Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Kama Idara ya usalama wa taifa inayolalamikiwa na Lissu kumfanyia unyama yeye, akina Ben Saanane na na wengine wengi ilikuwa chini ya serikali hii hawa viongozi waliopo sasa hawahusiki?

Kwa nini alipokutana na rais Samia hakumueleza kuwawqjibisha hawa viongozi waliopo sasa na walioshiriki kufanya unyama dhidi yake na watu wengine?

Lissu sasa anakengeuka kisiasa.
 
Yaliyompata Lissu ni makubwa bila kujali yalifanywa na nani.
Lakini bado naamini tuhuma zake ni za jumla sana. Kajumlisha matukio yote na kunasibisha na wateai wake...

Umeandika kama yaliyomkuta Lissu ni mchezo wa kuigiza. Acha maskhara ndugu:

IMG_20220309_162701_989.jpg

Palikuwa na mtu humo na mtuhumiwa ni serikali.
 
Huyu jamaa nae sasa imekua too much na hii kiki yake... arudi kujenga Taifa kama Raia wengine bana aache izo mambo zishakua zilipendwa...
 
Nakwambia huyo hana jipya tena kwenye ilingo wa sasa labda mtakuwa mnamtumia tu kama chambo ili watanzani kuwaomea huruma!
Ndo mjue kabisa asiyefundishwa na mama hufundishwa na ulimwengu mojawapo ni huyu limbukeni sasa anamalizia maisha yake kwa mateso makali!
Unazungumza kwa niaba ya watanzania? Kwani wewe nani ndugu?
 
Kipilimba "Mchungaji" wa kondoo!

Huyo jamaa alivyokaa kaa kimwonekano, haishangazi kama aliyasimamia haya.

Taratibu yote yataeleweka, na inafaa wahusika wafikishwe mbele ya sheria.
Ubalozi ni reward ya kazi nzuri. Job well attempted!
 
Nakwambia huyo hana jipya tena kwenye ilingo wa sasa labda mtakuwa mnamtumia tu kama chambo ili watanzani kuwaomea huruma!
Ndo mjue kabisa asiyefundishwa na mama hufundishwa na ulimwengu mojawapo ni huyu limbukeni sasa anamalizia maisha yake kwa mateso makali!

Hayo ni kelele tu ndugu ila tambua:

IMG_20220309_162701_989.jpg

Humo palikuwa na mtu yuko hai na mtuhumiwa ni serikali.
 
Jamaa wanasema alilindwa na akina khalfan bwire na akina adamoo makomandoo wa mbowe
Acheni kucheza na kuwindwa na wauaji.

JF Kennedy Raisi wa marekali aliua pamoja na kuwa na walinzi wako wengi 3 waliua huko USA. Hapa Zanzibar Karume aliua pamoja na Walinzi walokuwepo.

Leo hii kuna Snipers wanakudungua ukiwa umbali wa kilomita 3.5.

Yule mwandishi wa Saudia Jamal Koshugi aliuawa akiwa analindwa na wazungu.. Wanaotaka hakikisho la Ulinzi hwajafikiri vzr
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana...
Walikupiga risasi kwa kosa gani.muhimu tukajua hilo kwanini walikupiga risasi nyingi vile naamini sababu unazijua ni vema ukatujulisha watanzania wenzako usiishie kulalamika tu weka na way forward unataka nini kifanyike au fungua kesi huko huko ubelgiji.
 
Jifanye hayakuhusu na dharau zako. Kuna yule mama Mtwara alifikilie wanaopigwa risasi Ni kina Lissu pekee, ila ameshangaa mwanae ameuawa na polisi amelia mpaka serikali ikaunda Tume. Hujafa hujaumbika!!

