Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

IGP ni wa kumsamehe wazee,
Anayo ongea si kwamba ana afiki, ni maagizo batili kutoka kwa boss wake
 
Lkn mna uchaguzi usoni mnaouhitaji ili kupata Madiwani na Wabunge wengi kama kweli mnaipenda chadema, sidhani kama haya masomo yenu ya Sheria yatawaongezea kura zozote zile, ...
Tumekuwa tukikosa kura nyingi sana kutokana na uonevu kutoka serekali ya CCM pamoja na uonevu kutoka kwenye jeshi la polisi la CCM kama vile kupigwa mabomu,wagombea wetu kuwekwa ndani na kushindwa kupiga kampeni,wagombea wetu kuitwa itwa polisi na kupotezewa muda wa kupiga kampeni,wagombea wetu kutishwa na kushindwa kupiga kampeni,e.t.c

Lakini sasa hivi sheria imesaidia kupangua yote hayo.Nadhani kwa sasa hivi unaona mwenyewe vile Lissu anatumia sheria kukwepa kupotezewa muda wa kufanya kampeni kwa kukataa kisheria kwenda kupoteza muda kwenye vituo vya polisi hata kule Nyamongo Lissu pia alitumia vifungu vya sheria kukataza kupigwa mabomu na akafanikiwa kuendelea na kampeni.Hata leo kama siyo vifungu vya sheria ratiba ya Lissu ya kukutana na waheshimiwa mabalozi ingevurugika.Vifungu vya sheria vitatupa kura nyingi sana na ushindi mkubwa sana awamu hii.
 
Polisi watakubali tu yaishe kama tume walivyonyamaza kmya baada ya kuwa wanaropoka ropoka kwenye vyombo vya habari
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Duu! Kweli ukiona kiza kinazidi ujuwe karibu kunapambazuka! Kila shambulizi ni kwa Lissu tu! Huku msajili anasakasha, kule NEC inaparura, huku Jeshi la polis linaunguruma! Wote hao ni Lissu tu! I hope this is realy the winner!
 
Serikali iache kurectruit polisi walio fail mitihan na darasa la saba wakati wanajua wanadeal na wasomi nguli
Barua imejaa errors kibao hata ingekuwa mm siendi

Mkuu, sema ukweli
Usinge enda kweli? [emoji1787][emoji1787]
 
Wewe karipoti tu polisi mkuu,
Sidhani kama ni kosa kubwa katenda kiasi cha kumwaribia ratiba yake ya kampeni, IGP anaweza akamwonya hata kwenye tweeter, au kupitia chombo cha habari, kama anakosa la kawaida!
 
Tumekuwa tukikosa kura nyingi sana kutokana na uonevu kutoka serekali ya CCM pamoja na uonevu kutoka kwenye jeshi la polisi la CCM kama vile kupigwa mabomu,wagombea wetu kuwekwa ndani na kushindwa kupiga kampeni,wagombea wetu kuitwa itwa polisi na kupotezewa muda wa kupiga kampeni,wagombea wetu kutishwa na kushindwa kupiga kampeni,e.t.c

Lakini sasa hivi sheria imesaidia kupangua yote hayo.Nadhani kwa sasa hivi unaona mwenyewe vile Lissu anatumia sheria kukwepa kupotezewa muda wa kufanya kampeni kwa kukataa kisheria kwenda kupoteza muda kwenye vituo vya polisi hata kule Nyamongo Lissu pia alitumia vifungu vya sheria kukataza kupigwa mabomu na akafanikiwa kuendelea na kampeni.Hata leo kama siyo vifungu vya sheria ratiba ya Lissu ya kukutana na waheshimiwa mabalozi ingevurugika.Vifungu vya sheria vitatupa kura nyingi sana na ushindi mkubwa sana awamu hii.

Kama unamaanisha kura za Wanafunzi wa Sheria wasiojua wafanye nini na maisha yao, hapo mtazivuna, tena kwa >80%, ...
 
