Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Simjui [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe me napitaga tu pale me naishi namole
Namole sijawahi kufika ila niikwenda Msongwa maeneo ya Kwa Big Muyaya mkulima mkubwa sana , nikawa naonyeshwa Namole na Chewezi. Kuna kale kamlima kana njia panda ya kwenda Namole na Chiwezi
 
Namole sijawahi kufika ila niikwenda Msongwa maeneo ya Kwa Big Muyaya mkulima mkubwa sana , nikawa naonyeshwa Namole na Chewezi. Kuna kale kamlima kana njia panda ya kwenda Namole na Chiwezi

Big Muyaya muuza vyombo mkubwa Tdm
Msongwa kwa matajiri kule na me nina kibanda changu maeneo ya kwa msomali na chipaka nako nina kibanda ila sikai huko nilipapenda tu!
 
Big Muyaya muuza vyombo mkubwa Tdm
Msongwa kwa matajiri kule na me nina kibanda changu maeneo ya kwa msomali na chipaka nako nina kibanda ila sikai huko nilipapenda tu!
Hongera sana , Sister ukiwekeza Tunduma hizo ni Hela. Pale Kwa Msomali mfuga kuku, Chipaka upo maeneo gani ? Kwa Mchungaji Kayange, or Kwa kina Sikaonga, or Monrovia Church, or CAMP or Vilabuni, , Uwanja I or Chipaka Kwa Msomali?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe nawe acha ufukunyuku mwisho wakawatafute wapangaji wangu nianze kufatiliwa na wanga

Nyingine iko Nyerere Tdm mgodi ule uliojificha
 
Zile deal za Black market upande wapili nyuma ya frame za Viatu ule upande unazalisha sana Madoni Kila mwezi kwenye deal za:-
Vipodozi.
Vitenge.
Mafuta ya Kula.
Sukari.
Sigara .
Mbegu za Mahindi / Zamsed.
Mafazeti used kutoka Zimbabwe, South Africa.
USD ;- zinatoka Congo na unazipata upande wapili, Pombe za Viroba, na Pombe za vichupa vidogo wanauza Bei ya Tshs 1000/= na Viroba vinaanzia 250-500 maeneo ya Black na Iboya.
Kuna matajiri wanspiga Hela kwenye Biashara ya kubadilisha Fedha, yeye ana Supply fedha Kwa Vijana jioni anarudishiwa na Faida , Hao wanaitwa wenye Visima , mtu ana Supply hata billioni Moja Kwa Vijana wake 30 wanaokwenda kutafuta Dolla Hadi Congo.
Kuna Wababe kwenye Biashara ya Mafuta ya Petroleum kupeleka upande wa Zambia Kuna Yule Msomali wa Petroafrica mwenye upara aliwakamata sana wa Zambia.
Kuna Yule Tajiri wa Valentine Bar ya Pale Boarder na Valentine night club Jamaa anajimbiza sana kaanzia kwenye Bar Hadi kushika soko la Viatu Hadi Kumiliki Kusoma pale Kisimani.
Yupo Dubai Tyre Jamaa anakimbiza sana kwenye biashara ya Tyre Sasa amehamia kwenye Mafuta Bei zake za Tyre ni kama Dar es salaam. Yupo yule Manyanya ameshika biashara za maduka balaa pale Boarder piya yeye ndie amehamia kwenye vituo vya Mafuta, Wapo Hawa Jamaa wa Olympic petroleum anauza Mafuta Kwa wholesale Kwa Bei ya Depot'.
Mjii wa Tunduma una Bank zaidi ya Sita, Petrol Station zaidi ya Hamsini, lodge na Bar zimetapaka Kila baada ya nyumba mbili or tatu,
Sorry nje ya mada kidogo, Vipi kuhusu makanisa maana nasikia huo mkoa kila baada ya nyumba kadhaa kuna church sasa hawa manabii wetu wa mafuta na chumvi si watakuwa wengi sana huko wanapiga hela zilizogaa kwenye mzunguko wa huko
 
Ongeeni yooote, mwisho wa siku kwa Tanzania hii hakuna sehemu yenye mzunguko mkubwa wa pesa kama Kariakoo hata ukiweka mahaba yako ila uhalisia utabaki kuwa kama ilivyyo. Ukishangaa uuzwaji wa bidhaa kwa bei nafuu Tunduma, nenda Katoro na Geita kwa ujumla na ni miji ambayo haiko mpakani ila kuna bidhaa zina either bei nafuu kama Kkoo au sawa na Kkoo lakini mwisho wa siku bado wafanyabiashara wanapahitaji Kariakoo.
 
Kwa hili nakubaliana na wewe, Katoro bidhaa zinauzwa kwa bei rahisi ukilinganisha na maeneo kama jiji la Mwanza
 
Back
Top Bottom