Ubarikiwe sana mheshimiwa.Ndugu yangu salaam. Awali ya yote pole Sana kwa kadhia hii. Pia hongera Sana kwa hekima, utulivu na ujasiri wa kuleta hoja yako hii. Haya kesho nitumie ujumbe kwenye sms namba 0765345777 nitaweza kuisoma na kukupa ushauri. Haya usiku mwema. Shukrani
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Niombee ndugu yangu 😚Hongera sana Dkt Gwajima.
Ila wale wasiasa chafu wasuje kukwambia unashinda mitandaoni😅. Tunafurahi kutumia jukwaa hili.
Zaidi nakupongeza umekuwa ukitumia social media kwa ufasaha kuweka mambo sawa kwa baadhi ya matukio. Huo ndiyo uongozi wa kisasa, sio habari za desk top review. Sizipokuja huna jambo.
Heshima yako mheshimiwa waziri na Pole kwa majukumu,ulinipa namba ili nikutumie msg inayoelezea changamoto niliyonayo ya mgogoro wa kifamilia na changamoto niliyopata baada ya kulifikisha jambo hili ustawi wa jamii na mahakama inayohusika na masuala ya watoto,nimejaribu kutuma msg hiyo siku ya nne leo kwa namba uliyonipa lakini namba haikubali kupokea msg,Ndugu yangu salaam. Awali ya yote pole Sana kwa kadhia hii. Pia hongera Sana kwa hekima, utulivu na ujasiri wa kuleta hoja yako hii. Haya kesho nitumie ujumbe kwenye sms namba 0765345777 nitaweza kuisoma na kukupa ushauri. Haya usiku mwema. Shukrani
Sent from my CPH2207
Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa sehemu nzuri ya kupokea maswali, maoni na mawazo yenu kuhusu namna tunavyoweza kuboresha maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake, na watu wenye makundi maalum nchini Tanzania.
Hivyo, ninawakaribisha nyote kushiriki kwenye majadiliano haya na mimi niko tayari kujibu maswali yenu na kusikiliza maoni yenu na hata kuyafanyia kazi haraka pale inapobidi.
Unaweza kutoa maoni yako kwenye mjadala huu au kupitia ujumbe
mheshimiwa,mimi ninanyanyaswa sana,nilibebeshwa mimba na afisa mtendaji wa kata baada tu ya kumaliza form four,baada tu ya kubeba mimba mwenzang akabadirika mimi sikuhitaj anioe maan sikumuona kama anafuture yoyote,nilihitaji tu nipate matunzo lakini sikupata mpaka nikajifungua mtoto wa kiume na sasa anamiaka mitatu na nusu sipati msaada wowote toka kwa mzazi mwenzangu nahangaika kumlea pekeang mtoto nimefika mpaka ustaw nipate walau hata hel ya sabuni lakin nilioshia kupewa namba za simu ili nikipata shida niwapigie.naomba nisaidie mwanangu apate haki.Natumaini utanisaidiaHeri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa sehemu nzuri ya kupokea maswali, maoni na mawazo yenu kuhusu namna tunavyoweza kuboresha maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake, na watu wenye makundi maalum nchini Tanzania.
Hivyo, ninawakaribisha nyote kushiriki kwenye majadiliano haya na mimi niko tayari kujibu maswali yenu na kusikiliza maoni yenu na hata kuyafanyia kazi haraka pale inapobidi.
Unaweza kutoa maoni yako kwenye mjadala huu au kupitia ujumbe wa faragha (PM).
Karibuni
Ahsante sana kwa nafasi hiiHeri ya Pasaka wana JamiiForums,

Mbona nimejibu sms zote kwenye namba zote 2? Angalia kama sijajibu maana siyo rahisi kutambua kuwa hii ndiyo yako maana najibu hoja tu.Heshima yako mheshimiwa waziri na Pole kwa majukumu,ulinipa namba ili nikutumie msg inayoelezea changamoto niliyonayo ya mgogoro wa kifamilia na changamoto niliyopata baada ya kulifikisha jambo hili ustawi wa jamii na mahakama inayohusika na masuala ya watoto,nimejaribu kutuma msg hiyo siku ya nne leo kwa namba uliyonipa lakini namba haikubali kupokea msg,
Hongera kwa ishu ya DED wa Mafia...Mbona nimejibu sms zote kwenye namba zote 2? Angalia kama sijajibu maana siyo rahisi kutambua kuwa hii ndiyo yako maana najibu hoja tu.
Hii iliwahi kuzunguka ikasemekana na walioitambua kuwa ni nje ya nchi na ya zamani sana. ShukraniView attachment 2971715
Wanajamvi habari za kazi!!
Naomba tusaidiane kuitambua hii video ilipoatokea,maana inazagaa kwenye magroup ya whatsupp,ila hatujui imetokea wapi.
Ahsanteni!!
Shukran Waziri kwa kuonesha uwajibikaji kwa jamii.Hii iliwahi kuzunguka ikasemekana na walioitambua kuwa ni nje ya nchi na ya zamani sana. Shukrani
Ahsante Sana. Mwaka jana tulinunua na Mwaka huu tutanunua. Kuna mpango wa bottom up unaohusisha kuimarisha wataalamu wa wizara zote za kisekta kwenye kila kata.Mh. Waziri karibu sana humu jf, niende moja kwa moja kwenye point yangu.
Wizara ya kilimo imepambania sana maafisa kilimo walioko katani kuwezeshwa usafiri wa pkpk na tunaona kwa sasa mambo yanaenda, vp wizara yako inashindwaje kuwapambania maafisa maendeleo ya jamii wa ngaz ya kata japo wakapatiwa pkpk? Maafisa hawa wapo wachache lakini serikali haijawawezesha na kuwatumia ipasavyo, wengi tunawaona wanatumika kwenye marejesho ya mikopo ya 10% tu wakati kaz zao ni mtambuka katika jamii.
NAPENDEKEZA
1. Pambania bajeti ya wizara yako iongezeke
2. Agiza idara ktk halmashauri nchini kuwatumia wataalamu hawa kwenye kuhamasisha jamii mambo mbali mbali.
3. Wataalamu hawa wachache katani watumike maeneo mengine yenye majanga kama mafuriko na imani potofu kutokana na mila na desturi kwa kupelekwa na serikali maeneo yenye changamoto hata kwa wk 1 tu, utaona changes
4. Waangalie maafisa maendeleo kwenye stahiki zao.
Kwa leo niishie hapo, watumishi hao ukiwaona wanatia huruma tumechoka kuwapa au kuwaazima boda zetu. Nawasilisha kwako Mh. Wazir, over[emoji1316]