Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa sehemu nzuri ya kupokea maswali, maoni na mawazo yenu kuhusu namna tunavyoweza kuboresha maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake, na watu wenye makundi maalum nchini Tanzania.
Hivyo, ninawakaribisha nyote kushiriki kwenye majadiliano haya na mimi niko tayari kujibu maswali yenu na kusikiliza maoni yenu na hata kuyafanyia kazi haraka pale inapobidi.
Unaweza kutoa maoni yako kwenye mjadala huu au kupitia ujumbe wa faragha (PM).
Karibuni.
Lini utumwa wa ndugu zetu walemavu utakomeshwa? Kwa nini tusichukue taarifa za ndugu zetu wahusika kisha tujue ndugu zao baada hapo naamini tatizo litaishaHeri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa sehemu nzuri ya kupokea maswali, maoni na mawazo yenu kuhusu namna tunavyoweza kuboresha maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake, na watu wenye makundi maalum nchini Tanzania.
Hivyo, ninawakaribisha nyote kushiriki kwenye majadiliano haya na mimi niko tayari kujibu maswali yenu na kusikiliza maoni yenu na hata kuyafanyia kazi haraka pale inapobidi.
Unaweza kutoa maoni yako kwenye mjadala huu au kupitia ujumbe wa faragha (PM).
Karibuni
mkuu sio uvumilivu kidogo, ni uvumilivu haswaa! Ni matumaini yangu kuwa amejipanga vizuri.[emoji41]Karibu Jukwaani Mama , hapa panahitaji uvumilivu kidogo .
Hongera kwa ujasiri .
Mheshimiwa,View attachment 2670116
[emoji7][emoji847][emoji1241] tumepiga hatua sasa, Wizara yenu ya Jamii kama tulivyoahidi, katika kupanua wigo wa kuifikia jamii, tumefungua kituo cha kupokea simu za wananchi kama inavyosomeka hapo. Karibuni Sana.
Nami nafurahi kuwa, wakati tukijipanga kwenye hatua hii, nilikuwa mstari wa mbele nikisaidiana na ile namba 116 na namba za Maafisa Ustawi wa Jamii nchini kote kupokea hoja za Wananchi kupitia simu nilizotangaza huku mimi mwenyewe nikionesha mfano maana shida za wananchi leo zilihitaji linalowezekana leo hiyo. Sasa tumeimarika zaidi, karibuni mfurahie huduma zetu.
Nawashukuru wote walioshirikiana nasi kwenye kipindi chote cha mpito hadi hatua hii[emoji123][emoji847]
AHSANTEπππ sanaaView attachment 2672606
Nawatakia sote tuwe na sikukuu njema na Baraka, π€π€²πΉπΏ
Maoni yako mazuri ila page hii ina umuhimu wake huku watu wanakuwa sio waoga kutoa waliyo nayo moyoni muache aendelee huku sisi tutampa mambo mengi sana mambo ya official yabaki kuwa official.Ukitaka kufaidi au kula rojo tamu usihangaike na mtafutaji wa chakula hangaika na mpishi utaifaidi kwa siri bila mtafutaji kujua.Umefanya jambo jema kuanzisha mjadala huu....
Ila nafasi/cheo ulichonacho hapo wizarani, si nafasi ya kudumu! Maana ni mteuliwa wa Raisi!
Hivyo muda wowote aliekuteua akiamua....Unaweza usiwepo kwenye hiyo nafasi!
Hivyo kama ingependeza ungeanzisha page rasmi ya wizara kama wizara, na si kwa hii account Yako...
Ukianzisha page rasmi ya wizara kama wizara...page hiyo itaendelea kupokea maoni kama wizara hata pale utakapokuwa wewe haupo.
Hizo nafasi za kuteuliwa zinategemea sana maamuzi ya yule aliekuteua, ama wananchi waliokuchagua kama mbunge...then kuteuliwa kama waziri...
Hayo ni maoni yangu tu.
Mama nina neno kwako, naweza kuja pm tutete kidogo mamangu?View attachment 2672606
Nawatakia sote tuwe na sikukuu njema na Baraka, π€π€²πΉπΏ
Tunakoelekea tutafika tumechoka sanaWanawake walioko kwenye ndoa walipwe kwa kazi za nyumbani wanazofanya. Wanaume watoe mahali, walete mahitaji nyumbani, wawalipe wamama kwa vijikazi vya nyumbani na mkiachana mgawane mali. πππ daaaaaah! Tunakoelekea ni kuzuri sana
Kuna habari hii hapa mheshimiwa Waziri.Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa sehemu nzuri ya kupokea maswali, maoni na mawazo yenu kuhusu namna tunavyoweza kuboresha maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake, na watu wenye makundi maalum nchini Tanzania.
