Tupac aliwaza mbali sana kuhusu suala la kuleta watoto duniani

je uwepo wa mateso na maovu unamaanisha maisha hayafai kuendelea?
 
Kwa hiyo wewe hujali kuhusu " Uhai" ama " Uwepo" wa watu wengine? Nyie ndio mnafanya dunia iwe sehemu mbaya ya waru kuishi
Najali sana kuhusu uhai ndio maana nataka hata wengine waje kama nilivyokuja mimi

Wewe ungesema watu waungane kuifanya dunia iwe sehemu salama ya kuishi sio kusema watu wasizae kabisa
Halafu wasipozaa?
 
Najali sana kuhusu uhai ndio maana nataka hata wengine waje kama nilivyokuja mimi

Wewe ungesema watu waungane kuifanya dunia iwe sehemu salama ya kuishi sio kusema watu wasizae kabisa
Halafu wasipozaa?
Wasipo zaa? Watakuwa extinct. Alie waumba ataumba watu wapya wasio na uwezo wa kufanya uovu na dunia itakuwa salama..


Kufanya dunia iwe sehemu salama? Hata kwenye mafundisho ya dini mnaambiwa Hilo halitowezekana mpaka Yesu aje
 

Yes nataka wasije kwa sababu sitaki waje kwenye dunia yenye uovu mkubwa kiasi hiki. I love them.. Wewe unaetaka waje u don't love them..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…