AGROPRODUCT
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 290
- 952
Usisahau biashara ya groceries / Bar Kwa maeneo ya Mpemba halafu ukapeleka Totoz za Manyara na Singida utapiga Hela sana Kwa Tunduma.Viatu
Mara ya Mwisho nipo hapo kulikuwa Kastuli, Chalali, Ombay wa Bougainvillea, Jublate mnyenye,.Karatu kuna kina dada wana noti ndefu sana wakiongozwa na yule mwenye Sparrow Lounge.
Mara ya Mwisho nipo hapo kulikuwa Kastuli, Chalali, Ombay wa Bougainvillea, Jublate mnyenye,.
Kuna mwamba Moja alikuwa mkimiya na Mpole sana la Ndio alikuwa ndio number Moja wao Lekashu general hardware ,
Huyo Chalali alianzia chini sana aisee... mwaka 1995 nilimwona ana kiosk tu karibu na CCM.... ni mtu alikuwa anapiga kazi hata Punda akasome. Jublate Mnyenye alifariki...Mara ya Mwisho nipo hapo kulikuwa Kastuli, Chalali, Ombay wa Bougainvillea, Jublate mnyenye,.
Kuna mwamba Moja alikuwa mkimiya na Mpole sana la Ndio alikuwa ndio number Moja wao Lekashu general hardware ,
Shukran BobMaeneo tulivu ni Kuanzia Majengo mapya nyuma ya Gapco petrol station nenda ma huo upande Hadi mwisho wa Mji kuelekea Sumbawanga Road, piya Nyerere secondary , Msongwa, njia panda Msongwa Hilo eneo ndio Kali Kwa Tunduma. Piya jaribu Dampo pale jirani Kwa Furaha, Momba garage, Kwa mchaga wa Viatu, Kwa Mzee Joseph Baba mkwee wa Manyanya like eneo limetulia . Piya mtaa wa Manyanya nyuma ya kabisa la Roma hapo kwenye Rasta barabarani
Karatu niliwahi fika ila siku kaa sana ,ila nilipapenda pia ,pako poaHuyo Chalali alianzia chini sana aisee... mwaka 1995 nilimwona ana kiosk tu karibu na CCM.... ni mtu alikuwa anapiga kazi hata Punda akasome. Jublate Mnyenye alifariki...
Unamfahamu kijana Moja alikuwa Kwa Marehemu Jublate mnyenye , baadae akaenda Halimashauri , Sasa yupo Arusha?Huyo Chalali alianzia chini sana aisee... mwaka 1995 nilimwona ana kiosk tu karibu na CCM.... ni mtu alikuwa anapiga kazi hata Punda akasome. Jublate Mnyenye alifariki...
Hivi yule Mdada aliyekuwa akaolewa na Mzungu mwenye hotel za kitaali Bado yupo hapo karatu, huyu alikuwa ansishi maeneo ya Karatu resolt ,Karatu kuna kina dada wana noti ndefu sana wakiongozwa na yule mwenye Sparrow Lounge.
