Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kama Idara ya usalama wa taifa inayolalamikiwa na Lissu kumfanyia unyama yeye, akina Ben Saanane na na wengine wengi ilikuwa chini ya serikali hii hawa viongozi waliopo sasa hawahusiki?
Kwa nini alipokutana na rais Samia hakumueleza kuwawqjibisha hawa viongozi waliopo sasa na walioshiriki kufanya unyama dhidi yake na watu wengine?
Lissu sasa anakengeuka kisiasa.
Kwa nini alipokutana na rais Samia hakumueleza kuwawqjibisha hawa viongozi waliopo sasa na walioshiriki kufanya unyama dhidi yake na watu wengine?
Lissu sasa anakengeuka kisiasa.