Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Kwa maneno haya ya Lissu ni wazi hata yeye hajui nani alihusika na hiyo kazi lakini pia kuna hatari pia mhusika alikuwa na issue nyingine na Lissu tofuti na hii wengi tunayowaza..
Inawezekana kuna watu walitaka kumchafua Rais Hayati Jpm lakini kitendo cha kutolishughulikia swala lile ioasavyo kinatia mashaka.
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Kwamba Bashite hayumo basi hiyo orodha ni feki!
 
Bashite si ndo alikuwa kiongozi wao - unakumbuka ule msafara wa kule Clouds usiku na zengwe na Mo Dewji.
au kipindi kile Roma mkatoliki anatafutwa, yeye akasema atapatikana, na kweli akapatikana. ilifikirisha sana.
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Lisu nadhani kichwani ana matatizo. Hivi kama TISS wangetaja kumuu wangempatia ulinzi 24/7 wakati wa uchaguzi? Hii iko hivi. Lisu alipigwa risasi tena walitaka wamuue na wahusika wakuu ni mabeberu na lengo lao lilikuwa kuichonganisha serikali na wananchi/mabeberu ili patokee vita/vurugu. Sasa alipopona na alipokuja kugombea hao hao waliompiga risasi walikuja kumhakikishia usalama na aliposhindwa wakaona hana dili wakamuachaniza ndiyo maana akapaniki na kukimbilia ubalozini. Pia inasemekana huko kaolewa na mwanaume mwenzie
 
Ohooo! kusha kucha huku

Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi

Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Wewe wakati wa uchaguzi jamaa alikuja na kurunzi yenye mwanga mkali wa kufa mtu! Wangemgusa Magu angesakwa kama mhalifu wa usalama wa binadamu!. Waliwaona na waliwaonya!
 
Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.

Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.

Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Ah wapi siyo kwa rais wa kupata maelekezo wewe! Kwani Mbowe alishtakiwa kimagumashi na nani?
 
Lisu nadhani kichwani ana matatizo. Hivi kama TISS wangetaja kumuu wangempatia ulinzi 24/7 wakati wa uchaguzi? Hii iko hivi. Lisu alipigwa risasi tena walitaka wamuue na wahusika wakuu ni mabeberu na lengo lao lilikuwa kuichonganisha serikali na wananchi/mabeberu ili patokee vita/vurugu. Sasa alipopona na alipokuja kugombea hao hao waliompiga risasi walikuja kumhakikishia usalama na aliposhindwa wakaona hana dili wakamuachaniza ndiyo maana akapaniki na kukimbilia ubalozini. Pia inasemekana huko kaolewa na mwanaume mwenzie
Wewe poyoyo kauze hii propaganda labda ndege watakula lakini sidhani kama kuna kiumbe atakaye inunua. Inawezekana unahusika sana na huu uchafu!!
 
Huyu bwana alishambuliwa kwa nia ya kumwua.

Kwa hakika angeweza kuuwawa.

Kauli kuwa upelelezi hauwezi kukamilika bila yeye kuwapo hazina ukakasi?
Waambie ndugu yangu! wanaompinga hapa hata wakinusa kutafutwa watajiharishia mwaka mzima ndani kwa hofu!
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Kipilimba yule mchungaji wa kilokole ndiye mwenye hii dhambi kweli nimeamini kumbe dini biashara tu!
 
Lisu nadhani kichwani ana matatizo. Hivi kama TISS wangetaja kumuu wangempatia ulinzi 24/7 wakati wa uchaguzi? Hii iko hivi. Lisu alipigwa risasi tena walitaka wamuue na wahusika wakuu ni mabeberu na lengo lao lilikuwa kuichonganisha serikali na wananchi/mabeberu ili patokee vita/vurugu. Sasa alipopona na alipokuja kugombea hao hao waliompiga risasi walikuja kumhakikishia usalama na aliposhindwa wakaona hana dili wakamuachaniza ndiyo maana akapaniki na kukimbilia ubalozini. Pia inasemekana huko kaolewa na mwanaume mwenzie
Unamuonea wivu kaolewe na wewe
 
Back
Top Bottom