaja kama vile anapigwa risasi Kila siku.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo TL hakupigwa risasi,au alipigwa na Al Shabab?Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Sawa maana Balozi kipilimba yupo na atasema nayeMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Tundu lisu Muongo TU ,wala hakupigwa risasi,Yale makovu ni ya ugonjwa wa tetekuwangaHajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.
Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
Wanajulikana humu. Tukio la Lissu ni tukio kiongozi la ubovu wa utendaji wa vyombo vya Dola. Mtu kama Lissu Kwa chombo makini kisingeweza kufanya ujinga ule katikati ya mji mchana kweupe.Naona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.
Nyie kenge mlikuwa mnasema bashite ndio alifanya huu mchongo afu leo mmegeuka mnasema kipilimba
Wewe ungepigwa risasi moja TU ya mguu,sidhani kama ungekua na akili timamu Hadi Leo.Yaani huyu poyoyo anabwabwaja kama vile anapigwa risasi Kila siku.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Tundu lisu Muongo TU ,wala hakupigwa risasi,Yale makovu ni ya ugonjwa wa tetekuwanga
Hawa jamaa hawajielewi kabisaWatakuambia taarifa zao wanapewa na chanzo nyeti.
wewe mjusi ,kwani wapi wamesema Bashite hahusiki?Nyie kenge mlikuwa mnasema bashite ndio alifanya huu mchongo afu leo mmegeuka mnasema kipilimba