Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga
Mshike adabu !Mmekuja mjini mnajifnya wajanja kuliko wenye miji, rudini kwenu mkalime, si mmetelekeza mashamba ya miwa, kahawa,mawese,ndizi mkayafufue acheni miji ya watu ipendeze.
Point yako ina utapiamlo, na wewe unaonekana ni wale wa kuvimba mabega bila kitu, miji haina wenyewe ni suala la muda tu.

Kinachotupa tofauti ni kipato ila huwa ni suala la muda tu.

Siwaungi mkono machinga kuendelea kukaa kiholela holela hata kidogo kama ambavyo wewe unaonekana kukerwa nao kutokana na kutokufuata taratibu za mipango miji.


Ulichokosea ni kuonyesha ubaguzi kama ukiwa na hoja jitahidi kuifikisha kwenye jamii bila mwelekeo wa kibaguzi. Tukiendelea kukumbatia kauli za kibaguzi kama zako tutakuwa na kizazi cha chuki mwanzo mwisho.

Kila mtu wa chini atakuwa anapambana kujikwamua siku akipata ndo utaona watu kama akina Makonda au Sabaya.

Kila mtanzania ana haki ya kuishi mahali popote anapoona inafaa kwa "mujibu wa sheria."

Waelimishe wafuate utaratibu usiwabague.
 
Kwa hiyo ni Bora kuwa na Meza ya Chakula ya Kioo halafu mnachokula Ugali wa Mtama na Matembele?

Tunaiga nini yaani kuwe na Maeneo ya NOBLES na Maeneo ya daraja DUNI au sio? Kuchafua Mji!

Kama ndani ya Wamachinga kuna watu wana Mitaji ya 5 Mil na zaidi,mbona hatujaona angalau hata pakifanyika ufuatiliaji wa nani ni yupi na anapata kiasi gani?

Kilichopo ni kufagia tu hakuna Cha mwenye Chungu au Sanduku moja ama Mzigo wa kubeba na Canter.

Tufahamu kuwa Machinga wasio na Uwezo mkubwa kihalali wapo zaidi ya 90%
Hiyo asilimia 90 umeijuaje??
Ulifanya utafiti? Kama ulifanya utafiti basi na wao hivyo hivyo walifanya utafiti,

Btw, hapa haangaliwi nani ni nani hapa inaangaliwa uchafuzi wa mazingira, maeneo ya wazi ni mengi sana mbona Minada watu hua wanaifata? Basi ujue hata na wao wakipelekwa sehemu bado watafatwa tu,

Machinga must Go.
 
Nimepita Msimbazi karibu kabisa na simba sports baunsa ka wa5, na nyundo na high vision vest, wanapiga vibanda na hakuna aliyethubutu kuleta fyoko.
Manzese pamebadilika.

Serikali ipo kumbe!

Everyday is Saturday................................😎
 
Rudini mkalime, msimdharau Samia kwakuwa ni mama, hili halikubaliki.
Ni kweli mkuu , kilimo cha mboga mboga kinalipa sana, mitaa ya Kihonda Mbuyuni , mbele ya Daraja (Morogoro) vijana vijana wako bize wanapiga bustani za mbogamboga vibaya mnoo na wanamwagilia...soko nje nje na hakuna kubugudhiwa wala kudaiwa kodi wala kukimbizana na migambo wa jiji/manispaa....Ukienda Kahe kule Moshi Vijijini vijana wanapiga maboda ya mpunga, vitunguu, nyanya, hoho na mazagazaga kibao, na maisha yanaenda mtelezo kabisa....
 
Hata wasingeunga mkono walipaswa kutekeleza agizo la serikali, sidhani kama viongozi wana nia mbaya na machinga la hasha!

Kinachofanywa ni kuweka mazingira ya miji katika utaratibu wake kwa mujibu wa miongozo ya mipango miji japo bado kasoro zipo nyingi.

Miji ilionekana kuwa michafu muda wote kila mahali, fujo tupu na kuzalisha vibaka, piga picha pale viwanja vya mnazi mmoja yaani ilifikia hatua kupishana ilikuwa shida ni mwendo wa kupigana vikumbo.

Sehemu nyingi zilianza kuwa makazi ya mateja. Mara nyingi unakutana nao wanazurura na kicheni kimoja au betri mbovu kumbe anakula timing ukikosea tu imekula kwako.

Natoa hongera kwa viongozi wetu zoezi hili litapunguza na kuondoa kero hii.
Hivi wa pale mnazi mmoja wameondoka kwenye ile barabara ya watembea kwa miguu?
 
Nimepita Msimbazi karibu kabisa na simba sports baunsa ka wa5, na nyundo na high vision vest, wanapiga vibanda na hakuna aliyethubutu kuleta fyoko.
Manzese pamebadilika.

