Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Lissu anatafuta legitimacy ya kuendelea kuishi ubelgiji na hakuna lingine hapo.
Kila siku story ya risasi, watu tulikwisha achana na huo ukurasa.
Kuna wengi walidhurika na wapo wanasonga na maisha yao bila hofu.
Hapa tatizo liko kwa kina Maria Sarungi na Fyatu karume wanao host hiyo the space na kumfanya mwenyekiti kila siku.
Mnatuchosha bhana!
Lissu na Lema ni kama nyuki daima sio wa kukumbatiwa.
Lisu alidhurika lazima aseme ukweli wa kilichomkuta, ww ulidhurika wapi? Hamna sababu ya kukalia kimya watu waovu ambao bado wapo, ww uliyefaidika na uovu ule ni haki yako kukaa kimya. Na hakuna mtu anakulazimisha usikilize huko space maana kuna ukweli unaokuumiza.