Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Wewe hujielewi na inaelekea umejitoa fahamu zote hujui kuwa ulinzi kwa mgombea Urais ni haki yake siyo Ombi kwani polis hulipwa mishahara kwa kodi za watanzania wote, abugudhiwe mara ngapi? Kupiga mabomu si bughudha hiyo? Kumwita ita Polisi kwa maelekezo ya maccm ni bughudha ingine mbaya zaidi
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Kuitwa ukaenda haina maana uitwaji huo ni wa kisheria. Watu huwa wanaitia kwa sabab ya hofu tu. Kuna taratibu mkuu. Chukulia unaitiwa utolee maelezo mambo ambayo yanaitaji kielelezo na haujaenda nacho utajibu nini. Wanatakiwa kukuitwa na disclose tuhuma dhidi yako ili ujipange kuzijibu. Hiyo elimu ndo tunayoikosa waliowengi hatujui kudai haki zetu za kisheria Polisi. Polisi waje kwako wasachi bila sachi waranti uwe mbulula bila kudai ya sachi kisa ni polisi. Lissu hata kama atakosa Uraisi ametoa elimu kubwa ya uraia haijawai kutokea
 
Pia wameshiriki kuwabambikia kesi maelufu ya watanzania
 
Adhabu kuubwa kuliko zote dunia hii ni kuuawa. Sasa kama mtu haogopi huko kufa kwenyewe utamwambia nini?? Lazima kojo likutoke[emoji3][emoji3]

Ni sawa na shuleni, adhabu kubwa kwa mwanafunzi ni kufukuzwa shule, sasa ukikutana na mwanafunzi anayetafuta kufukuzwa shule wewe headmaster lazima makamasi yakutoke, maana utapiga mikwara hadi utapagawa dogo habadiliki na usipoangalia utadhalilika mbele ya wanafunzi wengine[emoji38][emoji38][emoji38]

Go Lissu Goooo! Kamua kenge wa kijani hao
 
Mnatabia ya kufanya mambo ya kipuuzi, halafu kujipa justifications za kipuuzi which suits your narrative contrary to the facts.
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
acha ujinga
 
Polisi sasa ni Tawi la maccm wanafanya kazi kwa Amri za polepole
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Ukijua sheria wala huwezi kulalamika lisu sheria anaijua tukusaidieje kabombe
 
Mnatabia ya kufanya mambo ya kipuuzi, halafu kujipa justifications za kipuuzi which suits your narrative contrary to the facts.
Wewe mwenyewe ni mpuuzi unaendeleaje kuujua upuuzi? au unadhani hako kakingereza kako ka ugoko ndiko katakufanya uonekana una viakili vya kupigia kiwi viatu?
 
Wamezoea kuwashurutisha na kuwatisha mambulula wanadhani Lissu nae ni mbulula hakika huu mwaka ni shida, biti alilopigwa Siro na Magu naona sasa anajitutumua, msajiri kavimba weee akashindwa akaishia kumpigia kampeni Magu.
Sasa hivi ni Siro nae anajitutumuaaa mwisho atashindwa kisha ataishia kusema hadharani kuwa hatakubali Magu kushindwa.
Mabeyo Diwani na Mabeyo nao wanapiga jalamba wapo reserve.

Baada ya hayo kupita Lissu anaingia Ikulu
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Wewe mburula ndiye unaweza kuitwa kwa simu. Kwa umburula wako ukiitwa kwa simu utajuaje ni polisi au majambazi yanakuita?
 
Kweni IGP sio mwanasheria wa kuweza kupambanua maagizo mazuri na maagizo mabaya toka kwa Boss wake? au tuseme kajitoa muhanga kwa lolote mbele ya Mungu wake?
Watu wanadai kule Sonwe Boss alikuwa kanuna .... Si unajua tena hasira zikimpanda!!
 
Wewe mwenyewe ni mpuuzi unaendeleaje kuujua upuuzi? au unadhani hako kakingereza kako ka ugoko ndiko katakufanya uonekana una viakili vya kupigia kiwi viatu?
Kwa ivyo wewe una amini jeshi la polisi linamuogopa Lissu?
 
Huyu mtu alishawahi pelekewa wito wa kwenda mbinguni. Alipogundua sheria haikufuatwa AKAGOMA KWWNDA. Mtu Kama huyo unadhani Anaweza kwenda kituo Cha polisi??

Haa haa 😂 😂 😁😁 haa...

Umekosea. Hakukataa wito wa "KWENDA MBINGUNI" bwana. Mbinguni kuzuri eti. Hakuna awezaye kwenda huko...!!

Jamaa aligomea na kukataa wito wa " KWENDA KUZIMU YA CCM na MAGUFULI" kwa tiketi 38 za AK47 na SMG za Cyprian Musiba na Bashite....!!!
 
Wote ICC inawaangalia kwa macho bilion wakijichanganya tu Asubuhi Asubuhi wapo The Hague
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…