ricostersundi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 358
- 447
labda kwenye vibanda vya wanywa pombe za kienyeji kwenye vichochoro vya kuingia black ila sio hapo bolder au stand ya zamanWewe naona unapitaga ndani ya gari tu watu wenye mpo ndani ya gari lazima mpigwe bei iyo ipo sehemu yote.
Tunduma Kuna machaka ugari maharage na mboga za majani jero tu [emoji16] unapewa na advantage ya kachumbari ya free.
Tembea uone, tatizo umejifungia kama mtiNilichoka hapo Tunduma baada ya kukuta vijana wamepanga hela mikononi kama milioni kumi kumi hivi wanabadilisha na dollar au kwacha ya Zambia. Hawana wasiwasi na maisha yanaenda tu, nilipowauluza wazawa wakasema hayo ndiyo maisha yao, kwa kweli sijawahi shuhudia sehemu nyingine yeyote ile hali. Inaonyesha mzunguko wa hela ni mkubwa sana hapo mjini Tunduma
Baada ya standi kuhama lile eneo linatumika Kwa shughuli Gani Sasa?labda kwenye vibanda vya wanywa pombe za kienyeji kwenye vichochoro vya kuingia black ila sio hapo bolder au stand ya zaman
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile a
labda kwenye vibanda vya wanywa pombe za kienyeji kwenye vichochoro vya kuingia black ila sio hapo bolder au stand ya zaman
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tunazidi kupigwa haswaaa🥱Tanganyika [emoji1241] Ni kubwa Sana brother, get out of the cave [emoji1787][emoji1787]
Hata Dar walio Kariakoo , ni wapiga Deal , wakwepa Ushuru, na hawatoe risiti Halali Kwa wateja au Umesahau kidogo yule Tajiri mwenye Maduka ya Kuuza mapazia miaka Ile ya 2010s mwishoni alivyokuwa anapiga Issue Mwishoni mwa Mwaka 2015 akatangaza amefilisika na mwaka Ulifuata akarudi Tena na Kampuni mpya yenye magari zaidi ya 2000, Kwa Sasa naona amejificha nyuma ya Klabu Moja kama Mfadhili na Mwenye Klabu, Maana ukiona Mwendeshani Mkuu wa Klabu piya ni Mtendaji na mwajiriwa kwenye kampuni hizo za Tajiri. Deal sio Tunduma tu Hilo ni Swala la Kitaifa Kila mtu anapiga Deal, Umesahau CAG Prof Asad aliposema Kuna Fedha zimepotelea jumba jeupe kipindi kile, Au hukumbuki kipindi Cha JIWE vizuri na Issue zake!!Tunduma ni magendo no more no less. Jichanganye kufanya vitu kihalali uone kama utatoka pale.
Pale Unakuta Tajiri au Maarufu kama mwenye Kisima anakuwa na Vijana hata kumi or kumi na Tano wanakuwa. Na kiongozi wao Wanaopewa Fedha asubuhi wote Kwa pamoja jioni wanarudisha na Faida , Mtu anatoa Hadi 500millioni na kuendelea , Nasikia kwenye kila Milioni Mia na kuendelea anapewa Faida ya TShs Milioni Moja na kuendelea. Upande wa Tanzania Vijana wake Wananunuwa Kwacha na Tshs Halafu wanapeleka Kwacha upande wa Zambia wanabadilisha kwenye mabanki Wanaopewa USD halafu wanakuja nazo upande wa Tanzania wanauza kwenye mabenki wanawauzia wafanyabiashara wa Dar es salaam. Hapo ndio wanakuwa wamekamilisha zoezi laoMwaka 2014 nilishuhudia walevijana wanao badirisha(change) fedha.wana maburungutu mengi sana ya kwacha,Tzs,$ .Nilicho Shangaan hakunaulinzi wowote,pia jamaa anawaaga wenzake wamchekie kidogo anaenda kunywa chaiau anaenda msalani.kiufupi jamaa wanajiamini balaa.
Tunduma kumuona mtu kashika 45M cash ni kawaida sana.
Nliposkia mu7 kazuia importation ya mitumba uganda nkajua lazma mtumba upande bei!!Kariakoo ilikua zamani, siku hizi kuna vimji vinauza vitu kwa bei za China
Mfano Katoro Geita bidhaa zote bei ni ndogo kuliko Kariakoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siko hapa kushawishi mtu. Tafuta uzi wa mapishi ujifunze mapishi mapya kwa ajili ya mumeo.
Hata Dar walio Kariakoo , ni wapiga Deal , wakwepa Ushuru, na hawatoe risiti Halali Kwa wateja au Umesahau kidogo yule Tajiri mwenye Maduka ya Kuuza mapazia miaka Ile ya 2010s mwishoni alivyokuwa anapiga Issue Mwishoni mwa Mwaka 2015 akatangaza amefilisika na mwaka Ulifuata akarudi Tena na Kampuni mpya yenye magari zaidi ya 2000, Kwa Sasa naona amejificha nyuma ya Klabu Moja kama Mfadhili na Mwenye Klabu, Maana ukiona Mwendeshani Mkuu wa Klabu piya ni Mtendaji na mwajiriwa kwenye kampuni hizo za Tajiri. Deal sio Tunduma tu Hilo ni Swala la Kitaifa Kila mtu anapiga Deal, Umesahau CAG Prof Asad aliposema Kuna Fedha zimepotelea jumba jeupe kipindi kile, Au hukumbuki kipindi Cha JIWE vizuri na Issue zake!!
Mzee baba mm kazi zangu natembea sana mikoani ila mara nyingi huwa naishia makao makuu ya mikoa.Tembea uone, tatizo umejifungia kama mti
Shule za wapi zambiaHiki ndicho kilinishangaza, hadi vitoto vya shule ya msingi wanavaa sketi za shule zinazoacha mapaja wazi
Eeh wachaaaahadi vitoto vya shule ya msingi wanavaa sketi za shule zinazoacha mapaja wazi
Hivi kuingia nakonde ni lazima uwe na passportUkivuka tu Boda kuingia nakonde, unaona hata tofauti ya uvaaji wa nguo...vinguo vifupi kwa wanawake.
Ile Boda ya Tunduma pana pesa sana na issue ya SADC inasaidia sana kwenye movement.
Ushuru Zambia ni mdogo, pia pesa yao inashikika.
Hamna asiyejua kuwa mañyanya ni Mzee wa mijokaSi umtaje tu km Manyanya [emoji3][emoji3]
Hapana, unaingia tu hata na gari yako yenye plate number za Tz, sema kuna distance ya kutoka mpakani mpaka km kadhaa mbele ndio utatakiwa docs.Hivi kuingia nakonde ni lazima uwe na passport
Bidhaa itoke nje, ipite Tunduma hadi Zambia, inarudi Tunduma na kuuzwa kwa bei poa kabisa. Ama kweli Tanzania tunakamuliwa sana kwa kodi za ajabu ajabu.Wanatoa zambia ushuru mdogo