Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Kila ubaya utalipwa
 
Lisu nadhani kichwani ana matatizo. Hivi kama TISS wangetaja kumuu wangempatia ulinzi 24/7 wakati wa uchaguzi? Hii iko hivi. Lisu alipigwa risasi tena walitaka wamuue na wahusika wakuu ni mabeberu na lengo lao lilikuwa kuichonganisha serikali na wananchi/mabeberu ili patokee vita/vurugu. Sasa alipopona na alipokuja kugombea hao hao waliompiga risasi walikuja kumhakikishia usalama na aliposhindwa wakaona hana dili wakamuachaniza ndiyo maana akapaniki na kukimbilia ubalozini. Pia inasemekana huko kaolewa na mwanaume mwenzie
😡
 
Watu wengine tukisema hamna akili mnachukia,hivi CHADEMA wanahusikaje hap na mkato roho Magufuri hakupenda kuchafuliwa,akubali kuchafuliwa wakati CHADEMA wamefanya kosa kweli?
 
Ni jambo la kawaida kwa kila raia mwenye mashaka na usalama wake kutoa taarifa na kuhakikishiwa ulinzi kwa mujibu wa sheria.

Kuna ugumu gani kwa Mama Samia kama mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kumhakikishia mhanga huyu usalama wake kwa mujibu wa sheria?
ninavyofahamu mimi kupitia movies taasisi ya usalama na serikali ziko autonomous kila moja japo zinashirikiana.
hivyo Rais hana mamlaka ya kuzuia hukumu za usalama maana hata yeye akizingua wanamuondoa hivyo kama usalama ndo walihusika anavyodai mnyampaa basi Tindo Lussu ni marehemu mtarajiwa maana adhabu aliyopewa haikukamilika na akija bongo one day akiwa amejisahau kabisa na raia wamesahau watamuondoa kivingine hata kwa sindano ya moto maana hukumu ya usalama ikishapitishwa huwa haitenguliwi na mtu yoyote , na jaribio moja likishindwa hufanyika jaribio jingine la kitaalamu zaidi hadi mission iwe accomplished!
nadhani Belgium panamfaa zaidi!!!😁
 
Lisu nadhani kichwani ana matatizo. Hivi kama TISS wangetaja kumuu wangempatia ulinzi 24/7 wakati wa uchaguzi? Hii iko hivi. Lisu alipigwa risasi tena walitaka wamuue na wahusika wakuu ni mabeberu na lengo lao lilikuwa kuichonganisha serikali na wananchi/mabeberu ili patokee vita/vurugu. Sasa alipopona na alipokuja kugombea hao hao waliompiga risasi walikuja kumhakikishia usalama na aliposhindwa wakaona hana dili wakamuachaniza ndiyo maana akapaniki na kukimbilia ubalozini. Pia inasemekana huko kaolewa na mwanaume mwenzie
Ulinzi wa wagombea kiti cha Urais ni takwa la kisheria siyo hitaji la TISS au CCM, ipo hivyo Duniani kote. Pili kupatiwa ulinzi na adui yako haina maana kwamba adui anayo nia njema dhidi yako, unaweza kupewa ulinzi ambao upo kwa ajili ya kukudhulu (inside job).

Basi nchi ipo uchi kiulinzi kama Mabeberu wanaweza kuingiza gari lenye wauaji mchana kweupe kwenye eneo lenye ulinzi wa hali ya juu pale makazi ya wabunge na viongozi aliposhambuliwa Lissu.

Shambulio la Lissu ni kazi ya STATE, well planned chini ya hayati JPM and his gang na ndiyo maana kesi imekufa kibudu. Yule kiongozi aliyesema CCTV zipo ushahidi wa kujitosheleza sijui aliishia wapi!

Mungu wetu ni Mkuu na mwenye kutenda HAKI, job well done kupitia kifo.
 
Kesi kama hii inahaja ya kuunda tume huru maalum kwaajili ya kuchunguza kesi hii nb tume isiyofungamana na upande wowote(polisi,tiss au jw) mfano wa tume isiyofungamana na upande wowote ni kamati ya uchunguzi ya Bunge.HIYO NILIKUWA NAWAZA TU TUSITUKANANE TUJIBIANE KWA HOJA WAKUU.
Hii issue inatakiwa TUME HURU lakini ihusishe watu wa ndani.. hasa majaji.. pia ihusishe nchi za jirani kama Kenya.. na nchi za jumuiya ya Madola kama South Africa.. Na nk nk..

Pia Interpol / na Watu wa Jumuiya ya Ulaya nk hata UN pia...

Likifanyika hilo..... Tutakumbwa na aibu ya miaka na miaka... Maana system ya usalama yetu itakuwa exposed...
Uhuni mwingi utaibuliwa... Na udhaifu wa kimfumo ya kiulinzi na siasa zetu chafu...
 
Lisu nadhani kichwani ana matatizo. Hivi kama TISS wangetaja kumuu wangempatia ulinzi 24/7 wakati wa uchaguzi? Hii iko hivi. Lisu alipigwa risasi tena walitaka wamuue na wahusika wakuu ni mabeberu na lengo lao lilikuwa kuichonganisha serikali na wananchi/mabeberu ili patokee vita/vurugu. Sasa alipopona na alipokuja kugombea hao hao waliompiga risasi walikuja kumhakikishia usalama na aliposhindwa wakaona hana dili wakamuachaniza ndiyo maana akapaniki na kukimbilia ubalozini. Pia inasemekana huko kaolewa na mwanaume mwenzie
UJINGA huu kawadanganye wanao pumbavu mkubwa wewe Mudawote. Siyo lazima kila mmoja aaandike JF, wengine someni tu mupanue understanding yenu.
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

This is the truth but not quite the whole truth. Waliokufa Mkuranga ni magaidi wa UAMSHO kwa ufadhili wa Sheikh Mselem wa Zanzibar na kundi hilo. Target yao ilikuwa ni polisi au makada wa CCM - wa CUF hawaguswi (CHADEMA huikuti sehemu kusiko na tozo, Mkuranga hawana tigo wala benki, huwakuti huko). Polisi wakaona hu ni upuuzi wakasema sasa basi. Kuhusu kazorigwanda alitumiwa na magazeti ya Kenya kutoa breaking news kila akifa polisi au kada wa CCM, when things got the
 
1662568730631.png

==
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Tundu Lisu na genge la Chadema ni watu wahuni wahuni tu...
 
Tume huru kwa shambulio la Lissu ni muhimu sana

Back
Top Bottom