AGROPRODUCT
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 290
- 952
Umefika Kwa watu niliokuelekeza pale Kisimani Kwa Kina Solo?Wakuu leo ndio nimeingia tunduma siku ya kwanza pamechangamka sana aisee ila bado sijapata issue ya kufanya kwa yeyote mwenyeji wa hapa naomba tuwasiliane ikiwezekana tupatiane michongo ili maisha yaende. Ahsanteni sana.
Sasa tangu lini mama samia akawa mwanaume?Jomba elewa kuwa mama yako ndo anajua kama mimi ni mwanamke au mwanaume. Kuwa na heshima kwa hawara wa mamako
Chumba kipo maeneo ya transfomar kalibu na uwanja wa shule wa mpira, pembeni kuna tank la maji....mi mwenyewe tunduma ni mgeni lakini ninapokaa mazingira ni mazuri na vyumba vipo ndani ya fensi na wapangaji ni 3 kila mtu anajitegemeaWeka wazi hapa hicho chumba kipo maeneo gani Kwa Tunduma , tuwezi kuwashauri watu wachukue ama hapana, Kwa Tunduma Hii Bei ni kubwa sana . Anaweza kupata Bei kuanzia 20,000/Hadi 50,000/=
Umefika Kwa watu niliokuelekeza pale Kisimani Kwa Kina Solo?
Powar powar 👍🏾Mkuu natafuta vya 25k au 30k iyo bei siiwezi.
Yule. Ndugu yetu alyefika Tunduma Leo ametoa ushuhuda kuwa amefika. Maeneo ya Kisimani. , Njoo jukwaani Utupe ushuhuda, Kwa changamoto yako Yakukosa Chumba jaribu kesho kwenda sehemu Moja hapo pembeni ya NFS petrol station mwaka jirani na Las Vegas Bar Kuna kijiwe kikubwa Cha Madalali Kuna Bango kubwa na number zao, piya ukisogea Kwa Juu Mitaa ya Mabena Petrol station Kuna Madalali pale kwenye draft na bao Kuna kijiwe Cha Kahawa,
Kwa uhakika zaidi mpigie huyu dalali Mama Jau 0755281295. Dalali mwingine Mkondya 0655201365. Mtafute dalali Wa Msongwa kati 0768752398. Dalali tall mwaka Sumbawanga Road 0714674916
Yule. Ndugu yetu alyefika Tunduma Leo ametoa ushuhuda kuwa amefika. Maeneo ya Kisimani. , Njoo jukwaani Utupe ushuhuda, Kwa changamoto yako Yakukosa Chumba jaribu kesho kwenda sehemu Moja hapo pembeni ya NFS petrol station mwaka jirani na Las Vegas Bar Kuna kijiwe kikubwa Cha Madalali Kuna Bango kubwa na number zao, piya ukisogea Kwa Juu Mitaa ya Mabena Petrol station Kuna Madalali pale kwenye draft na bao Kuna kijiwe Cha Kahawa,
Kwa uhakika zaidi mpigie huyu dalali Mama Jau 0755281295. Dalali mwingine Mkondya 0655201365. Mtafute dalali Wa Msongwa kati 0768752398. Dalali tall mwaka Sumbawanga Road 0714674916
Mkuu pale painatwa Kwa Mwakajoka Mbunge wa zamani wa Chadema Tunduma Mjini. Hapana pale Kwa hiyo Bei so Io sawa like eneo Bei za kupanga zipo chini Kwa Laki Moja sio sawa. Pale na Kwa mwanajeshi kwenye kile kigorofa Cha barabara ya Sogea , Hadi karibu na Makambuni shule ya secondari Bei zake 25000/ Hadi 30000/. Kwa Mwakajoka Hadi kilimahewa hapo kwenye kinjia na kibao Cha shule Bei zinaanzia 20,000/ Hadi 35000/ unashuka Hadi kilimahewa Bei inapunguwa, Sayuni ipo chini Bei, Mkombozi unapata Hadi Cha Elfu kumi shida kupanda mlima, na Maji, makaburiniChumba kipo maeneo ya transfomar kalibu na uwanja wa shule wa mpira, pembeni kuna tank la maji....mi mwenyewe tunduma ni mgeni lakini ninapokaa mazingira ni mazuri na vyumba vipo ndani ya fensi na wapangaji ni 3 kila mtu anajitegemea
Akupeleke vyumba vya Bei ndogo maeneo ya Mkombozi, Sayuni, makaburini, Kwa Sompola, Kwa mjeshi, kilimahewa, Makambuni, nyuma ya shule ya wazazi Tunduma day, nyuma ya mashine za Alizeti, hapo jirani Samy HotelHuyu dalali tall ndiye anayenitafutia chumba kwa sasa mkuu mr solo ndo kaniconnect nae mkuu.
Usikubali kuchukuwa chumba maeneo ya nyuma ya petrol Station ya Mabena , huo upande wa Vichochoro vya Feel happy bar na Lagosi Bar & lodge Hivi Vichochoro vipi viwili hapo hapo jirani na Madalali watu wanakabwa sana Usiku kuanzia saa mbili, ni Moja ya Vichochoro hatarishi sana Kwa Tunduma, Piya ni maeneo harari ya Wanyiha ukiwa mwenyeji utawajya Wanyeha ni watu wanamnagana, ndio watu tishio Kwa Tunduma , na hizo Bar mbili zipi ndani ndani Vichochoro I ila ikifika saa Moja Usiku hupati sehemu ya Kusimamia hata Kwa mguu mojaHuyu dalali tall ndiye anayenitafutia chumba kwa sasa mkuu mr solo ndo kaniconnect nae mkuu.
