AGROPRODUCT
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 290
- 952
Namole sijawahi kufika ila niikwenda Msongwa maeneo ya Kwa Big Muyaya mkulima mkubwa sana , nikawa naonyeshwa Namole na Chewezi. Kuna kale kamlima kana njia panda ya kwenda Namole na ChiweziSimjui [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe me napitaga tu pale me naishi namole
Namole sijawahi kufika ila niikwenda Msongwa maeneo ya Kwa Big Muyaya mkulima mkubwa sana , nikawa naonyeshwa Namole na Chewezi. Kuna kale kamlima kana njia panda ya kwenda Namole na Chiwezi
Hongera sana , Sister ukiwekeza Tunduma hizo ni Hela. Pale Kwa Msomali mfuga kuku, Chipaka upo maeneo gani ? Kwa Mchungaji Kayange, or Kwa kina Sikaonga, or Monrovia Church, or CAMP or Vilabuni, , Uwanja I or Chipaka Kwa Msomali?Big Muyaya muuza vyombo mkubwa Tdm
Msongwa kwa matajiri kule na me nina kibanda changu maeneo ya kwa msomali na chipaka nako nina kibanda ila sikai huko nilipapenda tu!
Hongera sana , Sister ukiwekeza Tunduma hizo ni Hela. Pale Kwa Msomali mfuga kuku, Chipaka upo maeneo gani ? Kwa Mchungaji Kayange, or Kwa kina Sikaonga, or Monrovia Church, or CAMP or Vilabuni, , Uwanja I or Chipaka Kwa Msomali?
Wacha uoga Sister[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe nawe acha ufukunyuku mwisho wakawatafute wapangaji wangu nianze kufatiliwa na wanga
Nyingine iko Nyerere Tdm mgodi ule uliojificha
Wacha uoga Sister
Nilipapenda sana Tunduma , Wakati napewa uhamisho wa kwenda Tunduma kutoka Dar niliumua sana, ila baada ya miezi mitatu nilipaeewa sana Tunduma, nilishanga nimekaa na kupapemda sana,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Humu tunakaa kwa password hakuna kujuana km marobot
Nilipapenda sana Tunduma , Wakati napewa uhamisho wa kwenda Tunduma kutoka Dar niliumua sana, ila baada ya miezi mitatu nilipaeewa sana Tunduma, nilishanga nimekaa na kupapemda sana,
Hapana nimetoka kidogo , nipo Dar Kwa sasaBado upo tunduma?
Hapana nimetoka kidogo , nipo Dar Kwa sasa
Zimefika Miss NamoleSawa wasalimie daslama
Zimefika Miss Namole
Bado dar ni Baba lao. Yaani Mjini dar sihami hata kww dawa.Hapana nimetoka kidogo , nipo Dar Kwa sasa
Sorry nje ya mada kidogo, Vipi kuhusu makanisa maana nasikia huo mkoa kila baada ya nyumba kadhaa kuna church sasa hawa manabii wetu wa mafuta na chumvi si watakuwa wengi sana huko wanapiga hela zilizogaa kwenye mzunguko wa hukoZile deal za Black market upande wapili nyuma ya frame za Viatu ule upande unazalisha sana Madoni Kila mwezi kwenye deal za:-
Vipodozi.
Vitenge.
Mafuta ya Kula.
Sukari.
Sigara .
Mbegu za Mahindi / Zamsed.
Mafazeti used kutoka Zimbabwe, South Africa.
USD ;- zinatoka Congo na unazipata upande wapili, Pombe za Viroba, na Pombe za vichupa vidogo wanauza Bei ya Tshs 1000/= na Viroba vinaanzia 250-500 maeneo ya Black na Iboya.
Kuna matajiri wanspiga Hela kwenye Biashara ya kubadilisha Fedha, yeye ana Supply fedha Kwa Vijana jioni anarudishiwa na Faida , Hao wanaitwa wenye Visima , mtu ana Supply hata billioni Moja Kwa Vijana wake 30 wanaokwenda kutafuta Dolla Hadi Congo.
Kuna Wababe kwenye Biashara ya Mafuta ya Petroleum kupeleka upande wa Zambia Kuna Yule Msomali wa Petroafrica mwenye upara aliwakamata sana wa Zambia.
Kuna Yule Tajiri wa Valentine Bar ya Pale Boarder na Valentine night club Jamaa anajimbiza sana kaanzia kwenye Bar Hadi kushika soko la Viatu Hadi Kumiliki Kusoma pale Kisimani.
Yupo Dubai Tyre Jamaa anakimbiza sana kwenye biashara ya Tyre Sasa amehamia kwenye Mafuta Bei zake za Tyre ni kama Dar es salaam. Yupo yule Manyanya ameshika biashara za maduka balaa pale Boarder piya yeye ndie amehamia kwenye vituo vya Mafuta, Wapo Hawa Jamaa wa Olympic petroleum anauza Mafuta Kwa wholesale Kwa Bei ya Depot'.
Mjii wa Tunduma una Bank zaidi ya Sita, Petrol Station zaidi ya Hamsini, lodge na Bar zimetapaka Kila baada ya nyumba mbili or tatu,
Hahahahahahahaha kwenye umaskini hakunaga ubora.Bado dar ni Baba lao. Yaani Mjini dar sihami hata kww dawa.
Bora kuwa msskini ukiwa dar kuliko Tajiri ukiwa Songwe.
Hahahahahahahaha kwenye umaskini hakunaga ubora.
Lakini sasa ziwa haliwasaidii kiubadili maisha yao ya kiuchumi. Ndio mkoa wa mwisho kwa umasikini wa kipato!😂😂😂Kagera wanaziwa wale
Hii ya kuamka saa 10 alfajiri kwenda kuwahi jam barabarani? Mikoani nako kuna fursa kama Dar. Ni mentality tuBado dar ni Baba lao. Yaani Mjini dar sihami hata kww dawa.
Bora kuwa msskini ukiwa dar kuliko Tajiri ukiwa Songwe.
Kwa hili nakubaliana na wewe, Katoro bidhaa zinauzwa kwa bei rahisi ukilinganisha na maeneo kama jiji la MwanzaOngeeni yooote, mwisho wa siku kwa Tanzania hii hakuna sehemu yenye mzunguko mkubwa wa pesa kama Kariakoo hata ukiweka mahaba yako ila uhalisia utabaki kuwa kama ilivyyo. Ukishangaa uuzwaji wa bidhaa kwa bei nafuu Tunduma, nenda Katoro na Geita kwa ujumla na ni miji ambayo haiko mpakani ila kuna bidhaa zina either bei nafuu kama Kkoo au sawa na Kkoo lakini mwisho wa siku bado wafanyabiashara wanapahitaji Kariakoo.