Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
zichukueni tu, na wananchi wataanza kutumia matairi ya gari na kibiriti, nadhani mmeelewa.Ubaya walijenga njiani na kuziba baadhi ya office muhimu
Hope wamepata pa kuweza kuendelea kujipatia kipato
Vinginevyo tutaanza ile biashara ya kuanika nguo nje na kuzichunga zikauke
wanaharibu LEGACY ya MWENDAZAKE, aliyo tuachia, inauma sana, mtu hata hajaoza vizuri, dah!Mbagala zakhem imekua safi asubuhi ya leo njia ya kwnda mbagala kuu ilikuwa haipitiki kwa gari
Rudini mkalime, msimdharau Samia kwakuwa ni mama, hili halikubaliki.Mkuu sisi tupo hapa maeneo ya ilala boma...bango tunaliona ila pa kuenda hatujajua
Mitaa yangu hiyo ila sijaja tangu mabanda ya mihogo na mapande ya ugali yavunjwe. Mpaka tufungueNdiyo mkuu, uko around pia?
Huko mashambani hakuna nenoMwanza wamegoma,bado barabara zimezibwa na wamachinga