Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa.

Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo.

Huu utulivua na mwitikio unatokana na nini?

Hahaha kaona hapati watu kaamua kwenda kkooo kabisa......
Dr Slaa anamtia wasiwasi inabidi na yeye ajitoe ufaham aanze kumshambulia Samia hata kama anajua IGA sio mkataba
Nimecheka, ccm mmetengeneza propaganda kisha mnaiamini wenyewe. Hivi watu wa kitengo cha propaganda huko CCM wote wameshazeeka nini? Mbona mbinu za propaganda hazibadiliki ni zilezile outdated?
 
Furniture Safi 🇹🇿0786437672
✔️Kitchen cabinet ya kisasa
✅Juu plate ndan vyombo
✔️Tsh 200,000 tu
✅Tunapatikana manzese Argentina
357027232_17957837858611366_565836534054988492_n.jpg
 
Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa.

Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo.

Huu utulivua na mwitikio unatokana na nini?

Foe sure simpendi lissu hata kidogo tu. Ila kama atagomvea urais mwakani kura yangu anayo mchana kweupe sababu sijaona wengine wanaowaza kwa kichwa
 
Hahaha kaona hapati watu kaamua kwenda kkooo kabisa.

Dkt. Slaa anamtia wasiwasi inabidi na yeye ajitoe ufaham aanze kumshambulia Samia hata kama anajua IGA sio mkataba
Yani unataka tuamini kwamba wewe unaijua sheria kumzidi Tundu Lisu na Mzee Warioba?

Ndani ya wiki tatu, umetoka kua "The boss" mpaka kua "The loss"

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimecheka, ccm mmetengeneza propaganda kisha mnaiamini wenyewe. Hivi watu wa kitengo cha propaganda huko CCM wote wameshazeeka nini? Mbona mbinu za propaganda hazibadiliki ni zilezile outdated?
Ccm bwana. The Boss ni mfano wa watu waliokata tamaa.

Hakuwa hivi huyu Jamaa. He was a good thinker wote tulimuamini.
 
Back
Top Bottom