Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Ruzuku ipi? Kwa chama cha ukubwa wa Chadema ruzuku haitoshi kabisa. Mojawapo ya headaches za Mwenyekiti ni upatikanaji wa pesa za kuendesha chama.Ila hatokuwa na nafasi ya kucheza na ruzuku hapo hasa ndo panampa pressure
Pressure unajipa wewe.Ila hatokuwa na nafasi ya kucheza na ruzuku hapo hasa ndo panampa pressure
Ruzuku ipi? Kwa chama cha ukubwa wa Chadema ruzuku haitoshi kabisa. Mojawapo ya headaches za Mwenyekiti ni upatikanaji wa pesa za kuendesha chama.
Amandla...
We unadhani Tiss ni kila kitu?Lisu awezi kumshinda Mbowe.atamshinda vipi mtu anaepewa suport na tiss!
sii kweli!,asinge haha hivi!Pressure unajipa wewe.
Mbowe yupo tayari kwa matokeo yoyote.
Chadema haina kabisa a succesion plan CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! na CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!Sana sababu ya kugombea amejifunza late, hakuandaa mrithi.
miaka 20 yote bado?Huu muhula wa mwisho atautumia kuhakikisha chama kinawagombea wenye sifa sahihi wa kumrithi.
Kweli udhaifu mkubwa wa Tundu Lissu ni roporopo,hivyo ni a very bad liability Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?Lakini sio ropo-ropo kama Lissu.
japo Lissu ni liability,at the same time ndie the one and only asset Chadma has,yenye the ability and capability ya kuiingiza Chadema ikulu 2025 Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?Lissu angekuwa mtu sahihi, Mbowe asingegombea tena.
Mbowe ndio mtu sahihi kwa CDMsii kweli!,asinge haha hivi!
Chadema haina kabisa a succesion plan CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! na CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena!
miaka 20 yote bado?
Kweli udhaifu mkubwa wa Tundu Lissu ni roporopo,hivyo ni a very bad liability Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
japo Lissu ni liability,at the same time ndie the one and only asset Chadma has,yenye the ability and capability ya kuiingiza Chadema ikulu 2025 Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
It worked for Trump, it's gonna work for Lissu.Lissu badala ya kuhakikisha pesa za 'Abdul' hazipenyi anabakia kushambulia yule anaeamini ni ' the enemy within'! Playbook ya Trump kabisa.
Amandla...
Mkuu Gagi,@gagnija,naunga mkono hoja Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii? iwapo Watanzania watakuwa wajinga kama Wamarekani Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?It worked for Trump, it's gonna work for Lissu.
Jamaa lenu limeshakuwa bumunda sana!Unaumia ukiwa wapi? Maumivu yakizidi tumia cofta boss
Bado hamjasemaTundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa
"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.
Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.
Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Huyu ndio Tundu Lissu hawaamini hata watu anaotaka kuwaongoza! Ahahahahaha!!!
Wenje na mbowe watanunua uenyeviti kwa pesa nyingi sana na ndiyo chadema kuelekea kuwa CUFAmeanza.
Kidogo tu atakimbilia ulaya
Malengo ni wenje kuwa Dalali mpaka wanazeeka na kufaTatizo umetumia codes sana, ndugu comrade. Lakini tumejitahidi kukuelewa. Ila nasikia wenyewe hawataki kushika dola. Eti wana malengo tofauti kabisa.
Wenje na Boniface kinara wa vurugu ndiyo wameandaa uchakachuaji woteWatu wenyewe sasa! Unataka awaaminije wakati mambo meusi ndiyo hayo yanaonekana?
Kikulacho ki ngoni mwako sasa mbowe na wenje ndiyo maadui wakubwa wa mbowe na mbowe anatamani lolote litokee ili mradi abakie kuwa mwenyekiti haramu wa milele alinde madudu yake ya ufisadi wa pesa za mboweTulishawaambia aliyetaka kumuua alikuwa ni mbowe na lengo lilikuwa kuondoa ushindani. Sasa unaona mnaanza eti kumnanga lisu wenu. 😂
Kwa njia haramu ya kununua uenyekiti huoMbowe mitano tena km hupendi nenda na ww kwny uchochoro wa kwenu ukaseme mama mitano tena
Wenje na Timu Mbowe wale wabunge 19 wakiongozwa na mdee wamepigwa kona zote za uchakachuaji ili kupora kura za Lisu na mbowe kuwa mwenyekiti haramuTapeli mbowe kila upenyo unazibwa, hana pa kutokea.