Iv tunduma imepewa mkoa wa kikodi au Bado maana Kuna mini kama kahama ni mikoa ya kikodiWalichokiangalia Wadau ni wengi na ukubwa Wa kariakoo unachangiwa na population yote ya Tanzania wanaitwgemea Kariakoo, Ila wanaosifia Tunduma wanaangalia. Udogo wa Mji na Shughuli Zinazofanyika Tunduma utaona napo Panaukubwa kiasi Gani kwenye Shughuli za Kiuchumi. Naifahamu sana Kariakoo na ni mwenyeji mitaa na piya
Nikiangalia Shughuli Zinazofanyika Pale Tunduma kuanzia Mpemba kwenye parking ya Malori, Chapwa, Halafu uangalie kuanzia pale custom halafu upande Juu kusogo kuanzia polisi yale Maduka ya matairi na simu uingie ndani kwenye Maduka ya nguo pale sokoni, uende kwenye Maduka ya electronics , Uende Kwa Wauza Fedha mikonini, Uingie soko la Viatu Nyuma ya Dukani Kwa Manyanya. Halafu usogie Kidogo Black Market uone Elivyoshikwa na Wandali na Wanyakyusa,
Halafu uone Soko la Fedha Mkononi lilivyoshikwa na Wasafwa na Wanyakyusa, Nenda kwenye Maduka ya Nguo ni Wakinga na Wandali, Electronics na Simu ni Wakinga Maduka ya Spare na Hardware ni Wandali na Wakinga, Kwenye Matairi ni Wamalila. Ukiangalia wengi wa watu na biashara Bado Tunduma ipo vizuri Kwa ujumla ukiwacha KKOO hakuna sehemu kama Tunduma Tanzania Hii Kwa mzunguko wa Fedha. Ukienda kwenye mabanki ndio utaona huo mzunguko Kuna wateja watatu tu wanaweza hudumiwa zaidi ya masaa mawili kwenye bulk teller.
Tunduma hawezi kupewa mkoa wa kukodi kwakuwa Tunduma ndio inabeba mkoa mzima wa Songwe kimapato, unaona kabisa pale Makao makuu ya mkoa Pamela sana, sehemu pekee yenye Mapato makubwa ni Tunduma kwengine nikanyaga twende,Iv tunduma imepewa mkoa wa kikodi au Bado maana Kuna mini kama kahama ni mikoa ya kikodi
Usikubali kuchukuwa chumba maeneo ya nyuma ya petrol Station ya Mabena , huo upande wa Vichochoro vya Feel happy bar na Lagosi Bar & lodge Hivi Vichochoro vipi viwili hapo hapo jirani na Madalali watu wanakabwa sana Usiku kuanzia saa mbili, ni Moja ya Vichochoro hatarishi sana Kwa Tunduma, Piya ni maeneo harari ya Wanyiha ukiwa mwenyeji utawajya Wanyeha ni watu wanamnagana, ndio watu tishio Kwa Tunduma , na hizo Bar mbili zipi ndani ndani Vichochoro I ila ikifika saa Moja Usiku hupati sehemu ya Kusimamia hata Kwa mguu moja
Kuna manager Moja wa Petroafrica alikuwa anajulikana Kwa Jina la Kipara alikuwa anawakimbiza sana kwenye Mafuta, yule Bwana alikuwa na wateja wengi sana hiyo Sumbawanga Road aliyeshika sana, Hivi yule mwamba Bado yupo Tunduma pale Petroafrica?Mwamba huyu hapo kwenye upande wa mafuta wengine wote wanaigiza kwanza ajawahi ishida mafuta hata yawe ya shida kivipi...hapo tu watu wamejaa wanasubili kujaziwa mafuta kwenye vyombo vyao...na wakati sheli zote zimekete mafuta
Roger datTunduma hawezi kupewa mkoa wa kukodi kwakuwa Tunduma ndio inabeba mkoa mzima wa Songwe kimapato, unaona kabisa pale Makao makuu ya mkoa Pamela sana, sehemu pekee yenye Mapato makubwa ni Tunduma kwengine nikanyaga twende,
Tunduma hoyeee!!!!!!!Kama hivi mkuu hapo watu wameshika Kama million 50 hafu kuna nyomi la people hafu hata hawajali hapa hata watu kutoka dar wanakuwaga washambaa kushangaa[emoji1787][emoji1787]View attachment 2746084
Mkuu nenda pale maeneo ya Mabena Petrol station mbele kidogo club Lamote, ksblabhujafika Kwa Madalali Ulizia Bei ya Kuku wa kiwnyeji wanauzwaji, piya Sogea mbele kabisa jirani na Petroafrica l Jamaa anauza kukuliza Bei ya Kuku. Halafu nenda pale kwenye Kijiwe Cha Bajaji za Chaka jirani na Olympic muone Kiongozi wa madereva wa bajaji Zinazokwenda Anaitwa Kulwa Ni mnene au muulizie Davi , hao huwa wanaokwenda vijijini nahizo bajaji Waulizie Upatikanaji wa Kuku huko vijijini, Tena upande wa Zambia.Wakuu kumekucha tunduma hapa mishe kama zote tupeane michongo basi kwa wenyeji naona mnakaza[emoji3] ila mji unamishemishe sijawahi ona kama kariakoo vile, now naenda chunya makongolosi kupaangalia pia jioni nitarudi tunduma mjini fursa nitakazoziona huko nitawaambia wakuu.