Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,847
Namimi nalisisitiza hili[emoji122]1. Katika kutoa semina za kuwawezesha wanawake, msifundishe kama vile wana ugonvi na wanaume, mjikite katika kujenga familia madhubuti.
Habari waziri, napenda kukujulisha kuwa wizara yako hii kwetu vijana bado ni ngeni sana. Bado hatuijui kwenye ground level kabisa, hatujui taasisi inazozisimamia, mipaka yake ya kimamlaka, wadau wakubwa, na participants wake wakuu ni wapi.Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa sehemu nzuri ya kupokea maswali, maoni na mawazo yenu kuhusu namna tunavyoweza kuboresha maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake, na watu wenye makundi maalum nchini Tanzania.
Hivyo, ninawakaribisha nyote kushiriki kwenye majadiliano haya na mimi niko tayari kujibu maswali yenu na kusikiliza maoni yenu na hata kuyafanyia kazi haraka pale inapobidi.
Unaweza kutoa maoni yako kwenye mjadala huu au kupitia ujumbe wa faragha (PM).
Karibuni
Duuuh maskinii wee, hali ni mbayaa kwa kweli.MH WAZIRI
Tafadhali tunaomba msaada muwasaidie wale watoto wanaoishi pale Ubungo darajani na wengine mwenge na pale jangwani waiteni mukae nao mujue chanzo cha wao kuwa pale, wapelekeni hata shule au wale wakubwa waende VETA.
Wale watoto nina uhakika wana wazazi ama wengine walilelewa na mama wa Kambo wakakimbia mateso,manynyaso na ugumu wa maisha nyumbani kwao wasikilizeni muone vile mutawasaidia
Usiku wanalala pamoja wale wakubwa na wadogo nina mashaka sana huenda wanaingiliana sana kinyume na maumbile(hawa ndio mashoga wazoefu wa badae) niliwahi kupata taarifa kuwa kuna watu wazima wanakuja na magari pale wanawachukua wanaenda kuwapiga kuwalawiti wanawapa hela kidogo wanarudi pale yaani hao ni watoto wa kiume wanaojiuza
MAONI YANGU NENDENI MUKAWASAIDIE TAFADHALI, KAMA SERIKALI HAINA MSAADA MUWAFUKUZE PALE WAONDOKE KABISA
Hili lizingatiwe sana!!1. Katika kutoa semina za kuwawezesha wanawake, msifundishe kama vile wana ugonvi na wanaume, mjikite katika kujenga familia madhubuti.
Kuna wakati pale walikuwa wanafukuzwa wanarudiDuuuh maskinii wee, hali ni mbayaa kwa kweli.
wapo mkuu na ikifika usiku wanapanda zile waya wanarukia ndani kule juzi nimetoka Dar hapo nimewaona wengi sana. ukitaka kujua wingi wao pita kuanzia saa nne wote wanakuwa sehemu mojaKuna wakati pale walikuwa wanafukuzwa wanarudi
Ila kwa ubongo pale si walipazungushia uzio, sasa sijui kama bado watoto wanaingia mule tena au la
Ova
Napajuwa vizuri sana hapo, kuna wakati tushaingia hapo ilikuwa kama saa nane usiku, kuna mtoto tulienda kumchomoa. Ni kitambo, alitoroka kwao sasa mjomba wake alikuwa anamtafuta.wapo mkuu na ikifika usiku wanapanda zile waya wanarukia ndani kule juzi nimetoka Dar hapo nimewaona wengi sana. ukitaka kujua wingi wao pita kuanzia saa nne wote wanakuwa sehemu moja
hahahaha kwa hiyo huyo dogo mulishindwa kabisa kumchomoa hapo?NAPAJUWA VIZURI SANA HAPO,KUNA WAKATI TUSHAINGIAGA HAPO ILIKUWA KAMA SAA NANE USIKU,KUNA MTOTO TULIENDA KUMCHOMOA...KITAMBO ALITOROKA KWAO SASA MJOMBA WAKE ALIKUWA ANAMTAFUTA
HAPO KUNDI LA WATOTO WALITUTOLEA VISU VIWEMBE YAANI ILIKUWA TAFRANI.....
PALE SIYO KABISA NA WATOTO PALE WANAPAONA KAMA HEAVEN
WATOTO WENGI PALE KISAIKOLOJIA
WASHAARIBIKIWA
MTOTO ANAYEKAA PALE LAZIMA AWE BANDIDU ,KUTOKANA NA MAISHA WANAYOISHI
ova
Duuuh inasikitishaa mnooo.Kuna wakati pale walikuwa wanafukuzwa wanarudi
Ila kwa ubongo pale si walipazungushia uzio, sasa sijui kama bado watoto wanaingia mule tena au la
Ova
Tushindwe tena? Tulimchomoa, na usiku ule ule alisafirishwa kwa mjomba wake Songea!hahahaha kwa hiyo huyo dogo mulishindwa kabisa kumchomoa hapo?
Sana, ile ni dunia nyingine ujueDuuuh inasikitishaa mnooo.