Hivyo, ninawakaribisha nyote kushiriki kwenye majadiliano haya na mimi niko tayari kujibu maswali yenu na kusikiliza maoni yenu na hata kuyafanyia kazi haraka pale inapobidi.
Unaweza kutoa maoni yako kwenye mjadala huu au kupitia ujumbe wa faragha (PM).
Karibuni
Unaweza kukuta hata password ya kuingia JF kashaisahau....Kuna habari hii hapa mheshimiwa Waziri.
Thread 'URGENT: Binti wa miaka 16 ameozeshwa kwa lazima kama mke wa pili, huko Laela, Sumbawanga' DOKEZO - URGENT: Binti wa miaka 16 ameozeshwa kwa lazima kama mke wa pili, huko Laela, Sumbawanga
[emoji1690]TATIZO NYETI LA NETI ZA MISAADA ZA KUZUIA MBU KWA NIA YA KUTOKOMEZA MALERIA.
Kichwa cha habari hapo juu, chahusika mh. Waziri.
Neti hizi badala ya kuzuia maleria zinaongeza na kwa upande wangu zilileta ugomvi na mama watoto wangu. Nitafafanua ila tatizo halisi kwa ufupi ni kuwa dawa zikiisha kwenye neti, huwezi kuzipata madukani wala huko zinapogawiwa bure neti hizi.
Cha ajabu nilikuja kugundua hizi neti zinaingiza mbu baada ya kuisha ile dawa( ili hakuna anayejua ndio ujue janga likipo)
Ipo hivi, mke wangu alivyopata ujauzito alianza clinic. Huko clinik ya. serikali alipewa neti yenye dawa akaja nayo home. Tukatoa hii tuliyonayo tukaweka ya msaada. Mwanza ilifanya vizuri, huoni mbu akikaa kaa juu ya neti.
sasa baada ya miezi kadhaa, kama miwili na zaidi, nikawa naona mbu wawil mpaka 5 ndani ya neti. Hapo nikaanza kumshutumu mke wangu kuwa akitoka kujisaidia usiku harudishii neti vizuri. Ikawa ugomvi mana alisema namsingizia yeye sio mshamba wa kutumia neti.
Kitu kingine nikagunduwa. kuwa dawa ya kuwafukuza mbu imeisha mana sasa mbu wanakaa juu ya neti. Na wakiwa ndani wanakuwa wameshiba damu waliotuuma. Nawaua kwa hasira na kumtupia shutuma mama watoto. Sasa alivyoenda kujifungua usiku huo nililala peke yangu, Alaaa, asubuhi nakuta mbu ndani ya neti wameshiba. Sikuamini nikahisi labda hizi neti zina kiini macho. Siku inayofuata nikafunga neti vizuri na nipo peke yangu. Asubuhi nikastajabu tena mbu hao, huwa hawazidi 6.
Nikachukua neti ile ya zamani nikaweka siku iliofuata ambapo mbu hawakuingia. Kuzichunguza nikakuta hizi neti za msaada zina matundu makubwa kulinganisha na ile ya mwanzo. Ndio nilipohisi lazima mbu wanaingia kupitia matundu hayo wakiwa wembamba. Pia unafahamu mbu ana uwezo wa kutambaa kama sisiminzi akitafuta upenya autakao kupita japi hatambai umbali mrefu.
Ombi langu fuatilia kwa nini hizi neti zinagawiwa kwa wingi bila kuwaelimisha dawa zake zinapatikana wapi. Mie ile neti zina mpango wa kuitumia tena labda kuwekea uzio wa vifaranga wasichukuliwe na mwewe au kunguru. Pia usishangae kuona neti hizi zinatumika huko mtaani, kwa matumizi yasiokusudia siri ndio hio nakumegea. Neti hizi zina nembo ya Taifa wala sio feki. Sifa yake kuu ni kuwa haiozi hata ukiifukia chini, lakinu kumzuia mbu asikung'ate bila dawa zake ni kazi bure.
NAWASILISHA.
wachawi sio watu wazuri[emoji3]Unaweza kukuta hata password ya kuingia JF kashaisahau....