Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Wewe naona unapitaga ndani ya gari tu watu wenye mpo ndani ya gari lazima mpigwe bei iyo ipo sehemu yote.

Tunduma Kuna machaka ugari maharage na mboga za majani jero tu [emoji16] unapewa na advantage ya kachumbari ya free.
labda kwenye vibanda vya wanywa pombe za kienyeji kwenye vichochoro vya kuingia black ila sio hapo bolder au stand ya zaman

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tunduma ni noma karia Koo Nini bhana.Hapa chochote utakacho wapata.
Nguo Bei ndogo
Vifaa vya umeme Bei Chee
Vifaa vya magari Bei Chee
Chinese products hapa zimeenea kwa bei Chee🤣🤣🤣
Niseme Nini karibuni Tunduma.
 
Nilichoka hapo Tunduma baada ya kukuta vijana wamepanga hela mikononi kama milioni kumi kumi hivi wanabadilisha na dollar au kwacha ya Zambia. Hawana wasiwasi na maisha yanaenda tu, nilipowauluza wazawa wakasema hayo ndiyo maisha yao, kwa kweli sijawahi shuhudia sehemu nyingine yeyote ile hali. Inaonyesha mzunguko wa hela ni mkubwa sana hapo mjini Tunduma
Tembea uone, tatizo umejifungia kama mti
 
labda kwenye vibanda vya wanywa pombe za kienyeji kwenye vichochoro vya kuingia black ila sio hapo bolder au stand ya zaman

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile a
Baada ya standi kuhama lile eneo linatumika Kwa shughuli Gani Sasa?
Mitaa Ile kulikuwa na Valentine ya Chris alikuwa anakimbiza Balaa , Kwa pembeni kulikuwa na Jamaa Moja anaitwa MOMA anauza Supu na Vyepe alikuwa anauza Half keki na Sambusa, maandazi , Kuku wengi sana. Yule Bwana kama hajatajirika basi Tena .Unakuta amenunua unga Ngano kg 100, Mafuta Lita 20, sukari kg 25, Viaxi Gunia 2, , Kuku kuanzia 15 na kuendelea nyama ya ng' ombe karibu kg 25, Bado mbuzi na karibu Kila siku Anamaliza na kuagiza upya , Alikuwa amechukuwa fremu mbili zote anauzia chskila
labda kwenye vibanda vya wanywa pombe za kienyeji kwenye vichochoro vya kuingia black ila sio hapo bolder au stand ya zaman

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tunduma ni magendo no more no less. Jichanganye kufanya vitu kihalali uone kama utatoka pale.
Hata Dar walio Kariakoo , ni wapiga Deal , wakwepa Ushuru, na hawatoe risiti Halali Kwa wateja au Umesahau kidogo yule Tajiri mwenye Maduka ya Kuuza mapazia miaka Ile ya 2010s mwishoni alivyokuwa anapiga Issue Mwishoni mwa Mwaka 2015 akatangaza amefilisika na mwaka Ulifuata akarudi Tena na Kampuni mpya yenye magari zaidi ya 2000, Kwa Sasa naona amejificha nyuma ya Klabu Moja kama Mfadhili na Mwenye Klabu, Maana ukiona Mwendeshani Mkuu wa Klabu piya ni Mtendaji na mwajiriwa kwenye kampuni hizo za Tajiri. Deal sio Tunduma tu Hilo ni Swala la Kitaifa Kila mtu anapiga Deal, Umesahau CAG Prof Asad aliposema Kuna Fedha zimepotelea jumba jeupe kipindi kile, Au hukumbuki kipindi Cha JIWE vizuri na Issue zake!!
 
Mwaka 2014 nilishuhudia walevijana wanao badirisha(change) fedha.wana maburungutu mengi sana ya kwacha,Tzs,$ .Nilicho Shangaan hakunaulinzi wowote,pia jamaa anawaaga wenzake wamchekie kidogo anaenda kunywa chaiau anaenda msalani.kiufupi jamaa wanajiamini balaa.
Tunduma kumuona mtu kashika 45M cash ni kawaida sana.
 
Pale Unakuta Tajiri au Maarufu kama mwenye Kisima anakuwa na Vijana hata kumi or kumi na Tano wanakuwa. Na kiongozi wao Wanaopewa Fedha asubuhi wote Kwa pamoja jioni wanarudisha na Faida , Mtu anatoa Hadi 500millioni na kuendelea , Nasikia kwenye kila Milioni Mia na kuendelea anapewa Faida ya TShs Milioni Moja na kuendelea. Upande wa Tanzania Vijana wake Wananunuwa Kwacha na Tshs Halafu wanapeleka Kwacha upande wa Zambia wanabadilisha kwenye mabanki Wanaopewa USD halafu wanakuja nazo upande wa Tanzania wanauza kwenye mabenki wanawauzia wafanyabiashara wa Dar es salaam. Hapo ndio wanakuwa wamekamilisha zoezi lao
 
Hata Dar walio Kariakoo , ni wapiga Deal , wakwepa Ushuru, na hawatoe risiti Halali Kwa wateja au Umesahau kidogo yule Tajiri mwenye Maduka ya Kuuza mapazia miaka Ile ya 2010s mwishoni alivyokuwa anapiga Issue Mwishoni mwa Mwaka 2015 akatangaza amefilisika na mwaka Ulifuata akarudi Tena na Kampuni mpya yenye magari zaidi ya 2000, Kwa Sasa naona amejificha nyuma ya Klabu Moja kama Mfadhili na Mwenye Klabu, Maana ukiona Mwendeshani Mkuu wa Klabu piya ni Mtendaji na mwajiriwa kwenye kampuni hizo za Tajiri. Deal sio Tunduma tu Hilo ni Swala la Kitaifa Kila mtu anapiga Deal, Umesahau CAG Prof Asad aliposema Kuna Fedha zimepotelea jumba jeupe kipindi kile, Au hukumbuki kipindi Cha JIWE vizuri na Issue zake!!

I agree chief.
 
Ukivuka tu Boda kuingia nakonde, unaona hata tofauti ya uvaaji wa nguo...vinguo vifupi kwa wanawake.

Ile Boda ya Tunduma pana pesa sana na issue ya SADC inasaidia sana kwenye movement.

Ushuru Zambia ni mdogo, pia pesa yao inashikika.
Hivi kuingia nakonde ni lazima uwe na passport
 
Naifahamu sana border ya Tunduma. Nimewahi kupiga kambi pale kwa miezi mitatu na ndio mahali nilipopata ujanja wa kujitafutia na kusimamia hatma ya maisha yangu.
Tunduma nenda na akili tu ya kujituma na uaminifu, Kisha uwe na nidhamu kwenye matumizi ya pesa unayopata, baada ya mwaka utagundua siri ya mafanikio.

Mzunguko wa pesa Tunduma ni hatari, pale ndio njiapanda ya minyororo ya pesa... Hata jirani zetu wa Zambia pale Nakonde wanaufahamu mziki wa Tunduma......
Sidhani kama Tanzania hii iko border iliyochangamka kama Tunduma. 🤔
 
Back
Top Bottom