Hizo sehemu ulizotaja kama msomali,msongwa nk ni za tunduma au upande wa zambiaUnalala kokote ila Kwa maeneo ya Majengo mapya, mwaka, Kwa mwaka joka, Kwa mjeshi, kilimahewa, Nyerere, Kwa Msomali, Msongwa, dampo, Msongwa, half London ni maeneo yenye usalama mzuri
Ni upande wa Tanzania ndio eneo llnye nyumba nzuri Kwa Tunduma, kama umewahi kufika ni Kuanzia pale standi ya zamani unapanda kama unaenda Sumbawanga ni zile nyumba zilizo upande wa Kushoto kama unakwenda Sumbawanga mpaka unafika njia ya mpanda ya Msongwa hapo kwenye ghala la Mshani Agrovet then unaingia kulia ndio panautwa msongwaHizo sehemu ulizotaja kama msomali,msongwa nk ni za tunduma au upande wa zambia
Dah ndugu yangu sijawahi fika tunduma naisikia tu ndio maana najaribu kuhifahamu kupitia kwako na nataka nitembelee pande hizo kwa ajili ya utafiti wa shughuli zanguNi upande wa Tanzania ndio eneo llnye nyumba nzuri Kwa Tunduma, kama umewahi kufika ni Kuanzia pale standi ya zamani unapanda kama unaenda Sumbawanga ni zile nyumba zilizo upande wa Kushoto kama unakwenda Sumbawanga mpaka unafika njia ya mpanda ya Msongwa hapo kwenye ghala la Mshani Agrovet then unaingia kulia ndio panautwa msongwa
Maeneo tulivu ni Kuanzia Majengo mapya nyuma ya Gapco petrol station nenda ma huo upande Hadi mwisho wa Mji kuelekea Sumbawanga Road, piya Nyerere secondary , Msongwa, njia panda Msongwa Hilo eneo ndio Kali Kwa Tunduma. Piya jaribu Dampo pale jirani Kwa Furaha, Momba garage, Kwa mchaga wa Viatu, Kwa Mzee Joseph Baba mkwee wa Manyanya like eneo limetulia . Piya mtaa wa Manyanya nyuma ya kabisa la Roma hapo kwenye Rasta barabarani
Jamaa anaetumia. Vizuri Fedha zake kwanza amejenga kijiji pale mtani kwake lotion Kali Kila mwanamke na gorofa lake , magari kibao Kila aina kuanzia Range rover , V8, SUV, na Mengine mengi, mahotel kibao, Usafiri wa Ndege ni WA kawaida Kwa Staff wake, anatumia vizuri Management information system Dukani , Petrol station , store, hotelini kwake. Kwa Kila mwamba zile zake ni zakupambambaba mwenyeweHivi many manyanya mbona mchafu sana hafanani na utajiri wake au ni masharti
MamaSamia nitafute PM Kuna issue nataka unisadie Kwa KaratuWe jamaa unatisha. Kuna uzi wangu mwingine umeelezea Karatu kiundani. Mimi na wewe inaonekana tumepita maeneo mengi ya hii nchi.
Mkuu siko kabisa Karatu wala karibu na Karatu. Mara ya mwisho nilipita huko 2020MamaSamia nitafute PM Kuna issue nataka unisadie Kwa Karatu
Dogo unaruka kiunzi sijui unaogopa niniMkuu siko kabisa Karatu wala karibu na Karatu. Mara ya mwisho nilipita huko 2020
Kwanza mimi sio dogo halafu hakuna ninachoogopa. Nimeona mimi sio mtu sahihi wa kujibu kuhusu Karatu wakati sio sehemu ninayoishi na hata kupita nilipita muda mrefu.Dogo unaruka kiunzi sijui unaogopa nini
Wewe ni dogo sasa unachobisha nini wewe mwanamke?Kwanza mimi sio dogo halafu hakuna ninachoogopa. Nimeona mimi sio mtu sahihi wa kujibu kuhusu Karatu wakati sio sehemu ninayoishi na hata kupita nilipita muda mrefu.
Jitahidi kuwa mstaarabu. Tusivunjiane heshima.Wewe ni dogo sasa unachobisha nini wewe mwanamke?
Mkuu alijionea vitu Kama hivi hakawa amedata[emoji1787][emoji1787]Tembea uone, tatizo umejifungia kama mti
Kama hivi mkuu hapo watu wameshika Kama million 50 hafu kuna nyomi la people hafu hata hawajali hapa hata watu kutoka dar wanakuwaga washambaa kushangaa[emoji1787][emoji1787]Mwaka 2014 nilishuhudia walevijana wanao badirisha(change) fedha.wana maburungutu mengi sana ya kwacha,Tzs,$ .Nilicho Shangaan hakunaulinzi wowote,pia jamaa anawaaga wenzake wamchekie kidogo anaenda kunywa chaiau anaenda msalani.kiufupi jamaa wanajiamini balaa.
Tunduma kumuona mtu kashika 45M cash ni kawaida sana.