Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #61
AmeenLiwe jua Iwe mvua 2025 CCM LAZIMA IANGUKE TUPATE KUPONA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmeenLiwe jua Iwe mvua 2025 CCM LAZIMA IANGUKE TUPATE KUPONA
Kwani chadema inatawala Nchi gani?Chadema hawajawahi kuja na suluhisho la kitu chochote zaidi ya kulalamika na kuponda unlike act wazalendo.
Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa.
Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo.
Huu utulivua na mwitikio unatokana na nini?

Nini basis ya wao kuwachagua? Unaelewa maana ya Ilani za Vyama?Kwani chadema inatawala Nchi gani?
kichwa km ni uzushi, uwongo na umbea kweli analoFoe sure simpendi lissu hata kidogo tu. Ila kama atagomvea urais mwakani kura yangu anayo mchana kweupe sababu sijaona wengine wanaowaza kwa kichwa
Mkuu wewe endelea na Lumumba yako. Cdm waachie wenyeweNini basis ya wao kuwachagua? Unaelewa maana ya Ilani za Vyama?
Tapeli alikuwa chatlewalikuwa wanamchora tu yule tapeli na kwa taarifa yako wameshampuuza
Tunajaribu kuwaambia kwamba wanarubuniwa kama Ruto alivyowarubuni Ma hustlers 🤣🤣Mkuu wewe endelea na Lumumba yako. Cdm waachie wenyewe
Hapa umemmaliza aisee😃😃.Sikiliza hotuba uje uchangie sio uje kuuliza wakati hujasikiliza.
Choice wewe ni mtu wa heshima acha kujiharibia heshima yako
😆😆😆😆Tunajaribu kuwaambia kwamba wanarubuniwa kama Ruto alivyowarubuni Ma hustlers 🤣🤣
Tatizo majitu mengi Yana akili za kushikiwa hayawezi fikiria on their own.😆😆😆😆
Kwa hiyo akiwa kichwa Cha sheria ndio itasiidia vipi wafanyabiashara? Mbona hawaendi kumuita akawasaidie kwenye Rufaa za Kodi?Mi binafsi siipendi CHADEMA ila naamini TUNDULISSU ni kichwa cha sheria kwa nchi hii.
Wanawaza na kuwazua kuwa huyu jamaa ana bahati sana licha ya kumiminiwa risasi nyingi lakini alipona.Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa.
Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo.
Huu utulivua na mwitikio unatokana na nini?
The Loss Kwa kweliYani unataka tuamini kwamba wewe unaijua sheria kumzidi Tundu Lisu na Mzee Warioba?
Ndani ya wiki tatu, umetoka kua "The boss" mpaka kua "The loss"
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
AusiyoHahaha kaona hapati watu kaamua kwenda kkooo kabisa.
Dkt. Slaa anamtia wasiwasi inabidi na yeye ajitoe ufaham aanze kumshambulia Samia hata kama anajua IGA sio mkataba
Awasaidie ili washinde wasilipe kodi?au sijakuelewa vizuri!Kwa hiyo akiwa kichwa Cha sheria ndio itasiidia vipi wafanyabiashara? Mbona hawaendi kumuita akawasaidie kwenye Rufaa za Kodi?
Si ndio anawaambia hivyo watalipa kidogo? Akawasaidie walipe kidogo au wasilipeAwasaidie ili washinde wasilipe kodi?au sijakuelewa vizuri!
Wafanyabishara wasipolipa kodi nchi itaendaje sasa?Tanganyika ni miongoni mwa nchi ambazo zina walipa kodi wachache,Wafanyabishara wasichoke kulipa kodi ili tujenge nchi.