Kufeni naye mpate amani. Maana mnatupigia kelele tu na huyo kibwengo wenu.

Miaka 6 yote mlishindwa kujitoa kqenye kundi la wanyonge, sasa alikuwa anawatetea nini ?
 
Watu hawataki kuzikia somo, tuliwaambia maneno ya wanasiasa sio katiba, msidhani yanadumu milele hawakusikia. Wacha niserebuke zangu na ka Serengeti kangu mwanana
 
Fasihi hiiπŸ˜€πŸ˜… ukiusoma uzi juu unamiss sarcasm na persona.

Everyday is Saturday................................😎
 
Duu! Mungu akupe umri mrefu ushuhudie kizazi chako.
Mku usiniombee duwa mbaya mie nipo kijijini wala huko Dar sipatamani. Ninalima na kumtegemea mungu sio mtu.
Hio miji inawenyewe,mngekuwa na nyie ni wa huko mngekuwa na fremu wala msingebishana na serkali.
Aliewapeleka mjini ndio wa kumuuluza kwa nini aliwapeleka barabarani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…