Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi


Hata mimi tu RAIA naweza kumkaripia polisi kwa sbb hawa ni watumishi wa RAIA. Yaani raia ndiyo mabosi wa polisi....hili liko wazi sana!
 
IJIPI swairo acha u mburura,ka hujui jinsi ya kuandika barua za wito MUOMBE JEMBE LISSU AKUPE SHULE YA BURE
 

Wanaanza kuchosha nao huyo Lissu amekuwa anabembelezwa sasa.
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Weka kifungu hapa ili tuone ni wapi sheria inasema hivyo
 
Kama kawaida analeta ule ujanja wake wa kizembe? Katambi said this
 
Hata wewe unachosha sana ICC imekuwa ikiwabembeleza sana
Hivi tangia ICC imefunguliwa imeshakamata viongozi wangapi?

Hawana ata uwezo wa kutoa sanctions mabeberu yote yenye nguvu duniani sio wanachama US, China, Russia na karibu nchi zote za EU ikiwemo UK.

Hivi kwa akili zako ICC ni taasisi yenye nguvu, that’s just a toothless dog it only barks.
 
Kilichopo kichwani mwa Polisi wa ccm ni maagizo ya kumkoa Lisu tokea kwa ccm tu si zaidi ya hapo
 
Hicho si kigezo cha kuwazuia kuja kumkata IGP na mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Hapa hatuzungumzii mazoea, tunatungumzia sheria inasemaje.
 
IGP ni wa kumsamehe wazee,
Anayo ongea si kwamba ana afiki, ni maagizo batili kutoka kwa boss wake

Kweni IGP sio mwanasheria wa kuweza kupambanua maagizo mazuri na maagizo mabaya toka kwa Boss wake? au tuseme kajitoa muhanga kwa lolote mbele ya Mungu wake?
 
Hicho si kigezo cha kuwazuia kuja kumkata IGP na mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi
Walishindwa kwenda kuwakamata Kenyatta na Ruto waliohamasisha fujo na kila siku wapo nje ya nchi waje kumkamata Sirro Tanzania.

Get serious acha kutishia watu wazima nyau, besides Lissu sio kwamba anaonewa ni mtu asieheshimu sheria he is becoming a real pest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…