Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

Nchi imekosa uongozi wacha Chadema wachukue nchi taratibu.
 
 
Wanakuja kumshangaa tuu
 
Wakati mwingine huwa nawaza labda ID yake amiuza maana michango yake inatia mashaka sana sio yule tuliyemfahamu
Inasikitisha sana. The Boss tumempoteza kama Taifa tumepata Hasara.
 
Nimecheka, ccm mmetengeneza propaganda kisha mnaiamini wenyewe. Hivi watu wa kitengo cha propaganda huko CCM wote wameshazeeka nini? Mbona mbinu za propaganda hazibadiliki ni zilezile outdated?
Hilo jamaa linatetea dini yake.
Kipindi cha Magu hakumpenda hata nukta, hapo anatetea magaidi wenzake
 
Ccm bwana. The Boss ni mfano wa watu waliokata tamaa.

Hakuwa hivi huyu Jamaa. He was a good thinker wote tulimuamini.
Mkuu, hata mimi nashangaa! kimetokea nini? Hili suala la bandari limembadilisha kiasi kwamba hata wakati mwingine anachanganya hoja zake.
 
Mh mbona chawa Lucas mwashamba amesema wafanyabiashara kariakoo wamempuuza LISSU?
 
Hahaha kaona hapati watu kaamua kwenda kkooo kabisa.

Dkt. Slaa anamtia wasiwasi inabidi na yeye ajitoe ufaham aanze kumshambulia Samia hata kama anajua IGA sio mkataba
Rudi πŸ‘‡πŸ‘‡ ukachukue bongo lako, unazid kutia aibu!!
 

Attachments

  • IMG_20221210_125229.jpg
    95.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…