Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa...
Kumbe
 
Mkuu, hata mimi nashangaa! kimetokea nini? Hili suala la bandari limembadilisha kiasi kwamba hata wakati mwingine anachanganya hoja zake.
Inawezekana kalipwa. Sio kawaida kabisa.

Anasimamia vitu ambavyo hawezi kuvitetea.
 
Sikiliza hotuba uje uchangie sio uje kuuliza wakati hujasikiliza.

Choice wewe ni mtu wa heshima acha kujiharibia heshima yako
Chadema hawajawahi kuja na suluhisho la kitu chochote zaidi ya kulalamika na kuponda unlike act wazalendo.
 
Ukitazama jinsi wafanyabiashara wa Kariakoo walivyotulia na kumsikiliza Tundu Lissu haraka haraka unaweza kudhani Wafanya biashara walikuwa Chini ya Mamlaka kubwa.

Umati wa watu wametulia na kusikiliza Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa Mh Tundu Lissu aki address wafanya biashara kariakoo.

Huu utulivua na mwitikio unatokana na nini?

watu wamebadilika sahivi hawataki tena ulaghai wa CCM
 
Acheni kupoteza mda wenu Bure,hao kina Lisu hawana chochote Cha maana wanaweza wasaidia ila kama huna kazi ya kufanya nenda kuwasikiliza..
 
Wafanya biashara wananasikiliza na kutoa duku duku zao kuliko walivyofanya kwa fujo mbele ya PM majaliwa.
Ni ujinga unawasumbua,Sasa Lisu atawasaidia Kwa lipi? Au Chadema imewaambia chochote Cha maana ambacho itafanya?
 
Hahaha kaona hapati watu kaamua kwenda kkooo kabisa.

Dkt. Slaa anamtia wasiwasi inabidi na yeye ajitoe ufaham aanze kumshambulia Samia hata kama anajua IGA sio mkataba
Anauliza wakili wa utetezi. Je, ni nini ambacho kinajadiliwa na kupitishwa na bunge kisheria kati ya makubaliano na mkataba. Anaendelea..."hakuna mahali panaposema kuwa makubaliano yatapitishwa na bunge isipokuwa mkataba/mikataba ndiyo itakayojadiliwa na kupitishwa na bunge".
 
The Boss asikupotezee muda najua anaujifanya hajui anatuchora tu
 
Back
Top Bottom