Serikali ipo kumbe!

Everyday is Saturday................................😎
Ungewapiga tupicha tudogo mkuu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo asilimia 90 umeijuaje??
Ulifanya utafiti? Kama ulifanya utafiti basi na wao hivyo hivyo walifanya utafiti,

Btw, hapa haangaliwi nani ni nani hapa inaangaliwa uchafuzi wa mazingira, maeneo ya wazi ni mengi sana mbona Minada watu hua wanaifata? Basi ujue hata na wao wakipelekwa sehemu bado watafatwa tu,

Machinga must Go.
Sawa,

Miss Dream Queen kama wewe ni Raia wa Tanzania wa kawaida basi vitu unavyomiliki vingi umevinunua kwa Machinga. Hiyo ni kwa 90% au zaidi

Tutarajie nini kuhusu Usafi wa Mazingira?

Ni kweli kuwa wakihamishwa hizo bidhaa ulizosema wanapewa na Matajiri wataacha kuwa wanapewa?

Kama wataacha kuwa wanapewa na hao Matajiri(Kwa kuwa hawatakuwa wanauza sana), kuna Mpango Upi mwingine wa kuyakwamua Maisha Yao hasa wanaotegemewa?

Barabara Mpya au inaporekebishwa huwa kuna Magari yanaongezeka ya watu wanaopenda kuendesha kwenye njia mpya basi tu kwa kuwa ni njia mpya. Hawa huwa ni kama ziada ya idadi halisi ya Magari yanayopita siku zote.

Na barabara fupi Nzuri au Mbovu humfaa sana Mtembea kwa Miguu kwa hiyo huyu yeye Jengeni Barabara mpya lakini sio rahisi yeye kuitumia kwa ajili ya Mambo yake.

Huwezi kusema Mteja wa Saa ya TSh 3500/= inayouzwa na Machinga, atatoka Manzese aende hadi Mbweni kuliko na soko la Machinga Mfano, ili akainunue ile saa vinginevyo tu atasogea Sinza dukani atanunua kwa TSh 5000, 8000 au 12000

Huoni kama Machinga Biashara Yao ni kama inakufa?
 
Kwakweli ni mambo ya kutafuta kipato ila walikuwa wanahatarisha maisha yao na watumiaji wengine wa barabara. Hata huku Arusha ni hatari
 
Uonevu tu. Ajira hamna, hawatengenezi mazingira bora ya uwekezaji. Kwenye keki ya taifa wanaifuja kwa matumizi mabaya, huku nchi ni maskini balaa.
Tuna Ubunifu wa kiwango Cha chini sana

Wakuu, wenzetu wapo mbali sana kwa kutumia Akili vyema. Yaani unaweza ukasema wapo njema kupitia kutuibia
 
We jamaa graduate ndio kipimo cha ubinadamu ?
Kila kitu reference ni graduatuate, hatuwezi jadili jambo kuzingatia misingi ya ubinadamu?
Mbona kwenye human right, basic need, maslow highlack of need hawajajaduli kwa misingi ya graduate. Hicho kipaumbele cha graduate kinatoka wapi, mnajipa ukuu na daraja ambalo hata walionzisha elimu hawana.
Jadili katika misingi ya utu wa mwanadamu awe mtoto mkubwa,mzee, kinana,mwanamke mwanaume, mzungu,mweusu,mwarabu au mchina wite ni sawa na wanamahitaji sawa.
Ni maslow hieranchy of needs sio highlank
 
Pamoja na Nia njema kabisa iliyonayo Serikali yetu., wasiwasi wetu ni kuongezeka kwa vibaka mitaani.
Vibaka wakiongezeka hiyo Nia Njema Ina manufaa ya akina nani? Au wewe unapata faida ipi?

Yaani kinachotokea ni kama iwe inanyesha Mvua Nyumbani halafu wazazi na baadhi ya Ndugu wawatoe nje ya Nyumba watoto mkae nje mlowane
 
Wanabomoa vibanda vyenu wanaweka vibanda vyao. Mtetezi wenu ndio kashaondoka pambaneni na Hali zenu. Wajanja wameangalia wamejua mnapiga hela maeneo fulani fulani. Wametafuta njia ya kuingia hapo na ndio hio kwamba vibanda vyenu vichafu havifai kuwa hapo ILA vibanda vyao visafi ndio vinastahili! Wewe mlalahoi kibanda chako peleka kijijini kwenu huku tunataka vibanda vya akini tipisi, fishifishi na wajanja wengine wa mjini
Unajaribu kuandika propaganda zako za kiswahili.
Miji lazima iwe na mpangilio ndugu
 
Back
Top Bottom