chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Hahaha tena kumi nimezidishaSijui ulifika lini Sumbawanga mkuu Petrol station zipo zaidi ya hizo unazosema wewe
Usipende kuiongelea Sumbawanga uliyofika wewe miaka ya 90 mkuu
Petro station Sumbawanga mjini hazizidi 10 ukitaka nikutajie semaSaizi Kuna Ujenzi wa petrol station Mpya 3,mwaka Jana pia petrol station Mpya 3 zilifunguliwa.
Hao wamezoea story za kusimuliwa hawasafiri.Mwisho.kusema Tunduma Ina petrol station zaidi ya 50 ni uongo wa mchana kweupe,zilizopo hazizidi hata 30 na Hadi juzi sijaona ujenzi wa service station yeyote hapo Tunduma.
kwa mujibu wa NBS, mkoa wenye kipato kidogo ni KageraπππMkoa wa mwisho kwa umaskini hapa nchini ni upi
Ni kweli kabisa. Namsifu pia aliyepanga mji wa Kasulu, kajitahidi sana. Hata Kahama wamejitahidiKuishi kwenye kimji ambacho hakina planning (squatter)ndio sifa ,Tunduma ingekuwa impangiliwa kama tanga au Dodoma ingevutia watu wengi sana
Zitaje Ili twende sawaHahaha tena kumi nimezidisha
Petro station Sumbawanga mjini hazizidi 10 ukitaka nikutajie sema
Sasa si ndio kuzuri masaa 24 mji unapiga kazi..πMkuu tunafanana tabia. Kweli hela nazipenda ila kuishi Tunduma sijashawishika. Pale kuna hekaheka sana...
Kwa wahuni usalama zero.Sasa si ndio kuzuri masaa 24 mji unapiga kazi..π
Kwa wahuni usalama zero.
Kimji hakina hata vegetation yaani Dodoma Kuna uoto kushinda hapo Tunduma.
Miji ya hivyo siwezi ishi,ndio maana hata Watumishi wengine wanaishi Vwawa.
Yaani ni kama jangwani ππ Sasa ukichanganya na squatters,mavumbi,upepepo ni shida tupu.Kumbe..nilikuwa sijui Kama hakuna miti.. kuna haja ya picha hapa..
Maji kama auna ni wewe na uchumi wako tu Ulitaka Nani akuchimbie kisima na hakuna mto Wala ziwa.Huko ni mabandani ambako mstaafabu hawezi kuja kula hata usafi ni shida na vile Mji wenu hauna maji ni shida tupu
Mkuu wewe inaonyesha umeyapatia hapa tunazungumzia mtu mwenye ajajipata hela zipo nje nje. Wewe kitendo tu cha kusema unapenda mji wenye umepangiliwa ina maana umejipata huku uitajiki.Kuishi kwenye kimji ambacho hakina planning (squatter)ndio sifa ,Tunduma ingekuwa impangiliwa kama tanga au Dodoma ingevutia watu wengi sana
Miji yote ya Kisasa na ya Wastaarabu Maji ni huduma ya Umma ndio maana tunalipa Kodi sio hivyo vinyesinavyokunywa.Maji kama auna ni wewe na uchumi wako tu Ulitaka Nani akuchimbie kisima na hakuna mto Wala ziwa.
Hakuna sehemu ambayo hela ni Nje Nje ππMkuu wewe inaonyesha umeyapatia hapa tunazungumzia mtu mwenye ajajipata hela zipo nje nje. Wewe kitendo tu cha kusema unapenda mji wenye umepangiliwa ina maana umejipata huku uitajiki.
Inaitajika watu wanao jitafta tu kuna wafaa Sana kwa mfano machinga wote wanao kuja Tunduma wote wanatokea mbeya kuja kufanya biashara za kuchinga huku.
Yani kwa machinga hela huku nje nje kama unauza viatu na nguo za mtumba.
Siyo Mshani Agrovet, Ila nimefurahia sana miaka yangu mitano niliokaa Tunduma, Kwa kweli nilihisi kama nipo Dar, Ndugu zangu Tunduma Kuna watu waungwana sana , Mimi nilipokelewa vizuri sana na Wana Tunduma , kwenye vijiwr vyao vya Mpira na vinywaji jioni , Nawakumbuka sana wadau wangu wa Valentine ya Standi hapo Kwa Chris, Valentine ya Iboya Kwa Nturo, Horizon Kwa Nyilema,. Olympia Kwa Furaha, Kwa kweli walinipokea vizuri sana, na nilikuwa member wa hivyo vijiwe,Hii Agro sio Mshani wewe??
Tunduma watu wamesoma sana, Tena wanasomesha sana watoto nje ya Nchii mfano Manyanya watoto wake wanadoma Ulaya, hao Wakings Wamepeleka sana watoto China, , Dubai, UK, France,Sasa si Bora hapo katikati ya Chapwa na Tunduma walau pamepangwa ila huko kwingine ni mabanda ya hovyo hovyo Bora liende.Walau Sumbawanga road ndio nimeona wanajitahidi kupanga Mji japo ushamba Sasa wa kujenga nyumba za kufanana ndio umezidi ππ
Wote wanakomaa na pitched roof,wanashindana kench kupaa Juu,ujinga.
Mwisho Huwa sipendi kuishi Miji ya hivyo ni Miji ya watu wasio soma ila Wana hela Sasa wanakosa aspects ya utaalamu/shule kwenye mambo Yao mengi.
Ni sababu ya serikali yenu ya ccm ndo imesababisha yote haya aileti Huduma za maji hafu saizi umefikia wapi sioni ukimpamba mama kama zamani.Miji yote ya Kisasa na ya Wastaarabu Maji ni huduma ya Umma ndio maana tunalipa Kodi sio hivyo vinyesinavyokunywa.
Yaani Kila mtu amechomba visima vya maji mna share uchafu wa vyoo na vile ni shaghalabaghala town ni shida tupu na kimji Cha hivyo kabisa [emoji3][emoji3]
Kwa taarifa yako Mimi hapo Tunduma ndio kwetu ila siwezi kuishi huko bush hakuna ustaarabu wa Maisha.
Majibu Yako kwenye post yangu hapo Juu.Vipi mbona sioni ukimpamba mama saizi mrija wako umekatwa nini[emoji1787][emoji1787] hafu mbona ni ccm ndo inaongoza mkuu.