Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
- Thread starter
-
- #141
[emoji28] jamani mbona nipo na hili tulifanyia kazi kikamilifu kwenye Uzi uliofunguliwa na mleta taarifa? Haya ahsanteni sana. Ila kwa kuwa mambo ni mengi pia, mtu akiona ana emergency, tulifungua call center ya wizara siku za kazi, Namba 0734986503 na landline yaUnaweza kukuta hata password ya kuingia JF kashaisahau....
π π π Siyo kweli kabisaaaaaa. Sema hili jambo tulifanyia kazi kupitia Uzi wa yule aliyeleta taarifa. Maafisa wa Dawati la jinsia walienda hadi Kijijini kwa Binti, wakamchukua, wakampeleka hospitali kwa vipimo. Wazazi na muoaji wakakimbia. Kama kawaida jamii inapenda kulindana. Ila wanatafutwa. Binti Yuko mikononi mwa ustawi. Na yule alijifanya Mchungaji naye kumbe haikuwa kweli. Alikimbia. Anyway, tunamshukuru alitoa taarifa akipatikana sasa atajuana na Polisi, RB. 802/2023. Haya ahsanteni kwa ufuatiliaji wenu makini, tuendelee kushirikiana daima, jamii yetu, umoja wetu π€πΉπΏπͺUnaweza kukuta hata password ya kuingia JF kashaisahau....
[emoji28] jamani mbona nipo na hili tulifanyia kazi kikamilifu kwenye Uzi uliofunguliwa na mleta taarifa? Haya ahsanteni sana. Ila kwa kuwa mambo ni mengi pia, mtu akiona ana emergency, tulifungua call center ya wizara siku za kazi, Namba 0734986503 na landline ya
026 2160250. Vilevile, kuna namba 116 ya taarifa za ukatili kwa watoto, hii ni saa 24 Kila siku. Vyote hivyo vimeshindikana, hata mimi huwa napokea rufaa moja kwa moja kwa namba 0765345777. Tabu wapi wapendwa[emoji28]
Ahsanteni kwa kujali. Naomba tuendelee na ushirikiano huu daima. Mbarikiwe sana [emoji1241][emoji120]
Hili sasa ungeandika wizarani Ili upate mwongozo wa kitaalamu kuhusu ombi lako.Dkt mi natafuta kazi ya kujitolea nime specify course ya Community and development studies..
Nataman tu kufanyia Kazi kile nilichokisoma.
Basi mheshimiwa Waziri, mimi nimeamua kukupenda ....[emoji28] jamani mbona nipo na hili tulifanyia kazi kikamilifu kwenye Uzi uliofunguliwa na mleta taarifa? Haya ahsanteni sana. Ila kwa kuwa mambo ni mengi pia, mtu akiona ana emergency, tulifungua call center ya wizara siku za kazi, Namba 0734986503 na landline ya
026 2160250. Vilevile, kuna namba 116 ya taarifa za ukatili kwa watoto, hii ni saa 24 Kila siku. Vyote hivyo vimeshindikana, hata mimi huwa napokea rufaa moja kwa moja kwa namba 0765345777. Tabu wapi wapendwa[emoji28]
Ahsanteni kwa kujali. Naomba tuendelee na ushirikiano huu daima. Mbarikiwe sana [emoji1241][emoji120]
Mungu wa mbinguni apewe utukufu, penye Pendo la wanandugu kazi ya maendeleo na ustawi wa jamii hakika itakuwa nyepesi zaidiπ€ππ½ ubarikiwe.Basi mheshimiwa Waziri, mimi nimeamua kukupenda ....
Mambo ya uharibifu kwenye jamii yanayofanywa na baadhi ya watu wazima na akili zao ni mengi. Yote tumekuwa tukiyasema na kuchukua hatua na zaidi tumeyapangia mpango wa hatua mbalimbali endelevu.Swala la mapenzi ya jinsia moja, sioni mikutano ya kulikemea hili.
Binafsi, naomba ulitazame na hili hapa chiniHeri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa sehemu nzuri ya kupokea maswali, maoni na mawazo yenu kuhusu namna tunavyoweza kuboresha maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake, na watu wenye makundi maalum nchini Tanzania.
Hivyo, ninawakaribisha nyote kushiriki kwenye majadiliano haya na mimi niko tayari kujibu maswali yenu na kusikiliza maoni yenu na hata kuyafanyia kazi haraka pale inapobidi.
Unaweza kutoa maoni yako kwenye mjadala huu au kupitia ujumbe wa faragha (PM).
Karibuni
KaribuHeri ya Pasaka wana JamiiForums,

Ngoja nisome, ahsante Sana kwa muda wako.Tafuteni watu wenye uwezo na weledi wa Kusoma, Kudadavua na Kutambua Discrimination, prejudice, or antagonism against people especially Tanzanians, based on their race, ethnicity and or religion. Ni muhimu kabla hatijafikia sehemu mbaya Kijamii(kisaikilojia) ir atleast spearhead something to stop this nonesense.
Nashauri muwe na Intergovernmental organisation kati yenu, polisi mtandao, TCRA, Wizara za Mambo ya Nje, na Mambo ya Ndani na wajumbe kutoka social media companies muanza kutokomeza Ubaguzi na Ugaidi(Bullying) wa mitandaoni.
Tafadhali rejea Uzi huu hapa
Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika
Kama unafikiri hakuna la kuangalia.
Disregard.
Asanteni.
Wenu katika kujenga Nchi.
CC: Maxence Melo
Ahsante Sana, nitawasilisha maoni haya kwenye Wizara mama ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, kwa Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako. Shukrani Sana kwa maoni yako. Ubarikiwe [emoji1666][emoji1241]Naiomba Serikali yangu sikivu iboreshe huduma kwa watoto wenye mahitaji maalum. (Wenye ulemavu).
Waangalie namna bora ya kulinda haki zao kama watoto wengine wa kawaida.
Na pia kuongeza elimu katika Jamii zetu kuhusu umuhimu wa kuwapa mahitaji yao ya msingi kama elimu.
Hatari sana! Sheria zetu Bado zina makengeza!Wanawake walioko kwenye ndoa walipwe kwa kazi za nyumbani wanazofanya. Wanaume watoe mahali, walete mahitaji nyumbani, wawalipe wamama kwa vijikazi vya nyumbani na mkiachana mgawane mali. πππ daaaaaah! Tunakoelekea ni kuzuri sana
Tuwekeze zaidi kwenye familia zetu za kitanzania ambapo hakuna yatimaHeri ya Pasaka wana JamiiForums,