Mkuu kukuombea uishi miaka mingi kuna ubaya?
 
Jipige kifuani ukijiambia kuwa ww ni MJINGA.
 
Ikiwa leo saa sita za usiku inatimia Rasmi muda wa mwisho waliopewa kuondoka barabarani.


Nilipita leo kariakoo nikakuta wanasema wameongezewaa week Mbili,Bigbrother nimeskia wakiongea kia wametangaziwa mwisho saa6 usiku huu
Safi kwa Hili naiunga mkono selikali ya ccm biashara zifanywe .maeneo maalum
 
Jiji linakuwa kama kijiji cha mazezeta vipe..disorganization kila sehemu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukiwatoa hapo unataka wakale kwa mama yako?

Hii nchi ni masikini, lazima tuelewe kwamba vipato vya wananchi vinategemea biashara ndogo ndogo kuendesha maisha.

Huwezi kujenga shopping malls kwa ajili ya mamantilie wanaouza vitumbua na mihogo!

Grow up, kiddie. Acha utoto!
 
Wewe si unasubiri kuliwa tigo upewe hela za kutanua mjini, huwezi kuelewa hustles za wanaume wanaopambana kutafuta maisha kwa jasho.

Endelea kupiga picha makalio uzirushe instagram watu wajilie vinyesi.

Wacha kazi iendelee...
Una umama mwingi sana. Kwamba unadhani ndo nitajisikia offended ama?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…