Hakuna kitu hapo hana cha kukutana na mabalozi wala nini muongo anaenda kuhojiwa tume ya maadili
Wewe ndiyo muongo kwa kulazimisha akahojiwe na Tume inayojiita ya maadili wakati ni makada wa CCM wenye uchu ya kumkomoa Lisu kwa lolote
 
Lissu kiboko,kweli unaitendea haki sheria kama ulivyo mwanasheria.
 
Makosa hayo ya kiuandishi sio utetezi kabisa kisheria, Tundu anajua hilo na hiyo barua kupelekwa kwa Mwenyekiti wa Chama chake kwake sidhani kama ni utetezi anapaswa atambue kuwa Chama ni Cha mwenyekiti na Chama hicho ndio kimemdhamini yeye kuwa Mgombea wa Urais na hata alipofika Tume aliwasilisha barua ya Utambulisho kutoka kwa Chama ambayo Katibu wa Chama ndio alimtambulisha Tume. Hivyo Polisi kumtaarifu Mwenyekiti juu ya hilo ni sahihi kabisa kuwa mtu wako anahitajika. Na anahitajika kuhojiwa kutokana na matamshi na kauli zake alizozitoa.

Tundu anachofanya ni kuchelewesha tu lakini bado sheria inambana.

Mkuu hapo kwenye matamshi na kauli zake alizozitoa walitakiwa waseme kauli hizo sio kusema tu kauli.

Kama Kweli mtu anakosa kuna ugumu gani wa kumuelezea kosa lake kwamba umetoa kauli hii hapa .ata wakienda mahakamani lazima pange kuwa na specific kauli aliyoitoa kama alitukana alisemaje?

Hapo Lisu atawagaragaza mapema Polisi.hana kosa hapo.

Hapo wakitumia mabavu ndio wanaharibu maana sasa watu wengi macho kwa Lisu maana ndio tumaini lililo bakia kuwakomboa wa tz.

Watanzania wengi waoga,ndio maana wewe ungeitwa njoo bila kuambiwa unaitiwa nini ungeenda,ungesema ngoja ni tihi sheria wakati ndio unavunja sheria.
 
Kama unamaanisha kura za Wanafunzi wa Sheria wasiojua wafanye nini na maisha yao, hapo mtazivuna, tena kwa >80%, ...
Umesoma nilichoandika mkuu?!Mimi kwenye mada yangu sikujikita kwa wapiga kura,nimezungumzia jinsi Lissu anavyotumia taaluma yake ya sheria vizuri kujiongezea kura
 
Siro nenda kesho ukamkamate Lissu mbele ya mabalozi , uonekane bonge la IGP au vipi kijani kibichi mataga wa Lumumba mshaurini Siro afanye hivyo apandishe CV , awe wa kwanza kutangulizwa ICC bosi wake anayemtuma atamfuatia baadaye .
Tayari jarada la IGP lipo ICC baada ya uchaguzi atafikishwa mahakamani kupitia ile video yake ya mikwara aliyoitoa jana.
 
Mkuu hapo kwenye matamshi na kauli zake alizozitoa walitakiwa waseme kauli hizo sio kusema tu kauli.

Kama Kweli mtu anakosa kuna ugumu gani wa kumuelezea kosa lake kwamba umetoa kauli hii hapa .ata wakienda mahakamani lazima pange kuwa na specific kauli aliyoitoa kama alitukana alisemaje?

Hapo Lisu atawagaragaza mapema Polisi.hana kosa hapo.

Hapo wakitumia mabavu ndio wanaharibu maana sasa watu wengi macho kwa Lisu maana ndio tumaini lililo bakia kuwakomboa wa tz.

Watanzania wengi waoga,ndio maana wewe ungeitwa njoo bila kuambiwa unaitiwa nini ungeenda,ungesema ngoja ni tihi sheria wakati ndio unavunja sheria.
Polisi waliopiga mabomu wao wataitwa wapi kujieleza? Yule OCD alionekana juu ya Gari akiamrisha Asikari apige mabomu yeye ataitwa wito wa wapi? ngoja ICC na wao waandae wito kwa Polisi wote walioshiriki vitendo vya kuwafanyizia ubaya wapinzani
 
Back
Top Bottom