Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga
Tulieni ameongeza siku 12 jamani
Screenshot_20211018-133651_Facebook.jpg
 
daaa sasa pale kkongo kariakkoo kutakuwaje maana tulizoea kununua vyao
 
Wanabomoa vibanda vyenu wanaweka vibanda vyao. Mtetezi wenu ndio kashaondoka pambaneni na Hali zenu. Wajanja wameangalia wamejua mnapiga hela maeneo fulani fulani. Wametafuta njia ya kuingia hapo na ndio hio kwamba vibanda vyenu vichafu havifai kuwa hapo ILA vibanda vyao visafi ndio vinastahili! Wewe mlalahoi kibanda chako peleka kijijini kwenu huku tunataka vibanda vya akini tipisi, fishifishi na wajanja wengine wa mjini
 
Pumzika kwa amani Jemedari chuma JPM, mzalendo na kiongozi madhubuti.

Mabeberu na Mafisi yamekuondoa mapema sana ingali taifa linahitaji uchapa-kazi wako.

Kila siku naikumbuka ile sauti yako yenye mngurumo wa radi. Kiongozi mwenye kinywa kilichojaa mamlaka na AMRI.

You have gone too soon John!
 
Back
Top Bottom