Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

Si ndio anawaambia hivyo watalipa kidogo? Akawasaidie walipe kidogo au wasilipe
Sijaiangalia hiyo clipp mkuu,nipo kwenye makelele,kama ni kweli kasema hivyo,MI SIKUBALIANI NAYE,hata nisipokubaliana naye katika hilo sitamuondolea sifa yake ya MWANASHERIA MBOBEVU KUWAHI KUTOKEA HAPA TANGANYIKA
 
Tumpongeze Mh.Rais kwa kuwezesha ili maana mingi CHADEMA walikua awawezi kufanya mikutano..Mama Samia mpaka akasema usalama upo njoo mdogo wangu Tanzania. Mama Samia ni lulu kweli.
 
Tumpongeze Mh.Rais kwa kuwezesha ili maana mingi CHADEMA walikua awawezi kufanya mikutano..Mama Samia mpaka akasema usalama upo njoo mdogo wangu Tanzania. Mama Samia ni lulu kweli.
Mama yupo vizuri kwenye uhuru na kujali uhai. Ila kuna wahuni wanataka kumzidi nguvh huko
 
Back
Top Bottom