Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Sasa barua wamemwandikia Mwenyekiti wa Chama ama Lissu?barua hyo inamakosa mengi Ya kiufundi...

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Isjui kilichokuwa kichwani mwa polisi katika kuandika barua hiyo kwa Mwenyeketi, ila ninadhani kuwa hawakutaka kuathri kampeini za CHADEMA wakati Lissu akiwa anahojiwa na polisi: ni uungwana tu kuhakikisha mwenyekeiti anaweka mtu wa kuendesha kampeini za Lissu wakati hayupo kwenye majukwaa.
 
Kama IGP anambambikia Makosa mtu mwenye wafuasi wengi hivi, vipi kwa sisi raia wa huku chini chini?

Jeshi la Polisi ni lakuundwa upya. Wanahubiri Utii wa Sheria Bila Shurti ila wakija wanataka Utii Amri Bila Kuamrishwa, Sio haki kwakweli!
 
Sasa kama akikataa wito wa Mwenyekiti wa Chama hvo polisi ndy watamkata Lissu? Hivi wewe ukiwa na Kaka yako polisi wakawa wa nakutaka uende hvo njia sahihi ni kumwandikia Kaka yako barua?Na sio wewe?? Hata kama sheria sikusoma sitaenda labda waje kunikamata na Tractor!! Hapa warudi tena shule kusoma!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naona tunashindwa kuelewana, huku kwetu kumekucha wacha tuingie kwenye majukumu mengine.
 
Kama wewe ni mpinzani na Ukiwa mchezaji wa Mpira wa miguu, ukicheza rafu usishangae ukalala sero kwa style hii. Aibu sana!
 
lissu anatafuta sababu ya kushindwa
kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu,maelezo utayakuta polisi,na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote
Sheria umesomea wapi Wito wa simu kutakua na ushahidi gani Kama Mimi nimeitwa nyinyi hamkusoma mmekariri tu mlipokua darasani ngoja Sasa mfundishwe sheria ww na siro wako
 
Kwenye issue ya Lissu video zipo kuhusu waluchokua wamekifanya wao na majibu aliowapa yapo na wananchi wenye ushuhuda wapo. Kama polisi walikuepo na walijua anamakosa kwanni hawakumkata? Wanamwita kuhoji nini. Wakat walikuepo??

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Toa mifano...

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mwongo eti anaenda kukutana na mabalozi wakati anaenda kuhojiwa na tume ya maadili
Tume ya maadili si imeshapita muda wake na hakuenda.

Tatizo lenu hamuongei hoja madhubuti kila siku ni uharo. Lissu anawajambisha nyote mlioko lumumba ndio maana mnatumia mpka usaidizi WA vyombo vyengine kumdhibiti lakni hamna mlilomshinda mpka sasa.

Lissu é uma pessoa que tem muito coragem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…