Tundu Lissu Wananchi wanamuelewa, Kariakoo imekuwa mfano mwingine

Mungu aendelee kumbariki kwa kuwatetea Watanzania licha ya vikwazo vingi alivyopitia.
 
walikuwa wanamchora tu yule tapeli na kwa taarifa yako wameshampuuza
 
Mi binafsi siipendi CHADEMA ila naamini TUNDULISSU ni kichwa cha sheria kwa nchi hii.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Tatizo majitu mengi Yana akili za kushikiwa hayawezi fikiria on their own.

Kwa akili zao mbovu sijui wanadhani Chadomo let say Kwa bahati mbaya inashika Dola watakacha kulipa Kodi au watapunguziwa au itakuaje?

Unaweza punguza Kodi mahitaji yanaongezeka?

Yule Nabii wao aliwaambia miezi 3 gharama za maisha zitashuka nenda saizi imekuwa mara 2 πŸ˜‚πŸ˜‚

Aliwaambia hatokopa Sasa deni limevuka ceiling ya kisheria 😁😁

Kwa.hiyo nyumbu ni wengi sana ndio Hawa wanaambiwa bandarinimeuzwa na wao wanahemka 🀣🀣
 
Wanawaza na kuwazua kuwa huyu jamaa ana bahati sana licha ya kumiminiwa risasi nyingi lakini alipona.
 
Yani unataka tuamini kwamba wewe unaijua sheria kumzidi Tundu Lisu na Mzee Warioba?

Ndani ya wiki tatu, umetoka kua "The boss" mpaka kua "The loss"

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
The Loss Kwa kweli
 
Hahaha kaona hapati watu kaamua kwenda kkooo kabisa.

Dkt. Slaa anamtia wasiwasi inabidi na yeye ajitoe ufaham aanze kumshambulia Samia hata kama anajua IGA sio mkataba
Ausiyo
Sio mkataba ila mkataba mama
 
Kwa hiyo akiwa kichwa Cha sheria ndio itasiidia vipi wafanyabiashara? Mbona hawaendi kumuita akawasaidie kwenye Rufaa za Kodi?
Awasaidie ili washinde wasilipe kodi?au sijakuelewa vizuri!
Wafanyabishara wasipolipa kodi nchi itaendaje sasa?Tanganyika ni miongoni mwa nchi ambazo zina walipa kodi wachache,Wafanyabishara wasichoke kulipa kodi ili tujenge nchi.
 
Awasaidie ili washinde wasilipe kodi?au sijakuelewa vizuri!
Wafanyabishara wasipolipa kodi nchi itaendaje sasa?Tanganyika ni miongoni mwa nchi ambazo zina walipa kodi wachache,Wafanyabishara wasichoke kulipa kodi ili tujenge nchi.
Si ndio anawaambia hivyo watalipa kidogo? Akawasaidie walipe kidogo au wasilipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…