Nilitegemea utajibu kama nilivyouliza ila acha niulize tena
Hivi yule dereva yuko wapi

Tunajua pia polisi walipoteza kuaminiwa mda mrefu tu
 
Acheni kucheza na kuwindwa na wauaji.
JF Kennedy Raisi wa marekali aliua pamoja na kuwa na walinzi wako wengi 3 waliua huko USA. Hapa Zanzibar Karume aliua pamoja na Walinzi walokuwepo.
Leo hii kuna Snipers wanakudungua ukiwa umbali wa kilomita 3.5
Yule mwandishi wa Saudia Jamal Koshugi aliuawa akiwa analindwa na wazungu.. Wanaotaka hakikisho la Ulinzi hwajafikiri vzr

Labda una shauri na Samia awaondoshe tu walinzi wake kwa maana haisaidii kuwa na ulinzi?
 
Kama matibabu hayajesha asipewe

Sijasema asipewe. Apewe lakini azielekeze kwenye charity. Kwa mfano wako Wafuasi wa CDM walio wasikiliza wakaandamana bila utaratibu wakakutana na waliyo kutana nayo nao ni wahitaji pia. Fedha hizo angekuwa si kiongozi mchumia tumbo na mbinafsi angetakiwa kuwa amesha tangaza kitambo kabla ya haya maoni kuanzisha mfuko wa hisani wa CDM. Ili wahanga wengine nao wafaidike kwa kuanzia na hizo zake. Jamaa hawa ni wa binafsi ile mbaya.

Kinacho sikika ni kupiga kelele ya stahiki zake ili alipwe basi. Kichekesho kingine nimemsikia anadai apewe kidhibiti cha tuko lile la kushambuliwa cha gari lake liloko polisi wakati bado anasubiriwa atao maelezo.
 
Umeandika kama yaliyomkuta Lissu ni mchezo wa kuigiza. Acha maskhara ndugu:

View attachment 2162073

Palikuwa na mtu humo na mtuhumiwa ni serikali.

Labda una shauri na Samia awaondoshe tu walinzi wake kwa maana haisaidii kuwa na ulinzi?
Samia mwenyewe hana hakikisho la usalama wake ndg
Labda una shauri na Samia awaondoshe tu walinzi wake kwa maana haisaidii kuwa na ulinzi?
Ulinzi ni kuminimise risk na sio ku quarantee safety.
 
Not batch of fools maana taarifa inatoka kwa reliable and credible sources. Waliwapa taarifa za ukweli kuhusu Magufuri na Magufuri kafariki. Leo wamempa taarifa za kikosi kazi kipindi Cha Magufuri huwezi kuconnect dots. Kwamba Kuna kundi ndani ya sysytem halifurahii shambulio la Lissu.

Kesho usishangae yule Kipilimba ana letwa nchini. Huwezi jua ya kesho. Maana Nani alidhani General Sabaya angekuwa na kesi ya uhujumu uchumi?. Anayempa taarifa Lissu yupo sahihi

Kapilima alikuwa na cheo gani ili niweze kuelewa hii comment yako? Na kwa mtu yeyote aliye critical thinker atajiuliza hivi kila mfungwa ni mfungwa?
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Yaani lissu ni mtu mbinafsi na mlaku kupindukia. Yaani yeye itikadi yake ni kuhusu maslahi yake tu. Pumbafu sana. Yaani ni bonge la 'reactionary' mpinga maendeleo. Halafu anajiamini kupindukia bure tu.
 
Sijasema asipewe. Apewe lakini azielekeze kwenye charity. Kwa mfano wako Wafuasi wa CDM walio wasikiliza wakaandamana bila utaratibu wakakutana na waliyo kutana nayo nao ni wahitaji pia. Fedha hizo angekuwa si kiongozi mchumia tumbo na mbinafsi angetakiwa kuwa amesha tangaza kitambo kabla ya haya maoni kuanzisha mfuko wa hisani wa CDM. Ili wahanga wengine nao wafaidike kwa kuanzia na hizo zake. Jamaa hawa ni wa binafsi ile mbaya.

Kinacho sikika ni kupiga kelele ya stahiki zake ili alipwe basi. Kichekesho kingine nimemsikia anadai apewe kidhibiti tukio ka kishambuliwa cha gari lake liloko polisi wakati bado anasubiriwa atao maelezo.

Hayo ni ya baadaye , kama ni hakie yake apewe.
 
Back
Top Bottom